tumetoka kuwapigia sasa hivi wanadai hawana taarifa yoyote! Hivi mnataka kusubiria mpaka madhara makubwa zaidi yatokee ndio mchukue hatua??

Mna huduma za kipuuzi kabisa nyinyi!
Tumeomba taarifa tufatilie swala lako mkuu
 
Leo huku maeneo ya buza umeme unakatwa kila baada ya nusu saa na unarudi kila baada ya saa 1 au saa 1 na zaidi, hamuoni mnataka kutuharibia vifaa vyetu pamoja na kutusimamisha kufanya kazi siku nzima?

Hebu kuweni serious wkt mwingine, maana kwetu wengine umeme ndo unatupa mkate wa kila siku
 
Leo huku maeneo ya buza umeme unakatwa kila baada ya nusu saa na unarudi kila baada ya saa 1 au saa 1 na zaidi, hamuoni mnataka kutuharibia vifaa vyetu pamoja na kutusimamisha kufanya kazi siku nzima? Hebu kuweni serious wkt mwingine, maana kwetu wengine umeme ndo unatupa mkate wa kila siku
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
TANESCO kuna mgawo? Siku ya pili leo umeme unakatika usiku. Ni hatari sana kutukatia umeme usiku, usalama mdogo.
 
Siku zote nimekuwa nikinunua umeme kwa mpesa!Juzi nimenunua kupitia huduma ya Mula nikabaini kuna makosa ktk jina langu yaani namba ya mita ni kweli yang lkn jina linalomiliki namba hiyo kuna makosa jina langu LA mwanzo limekosewa nifanyeje?
 
Andika barua ambatanisha kitambulisho kinachotambulika kisha tuletee ofisini
 
Nina tatizo sehemu ya biashara,mpangaji wangu wa saloon akitumia hand drier meter inakata umeme,hiyo drier ina 1600 W na current ni 16amp.Tanesco wamemwambia asitumie.Hivi hakuna solution nyingine mbadala? Meter
 
Meter yangu ni ya single phase toka kampuni ya Wasion.Nimejaribu kuwaomba Tanesco kama kuna aina nyingine tubadilishe imeshidikana.
 
Tanesco , naomba kuuliza. Hivi Mbozi, mkoa wa Songwe kuna Tatizo gani? Maana umeme unakatika kwa siku mara zaidi ya 20. Tatizo ni nini?
 
Habari wakuu!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema kwa wakazi wa mbagala hasa mabagala charambe umeme unakatwa kila siku yani imekuwa kero kubwa sana kwa wakazi wa huku na kibaya zaidi hawatoi taarifa zozote wakati mwingine usiku tunalala bila umeme alafajir wanarudisha saa moja wanakata mpaka saa mbili usiku tunaomba wahusika wawajibike/wawajibishwe maana imekuwa too much umeme kukatika kila siku....nawasilisha
 
Habari zenu wanajamvi, niende moja kwa moja kwenye tatizo langu
.
Mimi ninalia na TANESCO jamani, nilikwenda tanesco maeneo ya posta nataka kuwekewa Luku yangu, wakanambia nifate process, process ya kwanza nikafanya wirelling ndani nikamaliza, process ya piili wakanipa mtu nikamlipa pesa akaja kunichorea mchoro akamaliza akapeleka ofisini, process ya tatu nikaambiwa nikalipie tanesco gharama ya kuwekewa luku ambayo ni laki 321,000. Nimelipia tangu tarehe 28 mwezi uliopita mpk leo ni siku ya 10 TANESCO kimyaaaaaaa, hawaji kuniwekea luku tatizo ni nn?

Nikiwapigia wafanyakazi walonihudumia hawapokei. Tatizo ni nn??? Nimelipa kila kitu why hawaji kuniwekea luku?

Plz naomba msaada wenu
 
Siku chache zilizopita nilikuwa wilaya ya masasi

Kwa siku zote ambazo nimekaa pale hakuna siku ambayo umeme umewaka kwa siku mzima, kila siku ya mungu umeme unazimika zaidi ya masaa 5 kila siku

Sasa nashindwa kuelewa kama ni mgao au ni nini

Najua hapa kuna watu wa tanesco watatupa majibu
 
Mkuu Kusini ishakuwa hali ya kawaida hiyo tanesco wenyewe wanasema hili tatizo linajulikana ila kuwa litaaisha lini hakuna mwenye majibu...... Mwaka jana kuna mteule mmoja alisema hili tatizo ltaaisha December 15, 2017 ila cha ajabu leo ni tarehe 06/January/2018 tatizo lipo palepale.

Blah blah kila siku.
 
yaliyotokea kwenye sukari yanatokea kwenye umeme.

pombe anawakamata IPTL bila kujipanga ! dar nako mgao hadi kero, muda huu tuna comment gizani..
kwenye huu mgao eti kila mkuu wa mkoa awe amejenga viwanda 100 mwisho wa mwaka..
labda viwanda vya vyerehani.
kumbe huu ndio ukuaji wa uchumi ?!!
 
Mkuu Kusini ishakuwa hali ya kawaida hiyo tanesco wenyewe wanasema hili tatizo linajulikana ila kuwa litaaisha lini hakuna mwenye majibu...... Mwaka jana kuna mteule mmoja alisema hili tatizo ltaaisha December 15, 2017 ila cha ajabu leo ni tarehe 06/January/2018 tatizo lipo palepale.

Blah blah kila siku.
Siyo kusini tu ni nchi nzima
 
TANESCO TEMEKE TUMEWAKOSEA NINI AU NI MGAO?? KWANINI HAMSEMI?? UMEME UMEKATIKA SAA 1 HADI SASA HAKUNA TAARIFA YENU, MNATUWEKAJI SISI WANANCHI? SHIDA NINI?? MIMI SIJAPASI NGUO ZA KESHO.. UNARUDI AU HAURUDI?
 
Back
Top Bottom