Naona hii ramli imetimia.Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha waziri mkuu mpya. Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
mkuu uliona nani mwingine kwenye hiyo ndoto tujue mapema 😁Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha waziri mkuu mpya. Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Huenda na Majaliwa nae yuko safarini ili Samia aapishe Waziri MkuuNiliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
Mkuu umetisha yaani na ushahidi unaoNiliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
[emoji28][emoji28][emoji28]mkuu uliona nani mwingne kweny iyo ndoto tujue mapema [emoji16]
Kwani katiba inasemaje?M sijui hivi huyu samia atamalizia miaka iliyobaki.?
Kwanini?PM apigwe chini Suluhu apange safu yake
Soma Katiba inasemaje.M sijui hivi huyu samia atamalizia miaka iliyobaki.?
Katiba ndio itatumika kuamua,nilini uchaguzi ufanyike.M sijui hivi huyu samia atamalizia miaka iliyobaki.?
Akipigwa chini tuu,ujue na Namungo nayo yatawakuta kama yale ya Singida UnitedPM apigwe chini Suluhu apange safu yake
Ndio maana yakeM sijui hivi huyu samia atamalizia miaka iliyobaki.?
Majaliwa anaenda kuwa vice presidentUnamsababishia Waziri Mkuu shida moyoni maana hajui kama atateuliwa yeye au mwingine
Duuh! Mungu alikuonyesha!! tengeneza uhusiano wako, utaona vingi vya sirini?!Niliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.