Kwanini?
Jamaa ni wa kiwango cha chini sana. Mambo mengi aliyofuatilia marehemu yalikuwa ndani ya uwezo wa WM. Na ni muongo kuhusu afya na mahali alipokuwa mgonjwa. Tujifunze kuwajibisha watendaji kwa mambo wanayofanya hata kama ni madogo!!
Kwanini?
hapana kama hii hali ingekuwa imetokea 2022 angeruhusiwa katiba inasema kama atakaimu urais kwa miak mitatu baada ya kifo ataruhusiwa kugombea mihula miwili ila kama ni zaidi ya hapo ataruhusiwa mmoja tu unaona kwamba huyu atatawala miaka 4 kwa hiyo akitaka 2025 ni muhula mmoja tu..HIYO NI KWA MUJIBU WA KATIBA AMBAYO KWA HII MIAKA 6 IMESIGINWA VYA KUTOSHA SO KAMA IKIFATWA INASEM AHIVYOYES inawezekana kabisa kama akipitishwa na vikao vya chama chake
Nakukubali mtaalamNimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Kwani mazila yaliyoikumba Singida United ni kwa sababu kuna kiongozi toka Singida,alipigwa chini?Au ndio huyu Lameck Madelu a.k.a Mwigulu Nchemba kipindi kile alivyokuwa kijiweni?Akipigwa chini tuu,ujue na Namungo nayo yatawakuta kama yale ya Singida United
Wewe unaamsha hisia ya kwamba mipanga tangu mwanzo kutengeneza kisababishi cha hayati JPM kufariki, muda sio mrefu utatafutwa kueleza kwa kina hicho unachodai maono ni kichaka tu cha kutaka kuhalalisha njama ovu za kabla.Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Mbona watu wenye uwezo huo wapo toka enzi na enzi.Wewe unaamsha hisia ya kwamba mipanga tangu mwanzo kutengeneza kisababishi cha hayati JPM kufariki, muda sio mrefu utatafutwa kueleza kwa kina hicho unachodai maono ni kichaka tu cha kutaka kuhalalisha njama ovu za kabla.
Ni ngumu kuelewa lakini muda utaongea baada tu ya mazishi.
Mdau hukumuona Soine ktk maono yako?Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Hahaaaaamkuu uliona nani mwingine kwenye hiyo ndoto tujue mapema 😁
Wewe na huyo mtabiri kizuka ninaweza kusema kwamba ndio mmechangia kwa sehemu kufanikisha kilichotokea maana unashabikia sana (accelerate)Mbona watu wenye uwezo huo wapo toka enzi na enzi.
Eeeh!Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Asante mkuu!! huwa nakufatilia mchambuzi wa siasa upande wa maziwa makuu!!Hii minne na miezi kadhaa iliyobaki inakuwa muhula wake wa kwanza. Akigombea 2025 utakuwa muhula wake wa pili na wa mwisho hadi 2030
Asante mkuu!! huwa nakufatilia mchambuzi wa siasa upande wa maziwa makuu!!
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Kaka nimeheshimu maono yako.Niliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
Hivyo tusubiri kuapishwa PM mpya?
Baraza lote lijiuzuru ili Samia nae apange wizara zake na safu ya kuziongoza. Kama ataamua kumrudisha Majaliwa, ni matakwa yake.Unamsababishia Waziri Mkuu shida moyoni maana hajui kama atateuliwa yeye au mwingine