KAYAMASKINI
Member
- Oct 29, 2016
- 50
- 21
Naambia hapa mkekuwa na Tabia ya kukata umeme katavi town bila kutoa taarifa tanesco katavi mungu anawaona
Kwa kweli huku Kigamboni wamezidi halafu ni kila siku.... imagine leo tu tangu asubuhi wameshakata mara tatu na hadi muda huu hakuna umeme wanaboa sanaTANESCO, kwanini mnakatakata umeme sana huku Kigamboni mpaka nakosa raha ya kukaa huku? Mnatuchukuliaje hasa aisee? Mnakata as if hatustahili kupewa notisi kabla ya kukata umeme?
TANESCO MOROGORO HAMUELEWEKI tumeomba kuingiziwa umeme zaidi ya mwaka sasa kila tukienda majibu ni yale yale hakuna nguzo na wako wengine wameomba kuingiziwa inakaribia miaka 2 sasa shirika linajiendeshaje kama watu wa kulifanya shirika liendelee hawapati huduma hiyo nyumba za jirani ziliingiziwa umeme zamani naulizia hata kuchukua umeme wa jirani kuleta ndani nasikia mmekataza sasa si mnapoteza hela wenyewe jamani kituo ni TANESCO Turiani wilaya ya Mvomero nshachoka kufuatilia kwa kweli nawekeza kwenye solar power tuShirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.
Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika;
1. ENEO HUSIKA
(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)
2. NAMBA YA SIMU
(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)
3. KARIBU NA NINI
(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)
4. JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO
(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)
5. MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI
(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)
6. KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME
(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)
7. KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI
(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)
TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.
ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO
Vilevile pitia threads hizi kupata Maelezo ya ziada;
LUKU:Mfumo wenye Tija kwa Wateja na TANESCO
Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani
Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO
Kw mawasiliano Kituo cha Miito ya Simu (+255) 22194400 or (+255) 768 985 100 Mitandao ya kijamii Tanescoyetu (@tanescoyetu) | Twitter Facebook: Tanesco Yetu
HAPA CHINI NI NAMBA ZA SIMU ZA MIKOA
Ofisi ya Mkoa wa Mbeya Simu ya Mkononi (+255) 757 529 380 ya Mezani (+255) 252 504 219
Ofisi ya Mkoa wa Ilala Simu ya Mkononi (+255) 784 768 586 ya Mezani (+255) 222 133 330
Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kusini (Magomeni) Simu ya Mkononi (+255) 715 271 461/ (+255) 784 271 461
Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini (Mikocheni) Simu ya Mkononi (+255) 784 768 584 / (+255) 716 768 584 ya Mezani (+255) 222 700 367/ (+255) 222 701 602 / (+255) 222 774 098
Ofisi ya Mkoa wa Temeke Simu ya Mkononi (+255) 712 052720 / (+255) 758 880155 / (+255) 732 997361
