TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Huyo Kimburu lengo lake la kuhara hapa ni kuuharibu huu uzi, Kimburu mkubwa huyo wa kuonekana usiku tu.

Mikakati ya Kupunguza Gharama za Kuunganisha Umeme kwa Wateja, Kuongeza idadi ya Watanzania wanaopata na waliofikiwa na umeme: Katika kutekeleza azma yake ya kutimiza lengo la asilimia 30 ya wananchi watakaounganishiwa umeme ifikapo Mwaka 2015, Serikali ilipunguza gharama za kuunganisha umeme kwa wananchi. Katika punguzo hilo, mathalan gharama ya kuunganishwa umeme wa njia moja (single phase) kwa wateja wadogo mijini na vijijini ilipungua kwa wastani wa kati ya asilimia 30 na 77. Kutokana na juhudi hizo za Serikali, idadi ya Watanzania wanaopata umeme imeongeka kutoka asilimia 11 Mwaka 2005ÂÂ hadi kufikia asilimia 24 mwaka 2015. Pia jitihada hizo zimewezesha Watanzania asilimia 36 kufikiwa na miundombinu ya umeme.
 
Ndiyo maana Tanesco wizi mtupu, huduma mbovu, hakuna ustaarabu hata chembe.

Hii nchi ilitakiwa iwe na umeme 100% lakini kwa hivyo mijitu iliyojazana huko, labda sasa.

Sasa mngeweka na list kama hiyo ya NSSF tujionee nani ni wadini wa kutupwa.
 
Hapana mkuu anakuja mda simrefu tuwe na subra lkn km hatoleta ufafanuz wa agenda bas cna shaka na yeye ni miongon mwa waliopata nafas kupitia undugu na udini
 
Mikakati ya Kupunguza Gharama za Kuunganisha Umeme kwa Wateja, Kuongeza idadi ya Watanzania wanaopata na waliofikiwa na umeme: Katika kutekeleza azma yake ya kutimiza lengo la asilimia 30 ya wananchi watakaounganishiwa umeme ifikapo Mwaka 2015, Serikali ilipunguza gharama za kuunganisha umeme kwa wananchi. Katika punguzo hilo, mathalan gharama ya kuunganishwa umeme wa njia moja (single phase) kwa wateja wadogo mijini na vijijini ilipungua kwa wastani wa kati ya asilimia 30 na 77. Kutokana na juhudi hizo za Serikali, idadi ya Watanzania wanaopata umeme imeongeka kutoka asilimia 11 Mwaka 2005ÂÂ hadi kufikia asilimia 24 mwaka 2015. Pia jitihada hizo zimewezesha Watanzania asilimia 36 kufikiwa na miundombinu ya umeme.
We kinyamkera kesho pia tutaenda pale Kigangoni kwenye misa asubuhi?
 
Hapana mkuu anakuja mda simrefu tuwe na subra lkn km hatoleta ufafanuz wa agenda bas cna shaka na yeye ni miongon mwa waliopata nafas kupitia undugu na udini

Upelekaji Umeme Katika Makao Makuu ya Wilaya na Vijijini

Serikali ilianzisha rasmi Mfuko na Wakala wa Nishati Vijijini mwezi Oktoba, 2007. Lengo ni kuongeza kasi ya usambazaji umeme katika Makao Makuu ya wilaya na vijijini, na hivyo kufikia asilimia 36 ya wananchi walioungashiwa umeme mwaka 2015. Katika kufikia lengo hili na kutekeleza Ibara ya 63(c) ya Ilani ya 2010 – 2015 ya CCM, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini imepata mafanikio yafuatayo:

(i)Kukamilika kwa upelekaji umeme katika makao makuu ya wilaya kumi na saba (17). Wilaya hizo ni Bahi, Kasulu, Kibondo, Kilindi, Kilolo, Kishapu, Ludewa, Mbinga, Mkinga, Namtumbo, Ngorongoro, Nkasi, Rorya, Simanjiro, Songea, Sumbawanga na Uyui. Kazi hiyo pia ilihusisha ufungaji wa jenereta na ujenzi wa njia za umeme kwa ajili ya kusambaza katika maeneo husika. Aidha, katika kipindi hicho jumla ya vijiji 106 katika mikoa mbalimbali nchini vimepatiwa umeme. Pia mpaka sasa makao makuu ya mikoa yote Tanzania Bara na jumla ya makao makuu ya wilaya 119 kati ya 135 yamepatiwa umeme.
 
We kinyamkera kesho pia tutaenda pale Kigangoni kwenye misa asubuhi?

