MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOLeo huku maeneo ya buza umeme unakatwa kila baada ya nusu saa na unarudi kila baada ya saa 1 au saa 1 na zaidi, hamuoni mnataka kutuharibia vifaa vyetu pamoja na kutusimamisha kufanya kazi siku nzima? Hebu kuweni serious wkt mwingine, maana kwetu wengine umeme ndo unatupa mkate wa kila siku
nimekutumia PMTumeomba taarifa tufatilie swala lako mkuu
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOTANESCO kuna mgawo? Siku ya pili leo umeme unakatika usiku. Ni hatari sana kutukatia umeme usiku, usalama mdogo.
Andika barua ambatanisha kitambulisho kinachotambulika kisha tuletee ofisiniSiku zote nimekuwa nikinunua umeme kwa mpesa!Juzi nimenunua kupitia huduma ya Mula nikabaini kuna makosa ktk jina langu yaani namba ya mita ni kweli yang lkn jina linalomiliki namba hiyo kuna makosa jina langu LA mwanzo limekosewa nifanyeje?
Siyo kusini tu ni nchi nzimaMkuu Kusini ishakuwa hali ya kawaida hiyo tanesco wenyewe wanasema hili tatizo linajulikana ila kuwa litaaisha lini hakuna mwenye majibu...... Mwaka jana kuna mteule mmoja alisema hili tatizo ltaaisha December 15, 2017 ila cha ajabu leo ni tarehe 06/January/2018 tatizo lipo palepale.
Blah blah kila siku.