mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,254
- 9,174
Kama manavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa inaudini na kuna threads nyingi sana zinazungumzia hizo tuhuma kama huu uzi hapa chini. Ajabu hakuna aliyeleta ushidi wowote kuthibitisha tuhuma hizo
NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'
Sasa kuna hizi tuhuma za udini TANESCO na kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa:
View attachment 329206
View attachment 329207
hivi kwa jina tu ndio ushadidi wa mwenye jina ni deen fulani?
afu mnasemaga watu wote ni maislamu... Mimi mbona naitwa mgen nitajie deen yangu
acha kuchekesha wewe?