mita ipo juu ya nguzo hivyo natumia king'amuzi na king'amuzi chenyewe hakionyeshi unit zilizopo na mara ya mwisho unit zilikua 30,kinachoandika kila nikijaribu kuangalia ni error 77 na umeme hauwakiMita imefanyaje tafadhali?
NitashukuruTunafatilia taarifa zako kwa hatua zaidi tafadhali
Leo nimewapata watu wa Mkuranga wamenifahamisha kuwa bado vifaa (meter) hawajaletewa kutoka makao yao makuu ambayo ni kibaha,Tunafatilia taarifa zako kwa hatua zaidi tafadhali
Tatizo ni nini haswaHii app haifanyi Kazi. Ni kwangu tu au kwa wote?! Nili uninstall na ku install upya lakini badoView attachment 1754389
Je, namba ya taarifa umeipataje? Tunaomba namba unayopiga na kuikosa tafadhali huku tukifatilia swala lako.Mkoa wa mbeya simu hazipokelew napiga simu had nachoka. Umeme hauwak nyumban siku ya tano leo lakini kwa majirani ambao tunatumia nguzo moja unawaka, pia unit zipo na socket breaker ipo vizur nahitaji msaada wa haraka leo siku ya tano bila umeme
JINA ATU TETE
ENEO ISYESYE KARIBU NA MWAKASOLE LODGE
NO. 0758220085
Namba ya ripot 1577
Nikiifungua haionyeshi chechote. White color tu.Tatizo ni nini haswa
Tunashukuru kwa taarifaNikiifungua haionyeshi chechote. White color tu. View attachment 1754412
Nia yangu ilikuwa ni kupata msaada.Tunashukuru kwa taarifa
Namba ya taarifa niliipata jumatano usiku baada ya kupiga simu kwa muda mrefu nlipojaribu usiku ndo ikapokelewa ila tangia nmepewa hyo no nikpiga simu kuwakumbusha haipokelewi na wakat mwingine haipatikani kabisa.Je namba ya taarifa umeipataje? Tunaomba namba unayopiga na kuikosa tafadhali huku tukifatilia swala lako
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidiNamba ya taarifa niliipata jumatano usiku baada ya kupiga simu kwa muda mrefu nlipojaribu usiku ndo ikapokelewa ila tangia nmepewa hyo no nikpiga simu kuwakumbusha haipokelewi na wakat mwingine haipatikani kabisa
No yenyew hii +255252504219
Tumepokea taarifa kwa hatua
AsanteTumepokea taarifa kwa hatua zaidi