Ndugu mpendwa Mteja wetuAcheni siasa fisi maji nyie TANESCO kuna nyumba huku mtaani nimezishuhudia kuanzia msingi hadi inaisha na wamefungiwa umeme sie wengine huu unaenda mwezi wa 7 hatujapata huduma ya kufungiwa na tumeshalipia muda mrefu sana ,na ukiwauliza wa TANESCO ofisi ya Nyakato wanatoa sound za uongo uongo na kuomba rushwa
Sina kiwanda mimiTafuta pesa boss
Hapana ,bila kujua kama nimesha nunua umeme,wife naye akanunua.Zero ama 4? Ulizidisha matumizi
Mkuu tupo wengi huku Buswelu tunaosubiri kuunganishiwa ,yani kila siku wanapiga sound tu vifaa vifaaaNimekamilisha taratbu zote za kuletewa umeme toka tarehe 03/11/2021 na nimekuisha lipia lakin mpaka leo hii hakuna dalili za kupata huo umeme shida ni nin Tanesco?maeneo ni busweru jirani na soko la kabwalo
Mmesimika nguzo toka mwezi wa 10 mpk leo mwezi wa tano, hamjaleta wire wala mita...hata hamna wasiwasiHii app ya nikonekt kutoka Tanesco nimeijaribu leo nasubiri majibu
Kwani walitoa Taarifa?Una Uhakika hawakutoa Taarifa?