Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Sasa ni muda wa kua kitu kimoja,siri ya ushindi kwa waislam ni mshikamano,umefika muda huu upuuzi uondoke.
nyie si ndio mlishupalia NSSF ,leo mnakana ajira hazitolewi kidini?Hamna lolote, ni mpuuzi tu anaweza kufikiri kidini, kwanza tuna uhakika gani kuwa hizi takwimu ulizotoa ni sahihi? Sidhani kama ajira zinatolewa kidini mahala popote serikali na kama ipo sidhani kama ni kwa kiasi hicho! Ina maana akija mkristo na mwislam alafu wakati wa interview mwislamu akashindwa kufanya vyema, unataka achaguliwe tu kisa dini? Acha kabisa usitulishe udini Watanzania.
Wakristu wakiwa wengi mahali wameenda shule,ila waislam wakiwa wengi mahali KUNA UDINI.Very good! Wavivu wa kufikiri siku zote hutafuta sababu nyepesi kuhalalisha ulofa wao. Nenda shule ya ukweli halafu uone kama utaachwa
Ni unafiki tu na uzandiki vimejaa huyo,hupendi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila ikija inayogusa waislamuishipa inawatoka
anataka atutoe kweny hoja kafiri ameshikwa pabayaJibaraguze kama mpakwa wanja, hoja haibadiliki.
Sasa elimu haba hlf upewe taasis uongoze! Hamna udin hapa elimu tuOk, hili lingesemwa siku zote ingeonekana ina tija. Kwa sasa itafaa kuanika kila taasisi tuone wadini ni nani?
Huko nje wanapotutazama hawaangalii kushindwa kwetu kama kunasababishwa na dini zetu. Wewe msomi na ni mtoto wa msomi, unapojenga hoja usikubali kuishia hewani, jitahidi hoja zako ziwe na mashiko. Angalau jenga hoja kwa kutegemea mazingira ambayo yatakufanya uweze kujifunza mengi ukiwa kama mtu neutral, ukijiegemeza kwenye udini, wengi watakadharau, na huwezi kujua ni kwa kiasi gani hao watakaokudharau wanao uhusiano na dini yako. Be creative my young brother.Acha unafiki wewe Wakirsto wakijazana sehemu moja mnasema siyo udini wamesoma lakini Waislam hata wawili wakiwa sehemu mnasema udini.
Kwahiyo tufanyeje?kazi tu wapi wewe!mling'aka kuhusu Dau,ila ona hapo juu,yaani 4 muslims to 100+ christians du!
Unasema khs yule gaid aupumzika kwa amani shekh HASSAN ILUNGA KAPUNGU maneno uliyokuwa ukiyasema enzi za uhai wako. Naona sasa yameamua kujitokeza hadharani na ni ukweli mtupu
Hiki tena sio kigango itakuwa parokia aseee.
Waislamu waliosoma ni wachache sana... Hivyo uwiano hauwezi kiwa sawa
Hiv dini ni jina au imani?kama waislamu walikuwa na elimu waka ajiriwa nssf,watakosekanaje wa kuajiriwa tanesco?
Hahaha mkuu umenichekesha sana.Ni dayosisi, Mhhhh hizi post zinatangazwaga kanisani au kama kawaida gazetini?
Hiki tena sio kigango itakuwa parokia aseee.
Acha kudanganya watu, waislamu waliosoma ni wengi kuliko wakristo, lete tafiti yako nikupinge nayo.Waislamu waliosoma ni wachache sana... Hivyo uwiano hauwezi kiwa sawa
Cheka urefushe maisha ndugu yanguHahaha mkuu umenichekesha sana.
Kaka Pohamba sipendi kujielekeza kwenye upande mmoja tu. Madhara ya udini na ukabila hiushi kwa muda mrefu sana. Ujumbe wangu ambao una lengo la kukemea mentality za udini na ukabila, utadumu kwa miaka migni ijayo, na sababu ni moja tu, udini na ukabila siku zote ni madhara ya chuki zinazojificha ndani ya mioyo ya watu. Wewe na mimi na watu wazima kiumri, tujitahidi tusizidiwe nguvu na hizi fikra ambazo wanaozileta hapa jamii forum, hawaifahamu Tanzania kama wewe na mimi tunavyoifahamu.Ushauri wako huutoa pale tu upande fulani unapohitaji ufafanuzi, ilipohojiwa NSSF bila ya ushahidi kama ulioletwa hukuonekana. Tatizo la unafiki kwny nchi yetu ni kubwa kuliko ufisadi na udini na ndio sababu wanasiasa wanatuchezea kama tako la baamedi.