TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 5,172
- 2,733
- Thread starter
- #8,021
Tafadhali onyeshaMm nina malalamiko mkoa wa kilimanjaro ,Yan tulihangaika sana kumpata surveyor almost miez miwili.Baada ya kuja akasema mkalipie next ijumaa na hapo ilikuwa ijumaa lakin kuanzia siku hyo huu ni mwez wa tatu kila nikiomba control number ofisini tulipie tunarudishwa na wanasema wanatumia kweny simu saiv ni mwezi wa tatu.what should we do mbna wengine wanahudumiwa vizur kwa haraka au kwa kuwa ss hatuna mijengo ya kifahari
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Jina kamili
Simu
Wilaya
Eneo lako
Hata inbox tutafatilia taarifa zako
Sent using Jamii Forums mobile app