Ni upuuzi Waislam kujilinganisha na Wakristo kielimu na sekta zingine wakati hawana miundombinu ya kutolea huduma hizo kama shule na hospitali! Acheni kulalamika bali wekezeni vya kutosha!!
Umeona wapi waislam wanalalamika kama chanzo kikubwa nyinyi kulalamika kuhusu NSSF..uwe na kumbukumbu kijana...tafti moja tu inaonesha mmepeana nafasi povu lakutokaa....mmechokoza wenyewe subirini fact zinakuja...wajinga kabisa nyie....Ni upuuzi Waislam kujilinganisha na Wakristo kielimu na sekta zingine wakati hawana miundombinu ya kutolea huduma hizo kama shule na hospitali! Acheni kulalamika bali wekezeni vya kutosha!!
Na CEO wa TANESCO nae amejenga kanisa ofisini kama wewe ulivyo fanya kule nssf?
Mbona kama unapanik Mkuu? Ukilinganisha Taasisi za Elimu huoni Kama hawa wenzetu walianza zamani elimu dunia? Ukulinganisha idadi ya taasisi zao za elimu dunia na hizo nyingine miaka 10 iliyopita huoni tofauti?Unafact au porojo tuu...lete takwimu uthibitishe unayosema..alafu km ni hivyo hawasomi why mnalalamika kuwa wapo wengi NSSF?..km huna point kaa kimya pumbavuuuuuu weeeeee
Lakini kwenye issue ya NSSF ilionekana watu wameajiriwa kutokana na dini zao na siyo qualifications zao.Haisaidii hamna mtu Mwenye akili timamu atamwajiri mtu kwa sababu ya dini yake wakati taasisi sio ya kinidini.
dogo asalam aleikum..Dadaangu hebu tuliza vidole vyako usiniletee vidole juu kama muimba Taarabu, jisome hapo juu, tulia na unywe maji
Lete takwimu zinazoonesha kuna taasisi yeyote ya umma iliyo na wafanyakazi wengi wa kiislam wa kuteuliwa au kuajiliwa ili usiwe mfata upepo. ..ishu ya udini mmeileta nyie tena pale NSSF mbaya zaidi nyie ndio mpo wengi...alafu mnapiga domo kuwa NSSF wanapendelea waislam...muache kudanganya umma..Mbona kama unapanik Mkuu? Ukilinganisha Taasisi za Elimu huoni Kama hawa wenzetu walianza zamani elimu dunia? Ukulinganisha idadi ya taasisi zao za elimu dunia na hizo nyingine miaka 10 iliyopita huoni tofauti?
Kama manavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa inaudini na kuna threads nyingi sana zinazungumzia hizo tuhuma kama huu uzi hapa chini. Ajabu hakuna aliyeleta ushidi wowote kuthibitisha tuhuma hizo
NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'
Sasa kuna hizi tuhuma za udini TANESCO na kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa:
View attachment 329206
View attachment 329207
usisahau na hazina ya taifa mnayogawana na serikali huku waislam tukiondokea patupuHuku mnakoelekea iko siku mtamtaka hata moderator atoe idadi ya waislamu na wakristo hapa jf.Ila ukweli ulio wazi kwa wenzetu waisilamu kwenye upande wa maendeleo kwenye taasisi yenu mnakwenda mwendo wa kinyonga na sababu kubwa ni kwakuwa hamchangishani fedha za maendeleo. Kwa wakristo inakuwa tofauti kidogo kwani ni ukweli ulio dhahiri huku makanisani tunachangishana hela za maendeleo mpaka inakuwa kero na huku migogoro ni kitu cha kawaida kabisa. Ila niwaambie ndugu zetu waislamu mtakapoanza kuchangishana hela za maendeleo mjiandae na changamoto za migogoro isiyokwisha kwani fedha mwanaharamu. Hapo Mungu atawekwa pembeni na fedha itakuwa ndio kila kitu.
cc: Faizafox, the big show
Benki kuu. Jipu limepulizwa baada ya kitumbuliwa. Angekuwa muislamu ...... Lakini kwavile ni mgala ka.fi.ri utasikia BOTni sehemu nyeti lazima JPM awe makini.
Inakuwaje mpaka sasa 13.3.2016 hajapayikana wa kuvaa viatu vya dr dau kilikuwa na uharaka gani?
tunajua mbn mnachelewa kumpa alie competency sasa...km sio majungu mmeteua kadum masaa 5 tuuDr Dau kaondolewa kwa incompetency na siyo dini yake!!