TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Kitongoji ambacho kiko umbali wa Km 3 kutoka yalipo makao makuu ya Wilaya kinaomba umeme zaidi ya miaka 6 Tanesco mko kimya. Hii ni aibu ya kutisha.
 
Newala, kata ya kitangari kijiji cha maputi. Hamna umeme siku ya pili hii. Whats wrong tanesco. Kama kuna tatizo Toeni taarifa.
 
Ni utaratibu gani unapaswa kufuatwa kwa mtu ambaye anataka kuvunja nyumba ambayo ina umeme tayari. Maana nimeingia kwenye mzozo na Tanesco mkoa wa morogoro kusini.
Baada ya kuuondoa bila kuishirikisha Tanesco. Nilitumia Vishoka kuuondoa umeme. Baada ya ujenzi kukamilika nimeenda kuomba nirudishiwe. Nimekataliwa. Nakiri kufanya kosa. Nini napaswa kufanya ili nipate tena huduma za umeme.
Tafadhali naomba maelekezo.
 
Hii debt collected ilianza 1000 hatukujua nini sababu ikafika 1500 leo naona 1625 mbona hatupati maelekezo nini kinasababisha kupanda huku
 
Attachments

  • Screenshot_20260706_222041.jpg
    Screenshot_20260706_222041.jpg
    32.4 KB · Views: 12
Nina changamoto ya token za luku kutoingia , ina load hata kuangalia salio inagoma pia kisha inaandika error 77 tatizo la toka jana nimelitolea taarifa ila hadi muda huu sijapata msaada wowote nipo gizani nimeshamaliza masaa24 bila msaada.

Naishi Dar, Tabata Liwiti mtaa wa maendeleo
Namba yangu ya simu 0685657939
 
Duh,
Hoja na maswali humu hayajibiwi, inaelekea TANESCO wametelekeza uzi!

Last seen yao humu ni kabla ya mauaji ya halaiki ya MO29, ni September 5, 2025 !!

#Kataa Wahuni
Habari ndugu mteja,

asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu, tafadhali tufahamishe kama unapata changamoto ya huduma ya umeme kwa msaada zaidi.^MY
 
Leo Dodoma mbona mlikua mnakata na kurudisha jamani tungeunguza vitu buree
Habari ndugu mteja,

Asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto, tafadhali tufahamishe kama bado mnakosa huduma ya umeme kwa msaada zaidi.^MY
 
Nina changamoto ya token za luku kutoingia , ina load hata kuangalia salio inagoma pia kisha inaandika error 77 tatizo la toka jana nimelitolea taarifa ila hadi muda huu sijapata msaada wowote nipo gizani nimeshamaliza masaa24 bila msaada.

Naishi Dar, Tabata Liwiti mtaa wa maendeleo
Namba yangu ya simu 0685657939
Habari ndugu mteja,

Asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tufahamishe kama ulipata huduma kwa msaada zaidi.^MY
 
Kitongoji ambacho kiko umbali wa Km 3 kutoka yalipo makao makuu ya Wilaya kinaomba umeme zaidi ya miaka 6 Tanesco mko kimya. Hii ni aibu ya kutisha.
Habari Black Mirror,

Asante kwa kuwasiliana nasi, na tunaomba radhi kwa kuchelewa kukujibu. Tafadhali, tufahamishe ikiwa ombi hilo tayari limefanyiwa kazi. Ikiwa bado halijafanyiwa kazi, tafadhali tupatie taarifa za Mkoa, Wilaya, Kata na Kijiji/Mtaa ili tuweze kufanya ufuatiliaji zaidi. ^GK
 
Ni namna gani ninaweza unganishwa ili nami niwe napata updates za kukatika kwa umeme au kama kuna matengenezo eneo langu? Niko Mahina Kati, Nyamagana, Mwanza. Huwa naona wenzangu wanapata SMS juu ya kukatika kwa umeme na matangazo mbalimbali ya TANESCO, lakini mimi wala, mpaka najiuliza, hawa waliwezaje kuunganishwa? Cha ajabu hata wao hawana jibu la kunipa, wanadai huwa wanapata tu kila mara updates. Wengine wako hadi kwenye magroup ya WhatsApp lakini huko nako siko, waliwahi kuwapa namba zangu maadmin wa Nyakato lakini ni mwaka sasa. Utaratibu uko vipi wakuu?
 
Habari MYCROPOST, asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo.

Tafadhali, tutumie namba yako ya simu kupitia ujumbe binafsi (inbox), ili tuweze kukuunganisha kwenye kundi husika na kuhakikisha unapata taarifa zote muhimu kuhusu huduma ya umeme katika eneo lako.

Asante. ^FL
 
Hivi nyinyi, Tanesco, nimekosea kununua umeme ( sawa )
Nimekuja kwenye ofisi zenu ( sawa )
Mmenipa maelekezo nn nifanye ( sawa )
Mmekuja kwangu na kuchukua umeme niliyokosea kununua ( sawa)
Mmeniambia nisubirie ( sawa )

Nimewakumbusha lkn hamtaki kunirudishia umeme wangu wala pesa zangu tatizo nn?
 
Asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tupatie namba ya taarifa kwa msaada zaidi.^HN
 
Hivi nyinyi, Tanesco, nimekosea kununua umeme ( sawa )
Nimekuja kwenye ofisi zenu ( sawa )
Mmenipa maelekezo nn nifanye ( sawa )
Mmekuja kwangu na kuchukua umeme niliyokosea kununua ( sawa)
Mmeniambia nisubirie ( sawa )

Nimewakumbusha lkn hamtaki kunirudishia umeme wangu wala pesa zangu tatizo nn?
Tanesco ni majambazii nakuambia tena hawasikii (Kuhadaa watu eti tunaangaza maisha yakoo)
 
Wazee hivi ikitokea tuna share meter watu zaidi ya mmoja halafu mmoja wetu akasafiri na kuacha amefungia kile ki mita cha kujazia umeme sisi wengine tunaingizaje umeme
 
Back
Top Bottom