Ipo eneo gani?
Hivi TANESCO

Kwann kujibu swal dogo Kama langu umeshindwa NIMEKUULIZA NAOMBA NIANGALIZIE MITA NAMBA 24210297172 KAMA NAWEZA KUWA TARRIF NAMBA 4

sijapata jibu zaidi umeniuliza napatikana wapi nimekujibu MBAGALA KILUNGULE ..DSM

LAKN HUJANIPA MAJIBU SWALI LINA SIKU YA TANO LEO

JAMBO KAMA HILI NALO TUACHE KAZI TUKAPANGE FOLENI KUULZIA ?

NN MAANA YA KUJA HUMU

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: ADK
Hivi TANESCO

Kwann kujibu swal dogo Kama langu umeshindwa NIMEKUULIZA NAOMBA NIANGALIZIE MITA NAMBA 24210297172 KAMA NAWEZA KUWA TARRIF NAMBA 4

sijapata jibu zaidi umeniuliza napatikana wapi nimekujibu MBAGALA KILUNGULE ..DSM

LAKN HUJANIPA MAJIBU SWALI LINA SIKU YA TANO LEO

JAMBO KAMA HILI NALO TUACHE KAZI TUKAPANGE FOLENI KUULZIA ?

NN MAANA YA KUJA HUMU

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mimi nashangaa hawa Moderator kwanini wasiwapige life ban hawa TANESCO

Hawana msaada wowote,hawapo active na majukumu yao,wapo local sana,hawana creativity,inshort wapingwe life ban
 
Hivi TANESCO

Kwann kujibu swal dogo Kama langu umeshindwa NIMEKUULIZA NAOMBA NIANGALIZIE MITA NAMBA 24210297172 KAMA NAWEZA KUWA TARRIF NAMBA 4

sijapata jibu zaidi umeniuliza napatikana wapi nimekujibu MBAGALA KILUNGULE ..DSM

LAKN HUJANIPA MAJIBU SWALI LINA SIKU YA TANO LEO

JAMBO KAMA HILI NALO TUACHE KAZI TUKAPANGE FOLENI KUULZIA ?

NN MAANA YA KUJA HUMU

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hawa hawako serious, embu fikiria tu huu uzi tokea ulivyofunguliwa wameshindwa hata kufanya update za taarifa zao kwanzia humu jukwaani mpaka kwenye website yao hivyo hivyo, hawaja update taarifa zao.

Kiasi kwamba namba nyingi zilizowekwa kwaajili ya mawasiliano zimefungiwa ukipiga unaambiwa namba haipo. Taasisi kubwa kama hii inashindwa hata kuwa makini na swala la mawasiliano kwa wateja wao.
 
Habari nanunua umeme imeniletea ujumbe wa mita namba yangu imefungiwa

Hiyo imekaaje? Wapi naanzia

Nipo Wilaya ya Mkuranga kata ya Vikindu
Ahsante
 
Hawa hawako serious, embu fikiria tu huu uzi tokea ulivyofunguliwa wameshindwa hata kufanya update za taarifa zao kwanzia humu jukwaani mpaka kwenye website yao hivyo hivyo, hawaja update taarifa zao. Kiasi kwamba namba nyingi zilizowekwa kwaajili ya mawasiliano zimefungiwa ukipiga unaambiwa namba haipo. Taasisi kubwa kama hii inashindwa hata kuwa makini na swala la mawasiliano kwa wateja wao.
Hawa jamaa ubunifu n tatizo kwao wanatakiwa walipwe mishahara kwa Kaz wakizofanya

Swal hakihusian na eneo lakn utaulizwa

Eneo

Wilaya

Mkoa

Mfano mm nimeuliza naomba kujua Kama naweza ingia TARRIF 4 lakn ntaulizwa mkoa wilaya dini mtaa ukoo wangu



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
TANESCO Manyara kuna mgao wa umeme karibu wiki Tatu sasa, shida ni nini? Kwa sababu hawajatutangazia, tunaona ni washa Zima, washa Zima, shughuli za kujiali hadi zinakuwa ngumu.

Tafadhali TANESCO Tunaomba mtueleze kuna shida gani?, kama umeme hautoshi tujue. MENEJA MANYARA TOA TAARIFA TUJUE.
 
