TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Kama manavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa inaudini na kuna threads nyingi sana zinazungumzia hizo tuhuma kama huu uzi hapa chini. Ajabu hakuna aliyeleta ushidi wowote kuthibitisha tuhuma hizo

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa kuna hizi tuhuma za udini TANESCO na kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa:

View attachment 329206

View attachment 329207
Masikini weee dini zinatugawa watanzania
Baada ya hapo ukiangalia vizuri utakita wanaume wengi kuliko wanawake : ubaguzi wa jinsia
Baada ya hapo utaina wachagga na wanyakyusa ni wengi sana : ukabila
Dah
 
Kuna waislam wengi nawafahamu wanatumia majina yasiyo ya asili ya kiarabu.
Kuna muislam anaitwa Eliah na ni mtu wangu wa karibu sana.
Ukiona jina hilo utakurupika useme ni mkristo.
Wakristo wengi sasa hivi wanasilimu na kuwa waislam.
Pia wanawake wengi wanaolewa na kuwa waislam. Elimu imebadilisha mitizamo ya kiimani sana.
Na uislam kitakachoumaliza ni tamaa ya maendeleo ya kuwazidi wakristo na nchi za magharibi. Bila kujua kuwa maendeleo yanayokimbiliwa na watu ni mali kama majumba ,magari ,mashamba n.k. Tamaa hiyo kwa Wale waumini wa zamani haikupatikana kwa mtu kuwa mtumwa(kuajiriwa) bali kwa kufanya biashara kwani hata mitume wa Allah wote nao pia walifanya biashara au kulima au kufuga. Huu ndio utajiri halali wa asili na wa kidini. Leo hii watu wanagombania kuwa watumwa kwa sababu ya kulipwa pesa. Mzungu ni mjanja sana. Wafanyakazi zamani waliwaita watumwa na walikua wanawalipa chakula tu. Leo hii wamebadili mbinu kwa kushirikiana na watawala badala ya chakula wanawapa fedha. Na wanawaita wafanya kazi. Ndio maana kima cha chini cha mshahara kwa 80% ya wafanyakazi wote hakizidi sh. 300,000/- kwa mwezi. Pesa ya chakula tu kama ilivyokua kwa watumwa zamani.
Dunia inaendelea kupoteza malengo kwa sababu kuna wachache ndani ya dini zetu wanaahirikiana na wanasiasa kuhujumu dini zetu na jamii kwa ujumla kwa tamaa ile ya kupata pesa na mali nje ya mfumo halali wa biashara au kilimo au ugaji. Madini yamejaa kila kona ya nchi lakini ni watanzania wachache sana wanaofanya biashara hiyo ya asili na kihalali.

Kuna mtu anaitwa Abdallah Bulembo alitumika sana kutangaza kuwa mgombea wa UKAWA anahubiri udini kwa sababu tu ya mahaba yake kwa chama na kusahau kuwa takwimu hazidanganyi.
Yote haya aliyafanya kutokana na Mh. Lowasa kusema kuwa waumini wenzake wamwombee ili ikiwezekana awe mluteri wa kwanza kuwa rais. Jambo ambalo lilipaswa kupuuzwa na kupewa tafsiri yake halali.
Hata leo hii waislam na waprotestanti wanahamasishwa wasome kwa bidii ili nao wapate nafasi za juu kwenye utawala au wajiajiri waondokane na utumwa. Leo hii akitokea baniani mmoja akawaambia waumini wenzake kuwa mniombee nisome kwa bidii ili nije kuwa baniani wa kwanza Rais wa Tanzania ,tutakua tunapotosha kwa kusema kauli hiyo kuwa ni udini.

Kwa kifupi kuna watu ndani ya CCM wanatumia udini kupata madaraka. Na kwa muda mrefu wamekua majipu. Ndio maana tunapinga haya madaraka ya kupeana ovyo ovyo.
Kuna madhehebu kama ya Kiroma wamejipanga kuanzia Nursary School kwa Muda mrefu zaidi ukilinganisha na waprotestanti au Waislam japo ndio kuna wakati panakua na kaupendeleo lakini anapendelewa mwenye uwezo pia.

