changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 5,646
- 9,267
Nanua umeme lakini naletewa ujumbe huu. Muamala wako Haukukamilika TXN Id : .............. , Mpokeaji kafungiwaTumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali
Nanua umeme lakini naletewa ujumbe huu. Muamala wako Haukukamilika TXN Id : .............. , Mpokeaji kafungiwaTumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali
Hivi TANESCOIpo eneo gani?
Mimi nashangaa hawa Moderator kwanini wasiwapige life ban hawa TANESCOHivi TANESCO
Kwann kujibu swal dogo Kama langu umeshindwa NIMEKUULIZA NAOMBA NIANGALIZIE MITA NAMBA 24210297172 KAMA NAWEZA KUWA TARRIF NAMBA 4
sijapata jibu zaidi umeniuliza napatikana wapi nimekujibu MBAGALA KILUNGULE ..DSM
LAKN HUJANIPA MAJIBU SWALI LINA SIKU YA TANO LEO
JAMBO KAMA HILI NALO TUACHE KAZI TUKAPANGE FOLENI KUULZIA ?
NN MAANA YA KUJA HUMU
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
ni kweli hata mie nimepata ugumu kununua umeme .Aisee kumbe ni system nimeshangaa naletewa ujumbe kwamba mpokeaji kafungiwa.
Hawa hawako serious, embu fikiria tu huu uzi tokea ulivyofunguliwa wameshindwa hata kufanya update za taarifa zao kwanzia humu jukwaani mpaka kwenye website yao hivyo hivyo, hawaja update taarifa zao.Hivi TANESCO
Kwann kujibu swal dogo Kama langu umeshindwa NIMEKUULIZA NAOMBA NIANGALIZIE MITA NAMBA 24210297172 KAMA NAWEZA KUWA TARRIF NAMBA 4
sijapata jibu zaidi umeniuliza napatikana wapi nimekujibu MBAGALA KILUNGULE ..DSM
LAKN HUJANIPA MAJIBU SWALI LINA SIKU YA TANO LEO
JAMBO KAMA HILI NALO TUACHE KAZI TUKAPANGE FOLENI KUULZIA ?
NN MAANA YA KUJA HUMU
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa ubunifu n tatizo kwao wanatakiwa walipwe mishahara kwa Kaz wakizofanyaHawa hawako serious, embu fikiria tu huu uzi tokea ulivyofunguliwa wameshindwa hata kufanya update za taarifa zao kwanzia humu jukwaani mpaka kwenye website yao hivyo hivyo, hawaja update taarifa zao. Kiasi kwamba namba nyingi zilizowekwa kwaajili ya mawasiliano zimefungiwa ukipiga unaambiwa namba haipo. Taasisi kubwa kama hii inashindwa hata kuwa makini na swala la mawasiliano kwa wateja wao.
Je ni eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali
Turiani Madizini Morogoro umeme ulikatika Toka Jana hakuna taarifa yoyote, na umeme Kwa Turiani unafikiri ni hisani Yani kama wakazi wa kule hawastahili umeme , vitu vinaharibika, sijui ile wilaya Tanesco Ina mkakati gani??Dumila kumekua kama vile vijiji vya ndani ndani yaani umeme ushakua shida sana hovyo kabisa yaani kila siku lazima umeme ukate
Sent using Jamii Forums mobile app