TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

AbasMzeEgyptian

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
407
312
Kama mnavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa ina udini na baadhi ya magazeti na wachangiaji wa mtandao huu wa Jamii forums bila kuleta ushaidi wowote kuthibitisha hizo tuhuma kama huu uzi ulioanzishwa hapa Jamiiforums na umefika kurasa zaidi ya 30 bila mtu kuleta ushaidi wa hizo tuhuma.

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa katika kurudisha heshma ya Jamiioforums, nawaletea ushaidi wa Tuhuma ya udini TANESCO kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa.

Waswahili wanasema Mwenye macho haambiwi ona....


tanesco-1-png.329206


tanesco-2-png.329207

tanesco-3-png.329211

tanesco-4-png.329212


tanesco-5-png.329216

tanesco-6-png.329217

tanesco-7-png.329218

tanesco-8-png.329219
 

Attachments

  • TANESCO 1.PNG
    TANESCO 1.PNG
    7.3 KB · Views: 728
  • TANESCO 2.PNG
    TANESCO 2.PNG
    9.6 KB · Views: 708
Hamna lolote, ni mpuuzi tu anaweza kufikiri kidini, kwanza tuna uhakika gani kuwa hizi takwimu ulizotoa ni sahihi? Sidhani kama ajira zinatolewa kidini mahala popote serikali na kama ipo sidhani kama ni kwa kiasi hicho! Ina maana akija mkristo na mwislam alafu wakati wa interview mwislamu akashindwa kufanya vyema, unataka achaguliwe tu kisa dini? Acha kabisa usitulishe udini Watanzania.
 
Hivi wewe umesoma kweli bado unaongelea udini kweli Tanzania we we badala ulete maswala ya msingi unaongelea ajira za watu what if baba yako ndo angekuwa kaajiliwa Tanesco ungethubutu kuandika hicho ulicho kiandika kweli.
 
We nguruwe ina maana waislamu walioajiriwa NSSF hawana qualifications??? pimbi kweli wewe, hadi leo unakuja na zilezile sound kuwa waislam hawajasoma, umefanya utafiti ukajiridhisha kuwa hawapo wenye qualifications, acheni roho mbaya! ina maana kitendo tu cha kuwa mkristo ni lazima uwe na chuki dhidi ya waislamu? hili li dini lenu ndo maana linazidi kukimbiwa na waumini, halina maana yoyote duniani, naona mmeachiwa miafrika muhangaike nalo
Uelewa mdogo ndiyo maana dini inawacontrol
 
Hamna lolote, ni mpuuzi tu anaweza kufikiri kidini, kwanza tuna uhakika gani kuwa hizi takwimu ulizotoa ni sahihi? Sidhani kama ajira zinatolewa kidini mahala popote serikali na kama ipo sidhani kama ni kwa kiasi hicho! Ina maana akija mkristo na mwislam alafu wakati wa interview mwislamu akashindwa kufanya vyema, unataka achaguliwe tu kisa dini? Acha kabisa usitulishe udini Watanzania.
1.tafuta takwimu za kwako ambazo ni sahihi kisha uziweke hapa
2. Si kwa idadi hyo yaani muislamu 1 shirika zima?? Sio hoja eti waislam kuwa hawajapata fursa ya kusoma ebu tuangaze huko vyuoni ina maana wote wale hufeli na kuishia mtaani??
Mtake msitake huo ndo ukweli wa mambo ulivyo
 
Hakuna binadamu mwenye thamani kushinda mwingine. Awe muislam au mkristo wote wana dhamani sawa mbele za Mungu.
Ok, hili lingesemwa siku zote ingeonekana ina tija. Kwa sasa itafaa kuanika kila taasisi tuone wadini ni nani?
 
Kama manavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa inaudini na kuna threads nyingi sana zinazungumzia hizo tuhuma kama huu uzi hapa chini. Ajabu hakuna aliyeleta ushidi wowote kuthibitisha tuhuma hizo

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa kuna hizi tuhuma za udini TANESCO na kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa:

View attachment 329206

View attachment 329207


Umeishiwa sera na hoja sasa unaanza kuhubiri udini.

Kazi zote hutangazwa kwa mujibu wa sheria na waombaji kazi hushindanishwa, anayepata ni mwenyesifa stahiki.

ACHA KUHUBIRI UDINI, WOTE WATANZANIA TUNAHAKI SAWA, HATUUKIZANI UDINI WALA UKABILA.

MTU PEKEE MWENYE UPEO MDOGO WA KUFIKIRIA NDIO HUKAA NA KUWAZA VITU VISIVYOKUWA VYA MSINGI
 
Back
Top Bottom