Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

i think ulichoandika hakiendani na jibu langu.
i dont care aliwabana akina nani.
sitaki hata kuwajua.

my concern ni security ya nchi. not political noise.

And nikukumbushe tu usipende kuish kwenye vivuli vya watu.
JPM is gone yes, tuko na utawala mpya, na tutaendelea kupata marais wenye character tofauti tofauti..
cha msingi ni kubaki kwenye njia kuu. na sio kulilia kivuli cha mtu ambae hayupo.

Unfortunately, political noises are the loudest kind and so infectious that nothing remains pure! Nothing!
 
Unfortunately, political noises are the loudest kind and so infectious that nothing remains pure! Nothing!
you are right , but they are also misleading and un-reliable.
in my own view we should listen to specific kind of noise.. on that politician dont pay attention to.
i think the truth its always in that 1% of voices, just it comes in pieces called rumors.
 
  • Thanks
Reactions: BRB
Kwenye wasifu wa marehemu JPM, TL ameandika chanzo cha habari za raisi kuwa mgonjwa alizipata kutoka Marekani na Afrika Kusini. Na alizipata habari hizo siku 3 kabla hajaaandika Twitter. Mbona hamjiulizi Wamarekani wanapata wapi COVID data za kuwaonya raia watu wachukue tahadhari na safari za kuja Tanzania? Serikali hazitoi hizi takwimu sasa Wamarekani hata Waingereza wanazipataje?
Dini zetu zilikuja na wakoloni, wakoloni walikuwa wanakula, kunywa na kusali pamoja na wamisionari bila kukemeana, waliondoka wakoloni wakabaki wamissionari. Basi kama A =b na b = c basi a = c pia.
 
  • Thanks
Reactions: BRB
nafikir una miss the point hapo. sijaandika jinsi alivyo zikwa.
how the mission was carried ndio nilicho fafanua.

hiyo habari sijui lazikwa baharini sijui mbinguni.. mm sitaki kujua or kuwa interested.
Ile Ni movie hamna misheni pale bro ndio maana nikafananisha na waliouliwa na USA kiukweli waliuawa mubashara.
 
Ikulu mliijaza watu wasio na iwezo bali wenye akili za kulinda matakwa ya Makomeo wala haishangazi ku diffuse maadui hadi Ikulu tamaa za madaraka na umimi ndio zimepelekea hayo
 
Ile Ni movie hamna misheni pale bro ndio maana nikafananisha na waliouliwa na USA kiukweli waliuawa mubashara.
narudia tena. i dont care ni movie or makorokocho gani . i am not a conspiracy theorist .. not a fan.

Nime state key players .. tactical field teams & decision makers.
 
you are right , but they are also misleading and un-reliable.
in my own view we should listen to specific kind of noise.. on that politician dont pay attention to.
i think the truth its always in that 1% of voices, just it comes in pieces called rumors.

Chief, Rumors are uncertain, unverified or doubtful Truth!

Politics are the back bone of any State or Nation, nothing can be achieved without it! The only problem is the Filthiest kind of politics that Africa and its people have developed!

Side note; the Military & Security histories are bound with politics and politicians!

Siasa haikwepeki popote pale, inatumikaje ndipo maumivu yalipo!
 
Nilishangaa taarifa “sensitive” kama zile zimezagaa mitandaoni, VP alifanya hitimisho tu usiku ule.
TISS ipo compromised sana.
 
Kazi ya kwanza na kubwa kwa Raisi wetu mpya Mama Samia Hassan, ni kuhakikisha anauvunja hule MTANDAO wa KKGOGO 2014.

Mengine yatafuata baadae...
 
Hizo hisia zako. Kama unawajua na ni akina nani kwanini usiwaambie TISS wakawa-nutralize kabla ya kuleta madhara makubwa kama kweli wapo na si ndoto zako mwanangu?
 
Mwamba ameongelea ethics za TISS za sasa zimebadilika sana??, Yaani mtu yupo Ubelgiji ndo anatoa taarifa za mjomba?? Ni ukweli usiopingika kuwa kuna kundi la watu hapo TISS ndo wamempa taarifa huyo jamaa wa Ubelgijj. Na hii yote ni kuwa TISS na huku ni mwana CCM.

Awe CCM kwa kazi maalumu tuu. Lkn siyo kuwa kindakindaki. Tunaitaji kuwa na Strong institution na siyo strongmen. Pumuzika kwa amani mwamba JPM! UlichokifanyaTz!

Kwa kila m tz wa kweli na mwenye machungu na nchi yake ni lazima akulilie kwa uchungu. Kazi umeifanya JPM! Umeiyachia Tz heshima hapa duniani na kwa familia yako kwa ujumla.
Tiss ishakuwa ni ccm. Haishangazi hata kidogo.
 
Jamani rais alikuwa anawalaza njaa watu wengi ambao walizoea pesa nyingi za rushwa, kuchukua kwa "kazi maalum" na za safari za nje kila wakati. Kwa vyovyote vile hawezi kutokea rais mwingine kama Magufuli hadi ipite miaka mingi. Ndio maana muda wote alikuwa akisema hadharani kuwa nimeyatoa sadaka maisha yangu kwa watanzania, lakini watu hawakuwa serious kujua rais alikuwa na maana gani kusema vile.
Na Hao ndio walio changia kifo chake
 
Waiting in vain. Magufuli mna mu-over rate.
 
Back
Top Bottom