Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,756
- 29,317
wapo wengi walioingizwa na mjomba, baba, wengine kwa vyama.Si kila kada hana uwezo mkuu, ni kama vile wengine huingia huko kwa kuagizwa na wazazi wao.
Makada huwa wengi lakini huchukuliwa wachache ambao wanaonekana wanakitu cha ziada.
Sikatai kwamba hao uliowaona hawana uwezo inategemea umewalinganisha na nani.
Hata wewe tukikulinganisha na mwingine yumkini tutakuona sio bora kama mwingine.
Basi nikuombe, chunguza na wale wa kamlete!
hawaangalii qualification bali connection. na hapa ndipo walipofeli.
matokeo yake tunapata watumishi wasio na weledi halaf tunaanza kumtafuta mchawi nje wkt yupo ndani.
hiki chombo kinatakiwa ki recruit mtu ambae hana mfangamano na upande wowote ule. person with 0 interest.