TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

mlaumu Muhammad na Allah waliosema wagala ni Wasomi na Wacha Mungu na Wasomi..
au waongo?
Unataka kuniambia pale Tanesco asubuhi kabla ya kazi lazima waimbe mapambio?
 
Itabidi nitafute msalaba wa mbao nivae nikaombe kazi Tanesco naweza kupata?

ashki majununi ati..
mnapiga mikelele isio na tija humu, huku mnajua daawa ni msalaba? hahahahaa...
 
Kama kuna kitu cha kipuuzi ambacho hupaswi kuleta hapa jukwaani, basi ni maswala ya udini.
Ni ujinga mkubwa kwa waislam kujilinganisha na wakristo kielimu ama kutafuta usawa ktk ajira. Wakati wakristo wakiitafuta Elimu kwa miaka mingi ninyi mmekuwa mkipigana vikumbo kushinda misikitini na kufundishana kuran tukufu.
Ndiyo maana ikitokea taasisi Fulani imeajiri waislam wengi kuliko wakristo watu wanastuka, lkn kama wakristo wamejazana na waislam hakuna ama wapo wachache hakuna cha ajabu hapo. Pelekeni watoto shule acheni majungu ya kutaka usawa kwa masuala yanayohitaji Elimu msiyokuwa nayo.
Wacha watu wajadili tu jamii lazima ijikosoe na kujitathmini yenyewe.
 
ashki majununi ati..
mnapiga mikelele isio na tija humu, huku mnajua daawa ni msalaba? hahahahaa...
Unataka kuniambia pale Tanesco kwenye interview lazima uvae msalaba?
 
Jamani waacheni wala NGURUWE wajazane kwenye hivyo viofisi, wao maisha yao ni hapahapa duniani, kwsho AKHERA ni wote motoni, so waacheni na maisha yao mafupi ha 50 -60 yrs, hali wanayokwenda kukutana nayo kesho sio mchezo, ni viumbe wa kuhurumiwa sana, i wish wangejua kuwa UKRISTO sio DINI, bali ni ubunifu tu MWANADAMU
mkuu,kwa faida zaidi ya huu mjadala adhimu,unaweza kumtaja huyo aliyeubuni ukristo?
 
Kwa uzoefu nilionao hapa jf uzi huu sidhan kama tutaendelea kua nao
 
Huko kwenu majungu yapoje? Ajenda zenu zote zimeahindwa mlianza na kuiita JIPU, mkaja majungu mengine yote ni ukosefu wa akili ya kupambanua mambo, tutaendele kuwavumilia
na kuwaelimisha maana ninyi ni ndugu zetu hatuwezi kuwatupa.
Kweli nimekubali wewe KONOKONO safari yako ya ufahamu bado sana.
 
Ukitaka ufukuzwe kazi serikalini sikiliza mawaidha ya dini ya kiislam ukiwa ofìsini,lakini ni kawaida kutumika mabilioni kununulia mapambo ya Xmas kwa taasisi na idara mbalimbali za serikali.Juzi nilikuwa benki fulani nikiwa ninasubiri huduma nyimbo za kwaya ya kikristo ndio zilizokuwa zinatumbuiza katika bank ya umma.Ni hatari
 
narudia tena hilo eneo ni bora wakatafuta padri au mchungaj misa ziendelee
 
1.Sina muda wa kipuuzi na kupoteza kutafuta takwimu za watu na dini zao kwani sina mpango wa kujenga msikiti au kanisa karibu na ofisi hizo. Eti walitumia kigezo cha dini kuajiri. Yaani kama nafasi imetangazwa hajaomba dini fulani niende barabarani nikambembeleze mtu wa dini Fulani. Umeona wapi kwenye sayari hii mambo ya kijinga kama hayo
2. Kwani kusoma ndo kuajiriwa njoo na hoja kuwa waliingia watu dini kadhaa kwenye interview lakini matokeo yalikuwa hivi lakini hawa hawakufanya vizuri lakini wakapewa nafasi kwa sababu ya dini zao.
Huna habari kuna mtu wanataka kumtangaza kuwa mtakatifu?? Kwa kigezo kipi? Na yeye alikua ni kiongozi wa kiserikali
 
Unataka kuniambia pale Tanesco kwenye interview lazima uvae msalaba?
Mkuu usiseme msalaba, sema jisalaba, yaani ukatuharibie ile misitu yetu kuanzia pale Mafinga na kwingine, tunawalaumu wale wachoma mkaa kumbe hawa Kenge ndo mchwa?!
 
Nasikia uwa wanauliza mpaka majina pale Tanesco.
Ramadhani Dau aliitwa mdini/mujahidina kisa ni kuonyesha mapenzi kwa dini yake waziwazi.Laiti dau angekuwa mlevi na mla nguruwe angezeekea NSSF tena bila kelele.Sikuwahi kusikia mtumishi wowote wa NSSF kwamba alishawahi kunyanyaswa kwa dini yake.Hii nchi inahitaji uvumilivu wa kiwango cha mwisho.
 
Back
Top Bottom