TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

hapa ngoja niwaache mlumbane maana chama lenu pendwa limewaroga sera ya udini na imewaingia kweli
 
Enough is enough sasa

Wamejaa sana huko na sehemu zingine nyingi bado hawatosheki na wanakuja kutuandama waislam eti pale anapoonekana mkurugenz fulan au kiongoz fulan ni muislam basi ni tabu

Wanasema Udom kuna udin eti kisa ni kuna viongoz waislam

Wanasema CAG Prof Assad amejenga msikit ofc ya umma eti kisa ni muislam

Wanasema Dr Dau kajenga msikit Nssf eti kisa ni muislam

Tatizo lao ni nin?

Mbona wao wamejenga makanisa ofc nyiingi tuh za serikali sisi tunapokaa kimya wanadhan sisi ni wajinga?

Tumechoka sasa kama mbaya wacha tuh iwe mbaya zaid..hiz choko choko wameanza wao
 
sasa kama hali ndiyo hii kelele zote dhidi ya NSSF zilikuwa zinatoka wapi? kama hali iko hivi basi nahisi kuwa wale waliokuwa wanadai nchi hii kuna underground mfumo Kristo walikuwa wameishi na wameyaona mambo kama haya.
 
Peleka vyeti kama elimu yko inakizi utaajiliwa sio kuleta hoja zaifu hapa
 
Mkuu hapo Tanesco Hiyo Top management Muislam ni huyo mmoja tuh Alhajj Nazir Kachwamba...

Na Bado wanampiga vita sana huyo smart boy kachwamba.

Wana chuki sana hawa jamaa

Na sasa tunataka tuweke data za mashirika mengine yoote na tuende had kwenye government directory of employees tuone jins ukristo ulivyo tamalaki kwenye utumish wa umma

Na huko huwez kuskia neno udini na hiyo ni kwa kuwa wamejaa wao

Imetosha sasa
 
sipendi mada hizi maana huwa hazipangwi zinatokea tu.tuachane na mambo ya udini tufocus kusaidia uchumi wa nchi yetu.pakuwa na umeme mzuri wanaofaidika ni wote.tuubge mkono juhudi njema na sio kuwasha mioto isiyo na maana

Huzipendi mada kama hizi kwa sababu tu zimeigusa imani yako. Ila ingalikuwa ni mada inayowahusu Waislamu, mishipa ya shingo ingekusimama. Usiondoke tuendelee kujadili...
 
Safi sana, ndio maana tunapiga kelele kila siku nyie maamuma msome, sio kufuga midevu tu
 
Hamna lolote, ni mpuuzi tu anaweza kufikiri kidini, kwanza tuna uhakika gani kuwa hizi takwimu ulizotoa ni sahihi? Sidhani kama ajira zinatolewa kidini mahala popote serikali na kama ipo sidhani kama ni kwa kiasi hicho! Ina maana akija mkristo na mwislam alafu wakati wa interview mwislamu akashindwa kufanya vyema, unataka achaguliwe tu kisa dini? Acha kabisa usitulishe udini Watanzania.

Tunakuomba wewe mwenye takwimu sahihi utuletee hapa.
 
sasa kama hali ndiyo hii kelele zote dhidi ya NSSF zilikuwa zinatoka wapi? kama hali iko hivi basi nahisi kuwa wale waliokuwa wanadai nchi hii kuna underground mfumo Kristo walikuwa wameishi na wameyaona mambo kama haya.

Hiyo ndiyo hali halisi mkuu

Tunaposema mfumo kristo ni jambo lililo dhahir kabisa

Na ndio kwa maana wakiona sehem kuna waislam baadhi ni viongoz kama Udom..CAG..Dr Dau wanaanza kulia lia udini

Yaani hawakuzoea kuwaona waislam kwenye utumish wa umma...

Waislam kwao wanaonekana kama Intruders au kama siyo watanzania kabisa


Tutahakikisha hii hali inabadilika by any means necessary
 
Udini hauna nafasi kwa maendeleo yetu kikubwa tujenge uwezo wa vijana wetu kitaaluma wawe na uwezo katika fani mbalimbali maana ukienda interview ya nafasi ya kazi hakuna swali la kuulizwa dini yako na hata ukiulizwa halina maksi
 
Kama ulisoma elimu AHELA, unategemea upate kazi katika elimu DUNIA ni ndoto za ALINACHA.

Badala ya kulalamika msome ili mpate vigezo vya kushika hizo nyadhifa.

Naona swala la DAU limekuchanganya mkuu, tujenge nchi majungu peleka huko..

HAPA KAZI TU

Hatuwezi kujenga nchi kwa udini. Tujadili hii mada kwa busara na adabu, mkileta matusi hatutofika mbali.
 
kaaazi kweli kweeeli.....namkumbuka sana mwalimu,
mleta mada unataka kutugawa watz,
 
Back
Top Bottom