Tena Waislam sioni sababu ya kulalamika kwani walishapata marais wawili jambo ambalo lingetosha kujenga misingi bora ya kutoa ajira, bora wangelalamika waprotestanti kama waluteri,Anglikana,Wapentekost ,morovian na wasabato ambao mara nyingi wanapata shida sana kwenye ajira mpaka za ndani kutokana na imani zao kuwa kali.

Mleta Mada ameacha na kuficha kusema ukweli kuwa ajira na madaraka kwenye nchi hii yanaangalia kuwa unamjua nani na umeshikwa mkono na nani. Suala la dini linakuja kujulikana baadae tu.
Kwa kifupi hata ungeitwa yesu au Maria kama huna mtu huwezi kupata ajira kwenye hizi sekta zenye mishahara ya kuwafanya watu watajirike kwa kupitia rasilimali za umma. Utaendelea kupata ajira zenye mishahara ya kitumwa ambazo pia utafanyiwa mchujo wa kufa mtu na ukilegalega unakatwa kama Lowasa na kuambiwa umefeli kwenye usaili.

Dunia ya Leo ni ama kujulikana au uwezo wa kiutendaji kwenye kazi. Sitegemei umaarufu alionao Dr. Salim A. Salim akiamua kumshika mkono muislam akamwombea kazi kwenye mashirika ya UN atakosa kwa sababu ya dini. Bila shaka atapata nafasi kutokana na umaarufu wake.

Ndio maana tunataka ajira zote zichunguzwe kama kuna mtu aliye na cheti feki au amepewa nafasi bila kuwa na elimu inayotakiwa basi aondolewe ili nafasi hiyo apewe mtu stahiki. Lakini kusema kwamba tumfukuze mtu kazi kwa sababu eti ni wa dini fulani na nafasi yake apewe wa dini nyingine ili kuleta idadi sawa ya takwimu itakuwa ni wendawazimu tu.
Huwezi kumkataa mtu mwenye sifa kwa sababu eti ya kuweka nafasi ya dini nyingine. Sifa kwanza hata wawe waislam watupu au Wakatoliki watupu.

Kuna Hospitali moja ya dini ambayo pia ni teule Iko Kagera, wagonjwa wengi wanaofanyiwa oparation wanapoteza maisha kutokana na uwezo mdogo wa Dr. mmoja mwanamke. Wameshapoteza maisha wengi bila kujali dini zao. Mtu kama huyu ni jipu.

Kwa sasa cha msingi tumuunge mkono mh. Rais John Pombe Magufuli kwa dhati kabisa ili aendelee na kasi yake ya kutumbua majipu yaliyokua yanatumia ajira na rasilimali za umma kujilimbikizia mali. Ikiwezekana Mishahara iwe sawa kwa wafanya kazi wa umma viwango sawa vya Elimu kwenye sekta zote za umma asiyetaka akachunge mbuzi za babu zake huko kijiji . Wasomi ni wengi wanatafuta kazi na wako tayari kuwatumikia watanzania kwa usawa wa mishahara.
Watu wanakimbilia na kupendeleana kwenye haya mashirika yenye mishahara minono kwa malengo ya kujitajirisha haraka haraka wakati kuna sekta kama ya Ualimu na Polisi wanafanya kazi kwa miaka 30 ndio wanajenga nyumba moja ya kuishi hali inayokatisha tamaa watu waadilifu.

Pia kilimo na ujasiriamali vipewe kipao mbele ili wasomi wajiajiri na kuondoa fikra za kitumwa. Wale wanaokosa ajira wakati wanaelimu nzuri watengenezewe mazingira ya mikopo ya riba nafuu na ya muda mrefu endapo wana malengo mazuri ya kujiajiri na kulipa kodi.
Tuondokane na huu utamaduni mpya wa baadhi ya vijana ndani ya CCM wa kutaka kujipatia ajira serikalini kwa misingi ya takwimu za kidini. Huu utamaduni utazidi kuturudisha nyuma na kutugawa kwa faida ya wachache.
 
