Tanzania na rais mwanamke, taifa liko tayari kumpokea?
KWA nchi za Afrika, marais wanawake wameshuhudiwa Liberia, Malawi, Uganda na Tanzania.
Not now - take it from meMajaliwa anaenda kuwa vice president
Wasukuma!! Kwani hii nchi inaongozwa kikabila?Mh. Andrew Chenge ndiye Vice President. Then Kabudi or Jafo ni waziri mkuu. Chenge ni kwa ajili ya kuwadanganya Wasukuma.
Smesoma kwa kigogoNot now - take it from me
Kuna shida kwani?Sasa itakuaje wote wawe waisilamu...kuanzia waziri mkuu na Raisi na makamu
Duu! Nashangaa hakuna comment hata moja ya 2017.Niliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
PM me😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔
Tutakuwa pomoja mkuu.Shukrani. Jumamosi kesho kutwa nitasikika tena tukimchambua hayati Magufuli kupitia DW
Pm mePM me
Mmeanza udini sasa. Sisi tunachotaka ni maendeleo...Hatuwezi kuwa na rais na makamu wake wote dini moja!!!
Makamu ni ndugu Willium Lukuvi na Pm atabaki Majaliwa KM. Maona ya waziri mkuu mpya hapo kidooogo ndoto ilivamia na upande wapili....Ova
Raisi wa awamu ya sita vipi wakati ni rahis wa 6 awamu ya tanoIliyobaki ni miaka minne na miezi kadhaa. Ikiwa imebakia zaidi ya miaka mitatu, huu unakuwa muhula wake wa kwanza. Akigombea na kupita 2025 utakuwa muhula wake wa pili na wa mwisho hadi 2030. Na tukumbuke kuwa Samia sasa ni rais wa awamu ya 6
Kikwete na Ghalib BilaliHatuwezi kuwa na rais na makamu wake wote dini moja!!!
Makamu ni ndugu Willium Lukuvi na Pm atabaki Majaliwa KM. Maona ya waziri mkuu mpya hapo kidooogo ndoto ilivamia na upande wapili....Ova
Mkuu hapo kwa kabudi unatukosea kabisa yani jafo abaki kulekule panamfaaa sanaMh. Andrew Chenge ndiye Vice President. Then Kabudi or Jafo ni waziri mkuu. Chenge ni kwa ajili ya kuwadanganya Wasukuma.
Unataka kusemajeyeye alikua makamu wa rais na si rais
Tuwekee huo uzi wa 2012 mkuu tuoneHakika imebidi nishangae tu. Au labda ni coincidence tu, kwamba mtu aliota na imetokea?
Kuna mtu mwingine anayejiita "nabii wa ishara" alitabiri januari 2021 kwamba kiongozi wa mhimili mmojawapo (rais, spika, jaji mkuu) atafariki mwaka huu, na kweli imetokea!
Kuna mwingine alitabiri 2012, na thread yake iko huku, na akataja mambo kadhaa ambayo rais huyo angeyafanya na yote kweli yametokea.
Ni muujiza kweli au coincidence? Au kuna waliopanga haya tangu awali wanatumia hao wanaojiita 'manabii" kuujulisha umma kiujanja?
Na wewe haya ni maono amaKassim Majaliwa atabaki kwenye nafasi yake ya uwaziri mkuu.
Makamu wa Rais atakuwa Emmanuel Nchimbi
Alaf zanzibar waitishe uchaguzi mpya sioDkt Hussein Mwinyi awe makamu wa rais
Hata mimi nashangaa utamu wa uongozi ajae awee mkristo awe anaingia ingia kanisani pale ibada ikiiisha atoe toe vihotuba hotuba nyoyoo zi lizike bhana au nasema uongo ndugu zanguSasa itakuaje wote wawe waisilamu...kuanzia waziri mkuu na Raisi na makamu