Ofisi ya Mkoa wa Pwani Simu ya Mkononi (+255) 78 5122020 / (+255) 65 7108782ya Mezani (+255) 23 2 402 386
Ofisi ya Mkoa wa Arusha Simu ya Mkononi (+255) 75 8 174 343 Mezani (+255) 272 506 110
Ofisi ya Mkoa wa Tanga Simu ya Mkononi (+255) 658 122 412/ (+255) 687 677 667 Mezani (+255) 27 2 646 779
Ofisi ya Mkoa wa Kilimanjaro Simu ya Mkononi (+255) 765 397 925/ (+255) 682 771 310 Mezani (+255) 272 755 007/8
Ofisi ya Mkoa wa Manyara Simu ya Mkononi (+255) 689 795 599 / (+255) 75 9 534 130 Mezani (+255) 272 530 590
Ofisi ya Mkoa wa Mwanza Simu ya Mkononi (+255) 759 777 786 / (+255) 687 910 202 Mezani (+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090
Ofisi ya Mkoa wa Geita Simu ya Mkononi (+255) 744 085 696 Mezani (+255) 28 2520330
Ofisi ya Mkoa wa Kagera Simu ya Mkononi (+255) 78 5 787 898 / (+255) 75 3 120 701 Mezani (+255) 282 220 061
Ofisi ya Mkoa wa Mara Simu ya Mkononi (+255) 762 165 087 / (+255) 732 985 672
Ofisi ya Mkoa wa Simiyu Simu ya Mezani (+255) 282 700 180
Ofisi ya Mkoa wa Dodoma Simu ya Mkononi (+255) 782 161 643 Mezani (+255) 262 321 728
Ofisi ya Mkoa wa Morogoro Simu ya Mkononi (+255) 68 4889272 / (+255) 65 4829046 Mezani (+255) 232 613 501/2
Ofisi ya Mkoa wa Singida Simu ya Mkononi (+255) 71 4 477 445 / (+255) 732 960 924 / (+255) 689 373 757 Mezani (+255) 262 502 133
Ofisi ya Mkoa wa Tabora Simu ya Mkononi (+255) 786 558 510 / (+255) 763 162 868
Ofisi ya Mkoa wa Shinyanga Simu ya Mkononi (+255) 754 521 070 Mezani (+255) 28 2762120
Ofisi ya Mkoa wa Kigoma Simu ya Mkononi (+255) 78 3720598 Mezani (+255) 28 2802668
Ofisi ya Mkoa wa Katavi Simu ya Mkononi (+255) 68 8345200
IMETOLEWA NA:- Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makauu.
NAMBA ZA SIMU ZA MADAWATI YA DHARURA YA TANESCO MIKOA YOTE
1. Ilala
0222133330/ 0784 768586/ 0715 768586.
2.Kinondoni Kusini (Magomeni)
0784271461/ 0715271461
3. Kinondoni Kasikazini(Mikocheni)
0784 768584/ 0716 768584
4. Temeke
0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720
5. Pwani
078 5122020/065 7108782/023 2402386
6. Mbeya
0759 777781/0787 023422
7.Arusha
0758174343/
0622612501/
+255 27 2506110
8.Tanga
0658 122 412/0687 677 667/ 027 2646 779
9. Kilimanjaro
0765 397 925/0682 771 310/ (+255) 272 755 007/8
10 Manyara
0689 795 599/ 0627938951
11. Mwanza
0759 777 786/0687 910 202/
(+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090
12. Geita
0744 085 696/(+255) 28 2520330
13.Kagera
078 5 787 898 / 075 3 120 701/(+255) 282 220 061
14.Mara
0788 950 688/
028 262 2020/
0762 165 087
15.Simiyu
+255 282 700 180/0626383440/0745044072
16. Dodoma
0782 161 643/(+255) 262 321 728
17. Morogoro
068 4889272 /065 4829046/ (+255) 232 613 501/2
18 Singida
071 4 477 445 /0732 960 924 / 0689 373 757/(+255) 262 502 133
19. Tabora
0786 558 510 /0763 162 868
20. Shinyanga
0754 521 070/(+255) 28 2762120 /
0783 521 070
21. Kigoma
078 3720598/(+255) 2988226
22. Katavi
0688345200
23. Rukwa
0252161120/0768879813
24. Songwe
0684 611716/0763 430381.