Sasa elimu haba hlf upewe taasis uongoze! Hamna udin hapa elimu tu
Wakiwa Manaswala wengi kwenye taasisi WAMESOMA,wakiwa Waislam wengi kwenye taasisi UDINI.Hapo ndo kuna vituko kweli,wananchi wenyewe mna dabo standards je watawala???
 
Ulimuuliza why anatumia Jina la ELIA??
Unajua why yule marehem alijiita KIGOMA MALIMA???
Majibu unayo kuwa wapo waislam iliwabid wabadili majina ndo wapate kazi
 
Ile issue ya Dau NSSF imeanzisha mada nyingine kuhusu TANESCO!!!, kumbe aliyeileta ile mada aligonga Ikulu!!. Dawa ni utafutaji wa elimu kwa udi na uvumba, mambo ya dini sio ya kutumika kama uhalalishaji wa mtu au jamii fulani kushindwa kupambana maishani. Cha kushangaza ni kwamba wadhifa wa Chief Secretary haujawahi kushikwa na muislam tangu tupate uhuru, lakini sijawahi kusikia malalamiko. Waislam wawili wamekaa Ikulu kwa kipindi cha miaka 20 lakini CS ameendelea kuwa mkristo.

Tuachane na hizi mada nyepesi za udini. Matatizo yetu ni makubwa na mengi, tunahitaji kuzalisha watafiti wengi sana. Umeme unawafikia watanzania wasiozidi asilimia 50. Yapo mengi ya maana ambayo bado hayajafanyika, zipo fursa nyingi tu ambazo bado hazijatumika vizuri. Huu uislam na ukristo ni sababu tu ya kuhalalisha kutopiga hatua kwetu. Waungwana tubadilike, maendeleo ya dunia hii wala hayatusubiri.

Well said mkuu.
Tumhukumu Dau kwa performance yake mbovu NSSF na si Dini yake the same kwa Tanesco . mwisho wa siku Dini yako na yangu haikusaidii kuinua hali ya maisha kwa mtanzania mmojammoja.
 
Ulicho sema kimeleweka vizuri mbona, wanao lalamika wanajua ukweli huo, basi tu wanatafuta sababu za ku instigate mifarakano nchini hisiyo ya lazima hata kidogo.

Taifa letu aliwezi ku afford kutehuwa individuals kwenye ngazi zote za Ukurugenzi/Uongozi Serikalini na Mashirika ya UMMA kwa ku entertain mizania ya Dini tu hata ambapo hawana sifa za kukidhi vigezo vya uteuzi wao wanata wapewe tu!

Tukumbuke kinacho hitajika ni elimu ya kutosha, uzoefu wa kazi nk, mbona vigezo hivyo ni rahisi sana kuvi kidhi kwa kila Mtanzania mwenye vigezo tajwa regardless ya Dini yake, kwani tatizo liko wapi hapo?

Kuna haja gani kwa mfano: mtu kutujia kila siku na bonge la Spreadsheet yenye majina ya Wakurugenzi/maneja kwenye Mashirika ya UMMA na Serikalini,mleta mada kwenye columns za spreadsheet anaongeza column ya dini as if dini ni moja wapo ya vigezo vya kupata ajira nchini!!! Kama Serikali inakemea ukabila na udini kwa nini kuna baadhi ya wenzetu wameaza ku propagate mbegu hizi chafu ndani ya Taifa letu lengo lao ni nini hasa?

Cha muhimu kwenu tafuteni mnapo jikwaa ili next time muwe in a better position ya kushindana na watanzania wenzenu wanao toka dini nyigine including wapagani, tuwe wakweli wenzetu elimu dunia hamuiwekei maanani sana sijui kwa nini!! Chukulia performance ya shule zenu za seminary za kislaam kwenye National Exams - matokeo yanasikitisha sana huwezi kulinganisha na matokeo ya Seminary za Dini nyingine na hapo alahumiwe nani wakati Seminary mnai-run wenyewe? Je, Chuo Kikuu chenu cha Morogoro hali hikoje ukilinganisha na vyuo vikuu vingine nchini? - sasa haya ndio mambo mnayo paswa kuya address headon bila ya kulahumu Serikali au individuals, nataka nisieleweke vibaya kutokana na maoni yangu, nayasema haya kwa nia njema tu sina hidden motives.

