TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Habari,
Nilifanya maombi ya umeme tarehe 22.08.2025
Eneo Chalinze,Pwani.
Namba ya ombi Na.220825-1145

Surveryor alifika tarehe 28.08.2025
Naombeni control number ili niweze kulipia.
Ama naomba nifahamishwe inachukua muda gani hadi namba ya malipo kutoka?
Habari ndugu mteja, ahsante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto, ombi lako bado lipo idara husika linafanyiwa kazi na wataalamu wetu Tafadhali tunaomba uvumilivu wako kwa sasa wakati tunazidi fatilia na kusisitizia ili upate huduma kwa haraka.^AM
 
Huku Rusimbi Kigoma, leo siku ya pili hakuna umeme, shida ni nini?

Naomba mliangalie hili.
 
Tunaomba mpunguze bei za nguzo za umeme hasa tulioko pembezoni mwa miji.
 
Back
Top Bottom