Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,418
- 103,931
Wanatest mitamboWAKUU MMEKATA TENA
Wanatest mitamboWAKUU MMEKATA TENA
Umerdi na kukatika etOya umerudi?
Wamekata mzeeVishu Mtata huko kwenyu umeme upo
Wee ulilala tuu unaelewa saaa ahahahaWamekata mzee
Hawajui watu ni ofisi? Wengine vinyoziWamenifata PM et wanasema kijana acha utoto
Sasa wanakata umeme vingunguti wanategemea tutaishije hapa aisee.Wakuu joto kali mpaka kina vishu wanalalamika humu
Sema kwa ww kinyozi mkuu tafuta generator tuu au mashine za kuchajiHawajui watu ni ofisi? Wengine vinyozi
Aahahah huko vingungut kuna viwanda vingi sana naskia mna share umemeSasa wanakata umeme vingunguti wanategemea tutaishije hapa aisee.
Ofisi joto wateja hawakaiSema kwa ww kinyozi mkuu tafuta generator tuu au mashine za kuchaji
Daaah hapo kaka shughuli ipo aiseee leo tufunge tuu ka vipi maana mimi sijafungua mpaka saaa nasbri umeme uwe stable sioo huu wa kurud na kukatikaOfisi joto wateja hawakai
Mi niko vingunguti ya huku buguruni sio kule maviwandaniAahahah huko vingungut kuna viwanda vingi sana naskia mna share umeme
Mkuu hadi huko hakuna kabisa....Mi niko vingunguti ya huku buguruni sio kule maviwandani
Wanatuchora humu ......