Mbona kuna baadhi yenu wame excel kwenye mambo mengi na wameteuliwa kushika nafasi nyeti in the land, wamefika hapo walipofikai kutokana na elimu yao iliyo tukuka na uzoefu kazini sio Dini yao, mifano ya kuthibitisha hilo tunayo chungu mzima.

Binafsi nawashauri again kwa nia njema mjitahidi kwenye masomo ili idadi yenu ya kuteuliwa kwenye nyadhifa za juu iongezeke, kumbukeni elimu ndio njia pekee ya kuwafungulieni milango iliyo fungwa.
Zikija taarifa za namna hii kunakua na maelezo marefu sana sana sana. Sana ya kujitetea,marefu mnooooo.Kisa tu yameainishwa kwa imani zao.Ni nyinyi ndio mnaokuja na Udini wa NSSF bila kuweka facts,mtu kaweka facts tena mnalalamika.Iliwah kuja list ya wakurugenz wa NSSF hapa ikaonekana kwenye wakurugenz nane waislam ni wawili au watatu.
 
Rai kama niliyoileta haina muda maalum wa kuletwa. Masuala ya dini yanapohusiswa na masuala ya elimu ya kidunia, linaoendelea huwa ni kosa la kibinadamu. Ninaiangalia Tanzania ambayo inao uwezo wa kuangalia zaidi ya dini za watu. Ninaiangalia Tanzania ambayo ina watu wenye kuzijua hizi dini lakini Mungu kawapa uwezo wa kutazama mbali zaidi ya ushawishi wa kidini. Wenye kupenda kutanguliza mihemko ya kidni mara nyingi ni wabinafsi, akili zao zinakuwa zimetekwa ni ujumbe wa wahubiri wanaowapenda badala ya kuangalia udhaifu wa wahubiri hao. Na siku zote wahubiri hubakia na ubinadamu wao, ule uwezo wao wa kushawishi hauwezi kuwapa kibali cha kuifikia mbingu (pepo) kabla ya wale watu wenye kuyasikia na kuyaheshimu mahubiri yao.
Nakubaliana Na hoja yako mkuu
 
Ndiyo maana Tanesco wizi mtupu, huduma mbovu, hakuna ustaarabu hata chembe.

Hii nchi ilitakiwa iwe na umeme 100% lakini kwa hivyo mijitu iliyojazana huko, labda sasa.

Sasa mngeweka na list kama hiyo ya NSSF tujionee nani ni wadini wa kutupwa.
Enzi za JK ulikuwa mtetezi mzuri wa mkwere, huduma mbovu Upoo wapi? Baada ya muda mfupi tatizo la umeme itakuwa historia na maboresho yana endelea
Kwa maana hiyo huduma mbovu zipo sawa na ukristo
Ndiyo maana Tanesco wizi mtupu, huduma mbovu, hakuna ustaarabu hata chembe.

Hii nchi ilitakiwa iwe na umeme 100% lakini kwa hivyo mijitu iliyojazana huko, labda sasa.

Sasa mngeweka na list kama hiyo ya NSSF tujionee nani ni wadini wa kutupwa.
 
Kuna Elimu dunia na ile Ingine ukimaliza unaweza kupata ajira inayohitaji professionals?
Mambo mengine yapo wazi haina haja ya kujadiliwa hapa Kama hamtaki watoto wasome hiyo ELIMU dunia mnataka wasome Hiyo ingine watapataje ajira? Naona mmeanza kushtuka mmejua umuhimu wa ELIMU dunia
 
Hapa leo hatutaki kuskia porojo eti oooh wainjilist wamejaa huko Tanesco na sehem zingine kwa kuwa wamesoma kitu kama hiko hakipo...

