Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Si kila kada hana uwezo mkuu, ni kama vile wengine huingia huko kwa kuagizwa na wazazi wao.

Makada huwa wengi lakini huchukuliwa wachache ambao wanaonekana wanakitu cha ziada.

Sikatai kwamba hao uliowaona hawana uwezo inategemea umewalinganisha na nani.

Hata wewe tukikulinganisha na mwingine yumkini tutakuona sio bora kama mwingine.

Basi nikuombe, chunguza na wale wa kamlete!
wapo wengi walioingizwa na mjomba, baba, wengine kwa vyama.
hawaangalii qualification bali connection. na hapa ndipo walipofeli.

matokeo yake tunapata watumishi wasio na weledi halaf tunaanza kumtafuta mchawi nje wkt yupo ndani.
hiki chombo kinatakiwa ki recruit mtu ambae hana mfangamano na upande wowote ule. person with 0 interest.
 
Kwa taarifa tu hata makada wenyewe ambao hata maan aya neno intelligence hawaijui mtaani wanalinga na kujidai kama wana usalama. Yaani kila kada ambaye ana back up fulani anatembea kwa vitisho balaa. Anajiamini kichizi yaani. Kumbe ni kada tu. Hii sense of feeling sijui wanaitoa wapi.
simple brother. wanajiami because nyumba yao walio waingiza humo ni top officials wenye power. they beleive hawawezi guswa.
ndio shida inaanza hapo.
i wish hiki chombo kirudie recruitment style ya zaman.
huiingii kwa connection ya mzazi au ndugu,wala chama. bali wanakuchunguza uwezo wako for very long time kabla hawaja ku approach.
tulifanikiwa sana.
until awamu hii taasis ikavurugwa.
 
Kama hili lilitokea basi ni dhahiri kwamba wale watu wanaodai kupata taarifa kutoka ndani(serikalini) walizitengeneza tu baada ya kudokezwa kwamba hayo magari yameonekana mtaani.

Nipo hapa kujifunza.....nielimisheni.
Mbona taarifa zimeanza kabla ya kuonekana hayo magari??
 
Mkuu haya ni mambo ya kawaida sana kwenye system ya watu wengi. Bush na Bush Jr walimtafuta Osama zaidi ya 10yr bila mafanikio kosa Lao kubwa lilikuwa ni kushirikisha usalama wa taifa. Obama alifanikiwa kumpata baada ya kushirikisha watu wawili tu na yeye ni wa3. Vijana wakaanza mazoezi bila kufahamu wana mission gani.
Unaambiwa walipewa Picha ya Osama kuwa ndo target y mission ndani ya ndege mpaka wakataharuki
 
Hili lililotokea sasa n kubwa sana lazima uchunguzi WA kina ufanyike ili wahujumu wawajibishwe.
 
Kuna haja ya kufanya mabadiliko, maana Tiss ni taasisi nyeti sana... Kama ikiachwa bila kufanyiwa mabadiliko basi serikali itapata tabu sana.
 
simple. kwanza hiyo account ina operate 24/7 hrs. in real sense.. hakuna mwanadam ana stay online na kufanya hayo yote kwammiezi yote hiyo.
hii ni timu ya watu.. kila mmoja akiwa na shift yake la ku login na kufanya kazi.
Hapana kuna time anapumzika

Yawezekana wakawa wengi wanaopokea taarida Ila admin ni mmoja Kwa sababu uandishi hua haubadiliki na mtiririko wa mawazo ni uleule
 
Nakumbuka by then membe alitahadharisha kwamba, sio kazi kubwa kutumia hackers ni suala pesa tu....

Unaenda duniani huko unaajiri hackers wako unawaleta dasilama wanakupigia mzigo
Mbona walishafanya yote hayo hadi Calibrete ukitaka kujua callibrete ni bani nenda wagugo uone
 
Mimi ni mtanzania mzalendo.
Mwana chama hai wa cdm no.xxxx mkoa wa iringa na kadi yangu nailipia.
Sema tu sio mbinafsi kwenye maslah mapana ya taifa
Kutetea kufa kwa mtu ndio maslahi kama ni Covid-19 si na o ugonjwa tu
 
Unachekesha walionuna Chief!