25. Ruvuma
0252602281/0763 194 979/0787 758 986
26. Njombe
0744703988
27. Mtwara:
0789 999942/023 2333902
28. Iringa 0262702019/0739203015
29. Lindi
0752518247/0685692786
Kituo cha Miito ya simu/Call Centre Makao Makuu
0768 985 100/0222194400
www.facebook.com/tanescoyetu
www.twitter.com/tanescoyetu
Tovuti
www.tanesco.co.tz
Barua pepe
Customer.service@tanesco.co.tz
Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
Ndugu mpendwa Mteja wetuTANESCO MOROGORO HAMUELEWEKI tumeomba kuingiziwa umeme zaidi ya mwaka sasa kila tukienda majibu ni yale yale hakuna nguzo na wako wengine wameomba kuingiziwa inakaribia miaka 2 sasa shirika linajiendeshaje kama watu wa kulifanya shirika liendelee hawapati huduma hiyo nyumba za jirani ziliingiziwa umeme zamani naulizia hata kuchukua umeme wa jirani kuleta ndani nasikia mmekataza sasa si mnapoteza hela wenyewe jamani kituo ni TANESCO Turiani wilaya ya Mvomero nshachoka kufuatilia kwa kweli nawekeza kwenye solar power tu
Tunashukuru kwa taarifa tafadhalo tupatia taarifa inbox ikiwemo namba yako ya simu mara baada ya kudhibitisha ipo zawadikuna mtu amejiunganishia umeme huku mtaani kinyume na taratibu.. jeh mnawezaje kumfikia lakini nisijulikane maana mi n mpangaji wake
Kigamboni tupo hatua nzuri ya ujenzi wa kituo cha kupoza umeme kikikamilika hivi karibuni huduma itaimarikaKwa kweli huku Kigamboni wamezidi halafu ni kila siku.... imagine leo tu tangu asubuhi wameshakata mara tatu na hadi muda huu hakuna umeme wanaboa sana
Tafadhali weka maelezo zaidi nini tatizo? Wilaya gani? Namba ya simu na ilikuwajeTanesco rekebisheni upande mteja anapopata changamoto ya urekebishaji mashine ya luku inapohitaji matengenezo kutakiwa muhusika aliyeomba awali umeme kutakiwa kiwepo wakati kifaa ninatumika na luku hunua mtu mtu kwenye matengenezo ya kifaa chenu kinapokuwa na hitilafu mpaka mwombaji wa awepo hii sio sawa rekebisheni hapa hili
Hahahaha wewe mpangaji kibokokuna mtu amejiunganishia umeme huku mtaani kinyume na taratibu.. jeh mnawezaje kumfikia lakini nisijulikane maana mi n mpangaji wake
Snitch!!Hahahaha wewe mpangaji kiboko
Ndugu mpendwa Mteja wetuWakazi wa Tambani, Wilaya ya Mkuranga tunahitaji kuwekewa umeme
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Ananiletea kwere wakat anamagumashi kibao, ila nmemsamehe. Nilitaka niprove km jamaa wako active, sasa ngoja anikatie umeme tena bila sababu za msingiSnitch!!
Habari,Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Pole sana mpendwa mteja wetu tafadhali onyesha namba ya simu tukusikilize zaidi JM.Habari,,
Nipo Nyamongo wilaya ya Tarime Meter yetu Na 37210065324 inakula Sana umeme tofauti na matumizi yetu imagine umeme wa 5000 Tsh tunatumia kwa siku tatu umeisha na hamna friji,au vitu vinavyokula umeme Sana na Taarifa awali nishatoa Tanesco Tarime mwaka Jana wanakaniambia nirekebishe mfumo wa umeme yaani wiring fundi wao akaja akarekebisha mfumo wa umeme tukampatia Ela ya ufundi na kutuambia tujaze umeme tutumie ndani ya miezi mitatu matumizi yatabadilika Ila mpaka saivi hiyo miezi imepita hayajabadilika na badaye tulivyomwambia ndo akasema tulipie Ela sh 150,000/= kwa ajili ya kubadilishiwa hiyo mita labda tatizo litakuwa hilo Kuna shida gani hapa Kwan hizo mita mpaka utoe Ela kiasi hicho ndo unabadilishiwa mita?
TANESCO je, kunautaratibu wowote wa kufata ili kubadili matumizi ya umeme kutoka makubwa hadi madogo?
Harafu je, kwa nini matumizi hayo hujibadili mfano kutoka matumizi madogo hadi makubwa pasipo taarifa?
Majibu tafadhali 🙏🙏🙏
Pia na mimi naomba majibu hapo juuPole sana mpendwa mteja wetu tafadhali onyesha namba ya simu tukusikilize zaidi JM