Hao waislam mnaowaona Nssf baadh tuh na ni wachache vile vile wametoka wapi hadi wasionekane huko Tanesco?

Mambo gan ya kupeana ajira kwa kuangaliana misalaba shingoni hayo?

Na tukitoka Tanesco Tutaenda BOT au EWURA na baadae tutahamia kwingine...tuone nan ni mdini nch hii...Nssf au nyinyi wengine...

Mmeanza nyinyi wenyewe hiz choko choko kwa muda mreefu sana...na tumewavumilia sana sasa tumechoka...

Na sisi Tunamaliza sasa Tena hatuji mikono mitupu kama nyinyi...tutakuja hapa na Ushahid..
 
Nyie watu wa baraghashia shule hamtaki ila kazi nzuri mnalilia manina kweli.
 
Unafact au porojo tuu...lete takwimu uthibitishe unayosema..alafu km ni hivyo hawasomi why mnalalamika kuwa wapo wengi NSSF?..km huna point kaa kimya pumbavuuuuuu weeeeee
 
Suala la kusoma kwa sasa halina mashiko

Hoja hiyo mlikua mnaitumia sana ili kujustify uhuni wenu wa kupeana ajira za misalaba huko serikalin..

It was two decades ago ambapo waislam walikuwa wahanga wa mfumo wa elimu....

Two decades ago kurudi nyuma had enz za kambarage mchonga...now days pitia takwimu za graduates chuo utaona namba ya waislam ilivyo...even though haiwez kulingana na ya waimba kwaya but imeimprove vya kutosha sana

So hoja hiyo hiv sasa haina mashiko..

Tunachotaka ni nyinyi kuacha udini huko serikalin

Kama kuiba mmeiba vya kutosha sana
Hapa leo hatutaki kuskia porojo eti oooh wainjilist wamejaa huko Tanesco na sehem zingine kwa kuwa wamesoma kitu kama hiko hakipo...

Hao waislam mnaowaona Nssf baadh tuh na ni wachache vile vile wametoka wapi hadi wasionekane huko Tanesco?

Mambo gan ya kupeana ajira kwa kuangaliana misalaba shingoni hayo?

Na tukitoka Tanesco Tutaenda BOT au EWURA na baadae tutahamia kwingine...tuone nan ni mdini nch hii...Nssf au nyinyi wengine...

Mmeanza nyinyi wenyewe hiz choko choko kwa muda mreefu sana...na tumewavumilia sana sasa tumechoka...

Na sisi Tunamaliza sasa Tena hatuji mikono mitupu kama nyinyi...tutakuja hapa na Ushahid..
 
Ni upuuzi Waislam kujilinganisha na Wakristo kielimu na sekta zingine wakati hawana miundombinu ya kutolea huduma hizo kama shule na hospitali! Acheni kulalamika bali wekezeni vya kutosha!!
 
Nyie watu wa baraghashia shule hamtaki ila kazi nzuri mnalilia manina kweli.

Sasa kama Mnasema shule hatutaki why wakienda shule wakapata Nafas za kaz mfano Nssf huko mnakowaona nyinyi mnaanza kulia lia kuwa wanapendelewa kwa udini?

Nyinyi mkitaka muwe pekeyenu kama Dayosisi ya Tanesco ili mfurahi?

Kwan umeskia Vatican hapa...!

Hii nchi siyo mali ya kanisa kaa ukijua hilo
 
Kama manavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa inaudini na kuna threads nyingi sana zinazungumzia hizo tuhuma kama huu uzi hapa chini. Ajabu hakuna aliyeleta ushidi wowote kuthibitisha tuhuma hizo

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa kuna hizi tuhuma za udini TANESCO na kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa:

View attachment 329206

View attachment 329207
Na CEO wa TANESCO nae amejenga kanisa ofisini kama wewe ulivyo fanya kule nssf?
 
Back
Top Bottom