Kigezo cha kwanza uwe mzalendo yaani mwanaccm....😁😁😁Issue yetu iko kwenye recruitment ya staff wa TISS, misingi imeachwa wanaangalia mtoto wa fulani pia awepo kama sehemu ya ajira ya kawaida, wamefanya hivyo hata kwwnye vyombo vingine vya ulinzi na usalama kama polosi, uhamiaji, magereza, na jeshini. Watu hawa hawapendi kazi wanapenda pesa, sasa utakapozuia wao kupata hela kama enzi za fulani watatamani uondoke ili wajaribu huko mbele. Usifikirie kidogokidogo hivyo