Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,753
- 46,272
Hoja za msingi zipi unazotaka mchungaji huoni hizo orodha za wagalati Tanesco na sehemu zingine?Hakuna mliyemshika pabaya, hakuna hoja Za msingi Za kujibu.
Zote hizo bra bra tuuuu, jengeni hoja Za msingi sio kulia lia kila siku
Nakubaliana na jamaa yangu mmoja alienda kufanya interview Tanesco aliulizwa unasali wapi jamaa hana jibu akaambiwa kaa pembeni.