Hizi ni Misson na Vision za Shirika lenu;

MISSION: “Deliver electricity in a most effective, competitive and sustainable manner”

VISION: “A Leading Regional Provider of Quality and Affordable Electric Power”

Maeneo mengi kwa sasa hayapati umeme full day (24hrs). Pengine uwepo mchana usiku ukatike, au ukatike mchana usiku uwepo

Hivi mnajua mnatakiwa kuishi ndani ya Mission na Vision mlizoweka wenyewe au mpo mpo tu?

TANESCO
 
TANESCO ARUSHA MNATUNYASA SANA HASA SISI WAKAZI WA NJIRO KILA SIKU HATUNA UMEME TUMEWAKOSEA NINI SISI
 
Napendekeza kuwa
watu walio tumia umeme pengine chini ya uniti 70 kwa mwezi kwa kipindi kisichopungua Miezi sita hivi wote wawekwe kwenye kundi la 0Tariff na wale walio tumia umeme zaidi ya Unit 75 hivi kwa mwezi kwa miezi angalau mitatu mfululizo wote wapandishwe kwenda kwenye standard tariff.

Nimeandika hivi kwa kuwa kuna watu wengi masikini wako kwenye tarrif za juu kwa kuwa hawajui taratibu za kufuata ili wapate tarrif stahiki (0 tariff) lakini kuna haja gani ya mtu masikini kutumia gharama ya kusafiri hadi wilayani kufuatilia 0 tariff wakati data zote za mita mnazo ofisini kwenu?
 
Kitengo cha huduma za dharura mkoa WA Dodoma simu hazipokelewi, inasikitisha sana maana ya Emergency kutokupewa umhimu. Mteja anapiga simu zaidi ya masaa mawili simu inaita tu.

Ama hizi namba hazifanyi KAZI ?? 026 232 1728
 
Kitengo cha huduma za dharura mkoa WA Dodoma simu hazipokelewi, inasikitisha sana maana ya Emergency kutokupewa umhimu. Mteja anapiga simu zaidi ya masaa mawili simu inaita tu. Ama hizi namba hazifanyi KAZI ?? 026 232 1728
@TANESCO
 
Nimerudishwa kwenye matumizi makubwa ya umeme, nimezidisha kununua umeme bila kujua maana nilikuwa nalipia kidogo kidogo, nifanyaje ili nirudi kwenye matumizi madogo naomba msaada tafadhari
 
Nimerudishwa kwenye matumizi makubwa ya umeme, nimezidisha kununua umeme bila kujua maana nilikuwa nalipia kidogo kidogo, nifanyaje ili nirudi kwenye matumizi madogo naomba msaada tafadhari
Huu utaratibu wa TANESCO sijui niwa enzi ya Mwalimu yaani huendani na hii karne; Yaani mtu wa kipato cha chini ikitokea akapata mtu wa kumnunulia umeme wa shs 10,000 akatae?

Nafikiri kwa maendeleo ya Technologia wange forcus kweye matumizi kuliko kiasi mtu alicho nunua
 
Huu utaratibu wa TANESCO sijui niwa miaka 40 iliyopita na ndio wanatumia hadi leo mwaka 2022???
yaani mtu wa kipato cha chini ikitokea akapata mtu wa kumnunulia umeme wa shs 10,000 akatae???
Nafikiri wange forcus kweye matumizi kuliko kiasi mtu alicho nunua
Hivi naweza kurudishwa kwenye matumizi madogo kweli? maana hapa nahisi kuchanganyikiwa kabisa
 
Mimi umeme wa elfu kumi natumia miezi miwili,kila nikiwaambia wanihamishie kwa wenye matumizi madogo wananipiga chenga ooh! Unajua,unajua kwa Sasa nimeona poa,wacha life nilisongeshe.
 
TANESCO mlisema mnakata umeme kuanzia alfajiri saa 11 hadi saa 5 asubuhi.Sasa saa hizi saa 6 mmekata Kimara.Tushike lipi?

Mida ya kazi hii mnatutia hasara nyinyi watu, kila siku hamuishu sababu.
Sababu zenu hazihalalishi incompetence yenu kwamba tuna shirika ambalo kila mda linashindwa kutoa huduma endelevu kwa wananchi.
Mimi humu nalumbana na nyinyi tangu 2012 na majibu yenu ni haya kwamba mnaboresha miundombinu.

Tangu 2012 tunasubiri miundombinu iboreke,tunazeeka tukisubiri nyinyi,biashara zetu zikiharibika kabisa,kweli?hii ni hoja ya maana?

Hapa tumekaa tumezima mashine, tunasubiri Tanesco warudishe umeme na ndio trend miaka nenda rudi!msss!
 
Back
Top Bottom