Python
Member
- Jun 10, 2013
- 31
- 33
Habari Tanesco
Nauliza hivi hii technology yenu ya kizamani ya kulipia umeme electronically alafu nipande kistuli nikaiweke kwa mita ukutani wengine wenye vile vicalculator muda huo hakina bettry mpaka ukanunue battry dukani uweke ndo kiwake uweze kuweka token
Huu uprimitive mtauacha lini TANESCO,,, yani huku tutatoka lini??? Au nyie mnachojua ni kucheza tu na units tukiweka umeme units kadhaa ndani ya siku 2 umeisha