TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Nyinyi elimu zenu wakristo ni nuksi tu kwa taifa

Wasomi wenu kama kina Adrew chenge wamebobea kwenye sheria na kulitia hasara taifa

Mkiwa na Maprofesa kama Tibaijuka balaa vile vilee wizi wa mali za umma tuuh

Ndiyo maana taifa hili maskin shauri ya majipu kama nyinyi na wasomi wenu wa kanisa.

Hamna tija kwa taifa.


Mkuu nadhani chenge.kuwa mwizi sio.sababu ya ddini.yake.hamna dini.inafundisha wizi mbona.karamagi na rostam aziz wapigaji kwani dini ndio.imewatuma??
 
DUUUUUU NDIO MAANA TANESCO HUDUMA MBOVUUUUUUU KAZI WIZI TU, KUMBE WATU WANAPEANA KAZI MAKANISANI.
MAGUFULI JIPU LA TANESCO LIANGALIE LISHAIVA TAYARI HUKU
 
Hiyo ndiyo hali halisi mkuu

Tunaposema mfumo kristo ni jambo lililo dhahir kabisa

Na ndio kwa maana wakiona sehem kuna waislam baadhi ni viongoz kama Udom..CAG..Dr Dau wanaanza kulia lia udini

Yaani hawakuzoea kuwaona waislam kwenye utumish wa umma...

Waislam kwao wanaonekana kama Intruders au kama siyo watanzania kabisa


Tutahakikisha hii hali inabadilika by any means necessary


Hata kwa suicide bombings?
 
Semeni sasa nyie waesotholonike,mlichonga sana kuhusu dau,leo kikowapi? Al marhum sheikh ilunga aliwahi kusema wakristo wa tanzania wana roho mbaya sana)
leo chongeni sasa
 
Wakristo wanaamini wao ndio wanaopaswa kushika nyadhifa zote. Ofisi za serikali nyingi zimekuwa vigango.Tanesco kujaza wakristo mwanzo mwisho haionekani ajabu. Ofisi nyingi ukifika kuomba kazi na mkristo hata kama unamzidi sifa mwenzio atapata nafasi wewe kwavile tu ni muislam basi hupaswi kupata kazi. Udini unapaliliwa na hawahawa makatonta wala ngurue



Acha kulialia na zero.yako wapi ulinyimwa kasi kisa muislm??
 
Hahahhaaaahaha tatizi dunia nzima inakwenda kulia nyie bado mnakwenda kushoto sijui lini.mna catch up na wenzenu mana the cap is stl widening
 
Hilo unalolisema lingekuwa la maana pale ambapo waislam walipokawa wanachafuliwa na tuhuma kama hizo na wagalatia wenzako kuhusu hoja ya Udini Nssf...

Hukuleta Rai kama hii

Tunachofanya sisi ni kuwaonesha kitu kilichopo kama mlivyokawa mnasema nyinyi.

Tena sisi Tunasema kwa ushahid sasa.

Tulia ukweli uwekwe wazi
Rai kama niliyoileta haina muda maalum wa kuletwa. Masuala ya dini yanapohusiswa na masuala ya elimu ya kidunia, linaoendelea huwa ni kosa la kibinadamu. Ninaiangalia Tanzania ambayo inao uwezo wa kuangalia zaidi ya dini za watu. Ninaiangalia Tanzania ambayo ina watu wenye kuzijua hizi dini lakini Mungu kawapa uwezo wa kutazama mbali zaidi ya ushawishi wa kidini. Wenye kupenda kutanguliza mihemko ya kidni mara nyingi ni wabinafsi, akili zao zinakuwa zimetekwa ni ujumbe wa wahubiri wanaowapenda badala ya kuangalia udhaifu wa wahubiri hao. Na siku zote wahubiri hubakia na ubinadamu wao, ule uwezo wao wa kushawishi hauwezi kuwapa kibali cha kuifikia mbingu (pepo) kabla ya wale watu wenye kuyasikia na kuyaheshimu mahubiri yao.
 
Matokeo kidato cha nne shule gani zimefanya vizuri. Tuanzie hapo
 
Kuajiriwa inategemea zaidi elimu na uwezo wa mtu, haiwezekani uwasaili watu halafu uwaajiri watu kwasababu tu ya kuweka uwiano wa dini na sio uwezo.
Uwe muslamu uwe mkristo kama una uwezo kazi utapata tu huwezi kuwa injinia mzuri ukakosa kazi kwasababu ya dini au wakaja kusailiwa watu wa dini moja ukakataa kuwaajiri kwasababu ni wa dini moja
 
Ndio mana hawa wapumbavu walininyima field,wakachukua wagalatia wenzao wanne,mimi wakanipiga chini.Nikajiuliza why kwenye watu watano tulio omba wameniengua mimi tu?,jibu ninaalo mpaka sasa hivi,kosa langu nijina langu na wao wanataka majina yakina Frenk,Samweli,Evalist lakini sisi wakina Othman,Idris,Rashid,Dhahr hatuhitajiki pale tanesco hata kwa field.
 