What's going on tanesco?mbona mpo makatili hivi?why mnakata umeme bila kutupa taarifa?,kinondoni Hananasif umeme umekatwa na hakuna taarifa yeyote, sometimes ninakumbuka few years ago umeme ulikua haikatiki ovyo na ukikatika taarifa tunapewa sisi clients, it's a bulshit
 
#TANESCOView attachment 2153307View attachment 2153308View attachment 2153310View attachment 2153309
IMG-20220316-WA0081.jpg
 
"TUMERIDHIKA NA MAENDELEO YA MRADI JNHPP" MH KITANDULA

Kwa mara nyingine tena Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeendelea kupata pongezi za usimamizi mzuri wa miradi ya umeme nchini ambapo Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema kazi kubwa imefanyika ilipotembelea kukagua utekelezaji wa mradi wa kimkakati wa kufua umeme kwa nguvu za maji wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha jumla ya megawati 2115.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Dunstan Kitandula ameyasema hayo leo Machi 16,2022 alipokua kwenye ziara ya Kamati kukagua maendeleo ya wa mradi huo, ikiwa ni ziara ya kikanuni kutokana na kamati hiyo kuwa ndio yenye jukumu la kuisimamia Wizara ya nishati kwenye utendaji wa taasisi zilizo chini yake.

"Kimsingi kamati tumeridhika na kazi kubwa inayofanyika katika mradi huu, Tunaipongeza sana serikali kwa jitihada inazozifanya kuhakikisha unakamilika na TANESCO kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa mradi" amesema Mhe. Kitandula.

Kwa upande wake Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba amesema Wizara inaridhishwa na usimamizi mzuri wa TANESCO katika utekelezaji wa mradi wa Julius Nyerere.

"Tumefanya marekebisho kadhaa miezi michache iliyopita katika uendeshaji na usimamizi wa mradi na mabadiliko hayo yamesaidia kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi katika kuhakikisha ubora na viwango vinazingatiwa,” amesema Waziri Makamba.

Aliongeza kuwa, dhamira ya Wizara ni kuhakikisha mradi wa Julius Nyerere unakamilika kwa viwango vinavyotarajiwa na watanzania ili uweze kuongeza uhakika wa upatikanaji nishati ya umeme nchini.

Akizungumzia maendeleo ya mradi Mkurugenzi Mtendaji TANESCO, Maharage Chande amesema mpaka sasa mradi umefika asilimia 56.84 kwa mujibu wa taarifa ya mwezi wa pili mwaka huu.

"Sina mashaka hata kidogo kwamba mradi utakamilika lililopo mbele yetu ni kufanya tathmini na kubuni mbinu za kupunguza muda wa ucheleweshaji hata ikitokea umechelewa basi iwe kwa siku chache iwezekanavyo kazi hiyo inafanyika kiuhandisi na tutafanya kazi usiku na mchana mpaka mradi ukamilike, " alimalizia Maharage.

Ziara hiyo ya kamati imekagua maendeleo ya mradi huo ikiwa ni moja ya jukumu lao la msingi kama kamati Katika kuhakikisha mradi unakamilika ili uweze kuchangia katika shughuli za kimaendeleo nchini.

Screenshot_20220316-214337_Instagram.jpg
 
Kwa hyo Sasa jukwaa umeligeuza la siasa umepewa platform ya kujibu kero za wananchi lakn hujibu kuna maswal lukuki humu ya kuyajibu na hujayajibu unayapita lakn una muda wa kupost vitu ambavyo havina tija

SS wananchi tunataka tutatuliwe kero zetu hao wabunge wao wanauwezo wa kununua majenereta solar panels wakawasha umeme wakat huu tatizo la luku n tishio na haijulikani mtatatua lini

Mkurugenz mwenza wa jamii forums bwana Maxence Melo haya ndiyo makubaliano yenu na shirika la umeme Tanzania tuambie Kama moja ya makubaliano yenu n kutojibu hoja za wananchi na sehemu hi n sehemu ya propaganda ya kuwapumbaza watanzania kupitia chombo chako?

Naomba Sana majibu Maxence Melo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Dumila kumekua kama vile vijiji vya ndani ndani yaani umeme ushakua shida sana hovyo kabisa yaani kila siku lazima umeme ukate

Sent using Jamii Forums mobile app
Turiani Madizini Morogoro umeme ulikatika Toka Jana hakuna taarifa yoyote, na umeme Kwa Turiani unafikiri ni hisani Yani kama wakazi wa kule hawastahili umeme , vitu vinaharibika, sijui ile wilaya Tanesco Ina mkakati gani??
 
Back
Top Bottom