Nitoke vipi
Member
- Nov 27, 2015
- 26
- 5
WEKA SLIDE TUHAME NAYOPhase- means single/ 3phase!, Idadi ya waya zinazokuja kwa mteja. Kama ni mbili hiy ni single phase, kama nne hiyo ni 3phase supply!. Tarrif ni kundi la matumizi ya umeme!.
Ili Tanesco wawe kuuza umeme lazima wawagroup wateja wao kwenye tarif mbalimbali , wana tarif 1 mpaka 6 nafikiri!. Hapo tarif 1. Ni mteja wa kati ya unit 76- 7500kwh. Hawa wana bei yao per unit!, Tarf 4 ni 1-75kwh mtu anayetumia elfu 9 kwa mwezi, . T2 , t3, hao tunaambiwa ni viwanda Au mahotel makubwa!