1.Kuongeza Uzalishaji Umeme

Kwa kuzingatia ukuaji wa sekta ndogo ya umeme hapa nchini na mahitaji makubwa ya umeme yanayoongezeka kwa kasi, Serikali iliweka mikakati mahsusi kuongeza uzalishaji wa umeme hadi kufikia MW 2,780 Mwaka 2015/16. Katika kipindi cha 2005 – 2015, Serikali ya Awamu ya Nne ilifanikiwa kuongeza uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme katika Gridi ya Taifa kutoka MW 891 zilizokuwepo mwaka 2005 hadi kufikia MW 1,501.24 mwaka 2014 sawa na ongezeko la asilimia 68.5. Mpaka kufikia Julai, 2015 uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme katika Grid ya Taifa ulipungua na kufikia MW 1,246.24 kutokana na kukoma kwa baadhi ya mikataba ya wazalishaji binafsi ambao wamekuwa mzigo kwa Shirika kutokana na gharama kubwa. Kuongezeka kwa uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme katika Gridi ya Taifa kwa kipindi cha Awamu ya Nne kutokana na utekelezaji wa mipango na miradi mbalimbali ya kuzalisha umeme. Juhudi zilizochangia mafanikio hayo ni pamoja na:
 
Mkuu nadhani una nafasi ya kuanzisha Uzi wako utakaozungumzia maboresho ya tanesco 2015-2020 kama ilani ya chama chako inavyoainisha hapa hayo uliyoandika yoote si mahala pake
 
Acha Ujuhaa hata kama takwim zinaonyesha mmezi lakini sio kihivyo hapo ni udini tu

Kukamilika kwa Mtambo wa kuzalisha umeme MW 100 – Ubungo I: Mtambo huo upo katika eneo la TANESCO-Ubungo Dar es Salaam. Mtambo huu una uwezo wa kufua umeme wa MW 100 kwa kutumia gesi asilia na ulifunguliwa rasmi na Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwezi Novemba, 2008.
 
Mkuu nadhani una nafasi ya kuanzisha Uzi wako utakaozungumzia maboresho ya tanesco 2015-2020 kama ilani ya chama chako inavyoainisha hapa hayo uliyoandika yoote si mahala pake
Huyo Kimbaumbau mpepeswa na mwiko analo lake, ndio imemuingia.
 
Wakristo wanaamini wao ndio wanaopaswa kushika nyadhifa zote. Ofisi za serikali nyingi zimekuwa vigango.Tanesco kujaza wakristo mwanzo mwisho haionekani ajabu. Ofisi nyingi ukifika kuomba kazi na mkristo hata kama unamzidi sifa mwenzio atapata nafasi wewe kwavile tu ni muislam basi hupaswi kupata kazi. Udini unapaliliwa na hawahawa makatonta wala ngurue
 
Wasomi hao. wakat wanaenda shule wengine mlikuwa mnajua mnakoelekea. Hahahaha utabaki kuanzisha thread tu
 
Nadhani anatetea ugali bila kujal nin kinaongelewa
 
Si unajua ndugu yangu tabia za mnafiki tena huwezikuzitafuta maana zipo wazi kabisa,

Kukamilika kwa Ujenzi wa Mtambo wa Kufua Umeme, MW 45 – Tegeta: Ujenzi wa mtambo huo unaotumia gesi asilia una uwezo wa kufua umeme wa MW 45 ulikamilika na kuanza kufua umeme Mwezi Desemba, 2009.

(iii)Kukamilika kwa Ujenzi wa Mtambo wa Kufua Umeme, MW 105 – Ubungo II: Mtambo huu unatumia gesi asilia kufua umeme wa MW 105, upo katika eneo la TANESCO – Ubungo Jijini Dar es Salaam na ulizinduliwa rasmi na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Mh. Prof. Sospeter M. Muhongo Mwezi June, 2012.
 
Huna habari kuna mtu wanataka kumtangaza kuwa mtakatifu?? Kwa kigezo kipi? Na yeye alikua ni kiongozi wa kiserikali
Huyo mtu anahusiano gani na Tanesco na udini? Kama dini au thehebu alilokuwa akisali wakati akiwa hai wameona inafaa kumwita huyo mtakatifu inatuhusu nini mimi na wewe? Ya serikali apewe serikali na ya dini wapewe wadini.
 
Wakristo wanaamini wao ndio wanaopaswa kushika nyadhifa zote. Ofisi za serikali nyingi zimekuwa vigango.Tanesco kujaza wakristo mwanzo mwisho haionekani ajabu. Ofisi nyingi ukifika kuomba kazi na mkristo hata kama unamzidi sifa mwenzio atapata nafasi wewe kwavile tu ni muislam basi hupaswi kupata kazi. Udini unapaliliwa na hawahawa makatonta wala ngurue

Kukamilika kwa Mtambo wa kuzalisha umeme MW 60 – Mwanza: Ujenzi wa mtambo huo umekamilika na ulizinduliwa rasmi na Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 06 Septemba, 2013. Mtambo huu umesaidia kuboresha upatikanaji wa umeme na kuimarisha gridi ya Taifa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.

(v)Kukamilika kwa Mradi wa Umeme wa Somanga Fungu, MW 7.5: Mitambo ya kufua umeme wa MW 7.5 kwa kutumia gesi asilia iliyopo Somanga Fungu mkoani Lindi ilizinduliwa na Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mwezi Agosti, 2010. Mitambo hiyo inafua umeme unaosambazwa katika miji ya Bungu, Kibiti, Kilwa Kivinje, Kilwa Masoko, Kindwitwi, Muhoro, Nangurukuru, Somanga, Tingi, Utete, Nyamwange, maeneo ya Njia Nne na Hospitali ya Mchukwi.
 
Back
Top Bottom