TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Ningekua msemaji wa shirika ningefunguka ila naamini watakuja kuweka sawa
Lakini
Waislam wapo wengi tu hats mimi
Nimwislam mbona?
Kingine. Waislam wengi hatukusoma elimu dunia mapema tulisoma elimu ya ah Hera.
Mfano , sisi tulifanya interview watu 30 waislam tulikua wawili tu
Na tukaajiliwa 10 waislam 2 tu
Sasa hapo bado nikosa la mwajiri?

Mkuu umeiweka sawa.

Halafu kati ya hao wote aliooredhesha kuna ambaye labda hana qualifications zinazotakiwa kwa nafasi aliyo nayo ila kawekwa kwa upendeleo?!
 
mada hii haina tija.what matters is qualication not not dini.mada ya udini ina hisia nyingi sana la.msingi tupende kuheahimu dini za wengine
 
Tatizo sisi Wakristo ni wepesi kulalamika pale tunapo ona kuna Dalili za ndugu zetu Waislam wanaendekeza udini lakini ni rahisi sana kwetu kuruka tuhuma kama hizo zinapo elekezwa kwetu.
Hata Mtukufu, Malaika, Mheshimiwa sana, Dr, Asiye jaribiwa wala kujaribu ameendekeza udini kwenye teuzi zake za Wakuu wa mikoa na wilaya, wakurugenzi wa halmashauri na nk.
TANESCO inawezekana kusiwe na udini lakini vipi kuhusu teuzi za mkulu!?
 
Atafute kazi kwa taaluma yake sio kuibua haya!!ni uchonganishi
Kweli kabisa mkuu. Maana tukitoka uko tutakuja, kwa nini wachaga wapo kila sectors zote. Na mabosi kalibia wote ni wachaga hii nchi hatari sana,
Sema katika dunia nzima mambo haya ya ukabila kila kona kama ilivyo uko Kenya
 
Tatizo sisi Wakristo ni wepesi kulalamika pale tunapo ona kuna Dalili za ndugu zetu Waislam wanaendekeza udini lakini ni rahisi sana kwetu kuruka tuhuma kama hizo zinapo elekezwa kwetu.
Hata Mtukufu, Malaika, Mheshimiwa sana, Dr, Asiye jaribiwa wala kujaribu ameendekeza udini kwenye teuzi zake za Wakuu wa mikoa na wilaya, wakurugenzi wa halmashauri na nk.
TANESCO inawezekana kusiwe na udini lakini vipi kuhusu teuzi za mkulu!?
Upuuzi tu.ni wapi rais kateua MTU kwa vigezo vya dini yake? Tusifanye uchochezi wa kidini huku.!!!! Sifa anazozingatia mh rais ni usomi, uwezo na sehemu nyingine uanachama wa CCM kama ambavyo kiongozi yeyote wa kisiasa angeweza kufanya.
 
Nina hamu na nyama ya Huyo mdudu ile mbaya !!
 
Muheshimiwa Raisi wetu mpendwa Dr JPM futa hili dudu linalokwaza maendeleo ya nchi liitwalo Tanesco, Udini, Ukabila, na ubadhirifu ndio umejaa huko, ufanisi ni karibu na sifuri, hakuna ubunifu wala mipango endelevu zaidi ya ajira kutolewa kwa upendeleo na ubinafsi.
 
Back
Top Bottom