Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Watoa siri 14...wako team awamu ya 4.. wameweka hujuma pembeni kwakuwa wana matumaini ya mama...
Habari JF,

Wote sisi ni mashahidi katika awamu iliyopita watu wengi waliibuka na kujizolea umaarufu pasipo kuwa na umashuhuri wowote zaidi ya kuvujisha siri za serikali katika mitandao ya kijamii.

Kuna watu walijizolea followers huko Twitter na Instagram kwa kuwa wakwanza kuhabarisha umma kwamba siku fulani rais atafanya nini, nani atatumbuliwa na kweli waliyokuwa wanayatabiri yalikuwa yanatimia kwa rais na viongozi kufanya vivyo hivyo kama taarifa zilivyokuwa zinatolewa na watu hao wanaojiita wanaharakati wa mitandaoni.

Sasa tangu Rais Samia Suluhu akalie kiti cha urais mambo yote sasa yamebadilika na imebaki kitu Inaitwa BREAKING NEWS tu ikiwa na maana yake halisi.

Wanavujisha siri za serkali wamebaki wapiga ramli kama waganga wa kienyeji, utasikia wanajisemesha maRC maDC MARAS mDAS mjiandae leo au kesho

Eti PDF ni ndefu kidogo. Awamu iliyopita watu walikuwa wanapata mpaka hotuba aliyoandaliwa rais siku mbili kabla.

Yote hayo kwa sasa hawawezi kuyapata, Mheshimiwa Rais amedhibiti sekta hii wanaojiita wanaharakati wanaishia kutapatapa.

Kudos Rais Samia Suluhu.
 
Kutokana kifo cha JPM, leo nilipata muda wa kutafakari mambo kadhaa.

Tafakuri yangu imenipa jibu kwamba Tanzania tumevamiwa na maadui kila kona.

Kitendo cha taarifa nyeti za Ikulu kuvuja mitaaani kabla ya taarifa rasmi maana yake kwamba kuna mamluki wengi wamejaza Ikulu. Picha ya jeneza la JPM ilianza kusambaa kabla ya taarifa rasmi ya kifo, hii ni hatari sana.

Sasa hivi imekuwa kawaida sana taarifa za siri ndani ya serikali kuonekana mtaani. TISS wa siku hizi kazi yao kuvaa suti nyeusi na miwani kama wachomelea mageti lakini wengi wao wanakiuka viapo vyao.

Zamani mtu wa TISS kumtambua ilikuwa ngumu, ila siku hizi hadi wanajitambulisha wenyewe mitaaani hii ni hatari. Ushauri wangu ili Mama Samia afanye kazi vizuri, ni vema Ikulu isafishwe, maafisa wale wa zamani wote waondolewe. Kuanzia macamera man hadi walinzi wa getini otherwise mama atafanya kazi kwa presha sana.
Mtu akiukueleza kifo Cha Magufuli 'aforetime, anaihatarisha vipi nchi?
 
Unajua adui wa nchi siku zote yupo humo humo ndani!

Kutakuwa na watu TISS na baadhi ya wastaafu ambao kazi yao ni kuizomea, kuifanya serikali ionekane sio ya maana!

Kama vyombo husika wakitaka kufuatilia hili swala, wasiende mbali.
 
Kutokana kifo cha JPM, leo nilipata muda wa kutafakari mambo kadhaa.

Tafakuri yangu imenipa jibu kwamba Tanzania tumevamiwa na maadui kila kona.

Kitendo cha taarifa nyeti za Ikulu kuvuja mitaaani kabla ya taarifa rasmi maana yake kwamba kuna mamluki wengi wamejaza Ikulu. Picha ya jeneza la JPM ilianza kusambaa kabla ya taarifa rasmi ya kifo, hii ni hatari sana.

Sasa hivi imekuwa kawaida sana taarifa za siri ndani ya serikali kuonekana mtaani. TISS wa siku hizi kazi yao kuvaa suti nyeusi na miwani kama wachomelea mageti lakini wengi wao wanakiuka viapo vyao.

Zamani mtu wa TISS kumtambua ilikuwa ngumu, ila siku hizi hadi wanajitambulisha wenyewe mitaaani hii ni hatari. Ushauri wangu ili Mama Samia afanye kazi vizuri, ni vema Ikulu isafishwe, maafisa wale wa zamani wote waondolewe. Kuanzia macamera man hadi walinzi wa getini otherwise mama atafanya kazi kwa presha sana.
Kwani Ikulu mali ya mtu binafsi
 
Back
Top Bottom