Hahahhaaaahaha tatizi dunia nzima inakwenda kulia nyie bado mnakwenda kushoto sijui lini.mna catch up na wenzenu mana the cap is stl widening

Ww bado sana kimaisha dogo, endelea kutukana watu online na kupiga pictures za kubinuamidomo km demu. Ukija kustuka jua lishakuchwa. Hiyo ni report yako ya Tanzania au ya duniani, mana ukijua nafasi za waislam duniani utalia mno kwa aibu
 
Taarifa za uongo

Uongo na zilizojaaa fitna, chuki na zenye malengo ya kuchanganyikiwa.

Ulicho sema kimeleweka vizuri mbona, wanao lalamika wanajua ukweli huo, basi tu wanatafuta sababu za ku instigate mifarakano nchini hisiyo ya lazima hata kidogo.

Taifa letu aliwezi ku afford kutehuwa individuals kwenye ngazi zote za Ukurugenzi/Uongozi Serikalini na Mashirika ya UMMA kwa ku entertain mizania ya Dini tu hata ambapo hawana sifa za kukidhi vigezo vya uteuzi wao wanata wapewe tu!

Tukumbuke kinacho hitajika ni elimu ya kutosha, uzoefu wa kazi nk, mbona vigezo hivyo ni rahisi sana kuvi kidhi kwa kila Mtanzania mwenye vigezo tajwa regardless ya Dini yake, kwani tatizo liko wapi hapo?

Kuna haja gani kwa mfano: mtu kutujia kila siku na bonge la Spreadsheet yenye majina ya Wakurugenzi/maneja kwenye Mashirika ya UMMA na Serikalini,mleta mada kwenye columns za spreadsheet anaongeza column ya dini as if dini ni moja wapo ya vigezo vya kupata ajira nchini!!! Kama Serikali inakemea ukabila na udini kwa nini kuna baadhi ya wenzetu wameaza ku propagate mbegu hizi chafu ndani ya Taifa letu lengo lao ni nini hasa?

Cha muhimu kwenu tafuteni mnapo jikwaa ili next time muwe in a better position ya kushindana na watanzania wenzenu wanao toka dini nyigine including wapagani, tuwe wakweli wenzetu elimu dunia hamuiwekei maanani sana sijui kwa nini!! Chukulia performance ya shule zenu za seminary za kislaam kwenye National Exams - matokeo yanasikitisha sana huwezi kulinganisha na matokeo ya Seminary za Dini nyingine na hapo alahumiwe nani wakati Seminary mnai-run wenyewe? Je, Chuo Kikuu chenu cha Morogoro hali hikoje ukilinganisha na vyuo vikuu vingine nchini? - sasa haya ndio mambo mnayo paswa kuya address headon bila ya kulahumu Serikali au individuals, nataka nisieleweke vibaya kutokana na maoni yangu, nayasema haya kwa nia njema tu sina hidden motives.

Mbona kuna baadhi yenu wame excel kwenye mambo mengi na wameteuliwa kushika nafasi nyeti in the land, wamefika hapo walipofikai kutokana na elimu yao iliyo tukuka na uzoefu kazini sio Dini yao, mifano ya kuthibitisha hilo tunayo chungu mzima.

Binafsi nawashauri again kwa nia njema mjitahidi kwenye masomo ili idadi yenu ya kuteuliwa kwenye nyadhifa za juu iongezeke, kumbukeni elimu ndio njia pekee ya kuwafungulieni milango iliyo fungwa.
 
Yani ww una cram hadi maisha, waislam wa leo sio wa jana. Km muda mliotumia kuwanyanyasa waislam hamkufanya lolote kimaisha ndio basi tena, tumeshaamka


Najua.mmeamka endeleeni kupiga hatua sio jambo baya kusaka maaarifa
 
Ndio mana hawa wapumbavu walininyima field,wakachukua wagalatia wenzao wanne,mimi wakanipiga chini.Nikajiuliza why kwenye watu watano tulio omba wameniengua mimi tu?,jibu ninaalo mpaka sasa hivi,kosa langu nijina langu na wao wanataka majina yakina Frenk,Samweli,Evalist lakini sisi wakina Othman,Idris,Rashid,Dhahr hatuhitajiki pale tanesco hata kwa field.

Mkuu kwani hiyo ni kweli au unataka kufurahisha baraza? Hebu tufafanulie hivi kwenye field unataka kutwambia kwamba mnalipwa posho na mashirika ya UMMA mnayo kuwa attached kwa muda, je mashirika yenyewe hayana kikomo cha idadi ya wanafunzi ambao wanakuwa attached kwa masuala ya field training?

Msitake kukuza kuza mambo kutokana na hisia tu,wanawezaje kukatalia wanafunzi wasiwe attached kwenye shirika kutokana na dini yake, Tanzania hatujafikia ujinga huo, leteni taarifa zenye ukweli na zenye ushahidi msikuze kuze mambo ambayo hayapo.

Mataifa mengi yamesambaratika kwa kushindwa ku-contain mifarakano ya kidini na kikabila - chanzo kikuu ni media na social networks - watu wanaweza kusema chochote chenye lengo la kuchochea/kasirisha makundi fulani ili baadae iwe rahisi kuwambia wafanye kitu chochote hatarishi kukidhi malengo yao ya kusambaratisha Taifa kwa misingi ya kikabila au kidini - hawa watu siwakupuuzia hata kidogo.
 
Back
Top Bottom