Niulize waliomuua Ben Saanane kwani nina ushahidi gani kwamba kweli amekufa? Kuna mwili ulipatikana ama hata mabaki yake? Death announcement or even just death certificate ilitoka lini?

Eti Lissu aliuliwa wakenya wakamfufua!? You now making mockery kwa Mungu eeh? Mheshimiwa Lissu si alisema anawafahamu watesi wake and all those who attempted to murder him? Anasubiri nini kuwataja majina tuwatambue nao wapate stahiki yao?

Hizi mind games mnazocheza ain’t even worth anybody’s time basi tu!

Umesema mnaanza upya na liwalo na liwe, right?! Tupo, we are always watching! Kindly entertain us, please!
You pretend to know something but it is just nothing
 
MUNGU AMBARIKI SANA KIGOGO

NA KAMA EAPO WANAOVUJISHA SIRI OVU WABARIKIWE NAWAOMBEA WAENDELEE KUAMINIWA NA WASIKAMATWE

AMEN
 
TISS ya Sasa inasikitisha sana kama Utopolo inavyosikitisha yaani, huwezi ukawa na KGB, Mossad, au MSS ya nchi then vitu very sensitive vinavujaa then tunachekeane, bila kupigana supnaa za nguvu, Tunamuomba Mhe. Mama yetu Rais Samia, asikubali hizi style za Kigogo 2014, hapa ni lazima kuwapoteza baadhi ya watu waliomo ndani kama MSS China wanavyofanya, tutaelewanaa tuu!
 
Ikulu mliijaza watu wasio na iwezo bali wenye akili za kulinda matakwa ya Makomeo wala haishangazi ku diffuse maadui hadi Ikulu tamaa za madaraka na umimi ndio zimepelekea hayo
Swala ulinzi wa nchi ni changamoto kubwa hata kwa mataifa makubwa. Marekani inalalamika Russia inahusika katika kuwachagulia marais wao. Hivyo hatuko salama.

Kila tunavyozidi kuwa na mfumo ndugu wa kuchagua walinzi wetu ndiyo tunavyojiweka uchi zaidi na kwa namna tunavyoyafanya maisha ya raia wetu kuwa magumu ndiyo tunavyozidi kukaribisha mbinu mpya na za kisasa kabisa za kuliangamiza taifa letu.
 
Swala ulinzi wa nchi ni changamoto kubwa hata kwa mataifa makubwa. Marekani inalalamika Russia inahusika katika kuwachagulia marais wao. Hivyo hatuko salama.

Kila tunavyozidi kuwa na mfumo ndugu wa kuchagua walinzi wetu ndiyo tunavyojiweka uchi zaidi na kwa namna tunavyoyafanya maisha ya raia wetu kuwa magumu ndiyo tunavyozidi kukaribisha mbinu mpya na za kisasa kabisa za kuliangamiza taifa letu.
Uko sahihi kabisa ndugu
 
TISS ya Sasa inasikitisha sana kama Utopolo inavyosikitisha yaani, huwezi ukawa na KGB, Mossad, au MSS ya nchi then vitu very sensitive vinavujaa then tunachekeane, bila kupigana supnaa za nguvu, Tunamuomba Mhe. Mama yetu Rais Samia, asikubali hizi style za Kigogo 2014, hapa ni lazima kuwapoteza baadhi ya watu waliomo ndani kama MSS China wanavyofanya, tutaelewanaa tuu!
Kazi kuu ya mama hata kama atashindwa yote amalizie kazi ya kuandika katiba mpya. Bila katiba mpya nchi yetu itaelekea kubaya soon.
 
Kuna haja ya kufanya mabadiliko, maana Tiss ni taasisi nyeti sana... Kama ikiachwa bila kufanyiwa mabadiliko basi serikali itapata tabu sana.
TISS igawanyike
Sheria iliyoiunda ibadilishwe au ipitiwe maana wakati huu twahitaji sheria mpya
 
Yale mahutu 30 ya kutoka kwa Kagame vipi mmeyarudisha kwao ? Au saahizi yanamlinda nani tena ? Marehemu Jiwe ?
 
170 Reactions
Reply
Back
Top Bottom