TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Utaratibu Wa Kurudishiwa Unit Zilizokuwa Kwenye Meter Ya Zamani Kwenda Meter Mpya Upo Hapo Tanesco
 
Mbona tangu jana nanunua umeme kila kitu kinakaa sawa mara inakuja sms kuwa pesa yangu imerudi kwenye account yangu ya tigo pesa?
Tatizo liko tigopesa au kwenu?
 
Hii issue nimekutananayo pia ikabidi niende sehemu nilipo nunua umeme wa kwanza nikaambiwa Nina deni ingali mita ina miezi mitatu nikaambiwa nideni la toka mwaka wa serekali umeanza mwezi wa 7 mwaka 2025 natakiwa nilipe deni la miezi kumi ndio niweze kununua umeme na mind you mita ina miezi mitatu toka imefungwa
 
the same case.
Eti wananidai elfu kumi na Tano .
Mambo ya hovyo sana haya.
Kuna mambo taasisi za umma hufanya mpaka mwananchi anakosa uzalendo wa nchi yake.
Application nimefanya October 2025 walijuaje kuwa hii nyumba ilikuwepo tangu July 2025?
Hata hivyo July mpaka first week of April miezi 10 bado.
 
Back
Top Bottom