Mkuu Tanesco Kwanini kuunganishiwa umeme Kyela mjini inachukua hata mwaka mzima tangu mteja anapolipia ?

Na mnafahamu kwamba bei ya umeme wa REA kwenye vijiji vya KYELA inafika hata laki 3 kinyume kabisa na ile elfu 27 mnayoitangaza ?

Je malalamiko ya wananchi hamyasikii au ni kweli kwamba Mmefirisika kama wanakyela wote wanavyoamini ?

Mwisho naomba kufahamu jina la Meneja wa Tanesco kyela ili NITUMIE NGUVU YA UMMA KUMNG'OA MAANA NINAO USHAHIDI KWAMBA AMESHINDWA KAZI.
 
  • Thanks
Reactions: ADK
Tanesco Mimi n lilipia kuunganishwa umeme pamoja na nguzo mwezi Wa NNE,,mpaka sawa Hawajaniunganishia NINI tatizo

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Haya ni maajabu kabisa,tanesco tanesco,,nahisi kuomba kurudishiwa hela yangu,,,mwezi Wa NNE mpaka leo hakuna dalili,,nishaenda Mara mbili kuulizia naambia nisubiri,,tutafika kwelii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Tanesco Kwanini kuunganishiwa umeme Kyela mjini inachukua hata mwaka mzima tangu mteja anapolipia ?

Na mnafahamu kwamba bei ya umeme wa REA kwenye vijiji vya KYELA inafika hata laki 3 kinyume kabisa na ile elfu 27 mnayoitangaza ?

Je malalamiko ya wananchi hamyasikii au ni kweli kwamba Mmefirisika kama wanakyela wote wanavyoamini ?

Mwisho naomba kufahamu jina la Meneja wa Tanesco kyela ili NITUMIE NGUVU YA UMMA KUMNG'OA MAANA NINAO USHAHIDI KWAMBA AMESHINDWA KAZI.
Ndugu mpendwa mteja
Tunaomba taarifa haswa ya lalamiko lako kwa kuonyesha jina uliloombea umeme, kiasi ulicholipa TANESCO na risti zako ili kukupatia ufafanuzi kwani wapo wateja wanaifanya malipo kwa makandarasi binafsi au watu wanaojifanya ni wa wetu kisha kutupia lawama shirika

Mkuu hii jf hatuwezi kuweka vitu vyote hivi unavyovitaka kwa sababu za kiusalama , lakini nakuhakikishia kwamba hili nililiandika ni kweli na malipo ya watu wa kyela mjini yanafanyika Tanesco kyela si kwa dalali wala mtu yeyote yule .

Hebu jaribu kuyafanyia kazi malalamiko haya badala ya kujibu kirahisi namna hii mjomba , kama umeweka utaratibu huu ni vema ukajibu hoja zetu kitafiti kidogo basi .
 
Sawa mkuu lakni unaweza kutuma message inbox kwenye account ya TANESCO kama baadhi ya taarifa ni nyeti sana

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Vijiji vya Nasho, Badugu na badala mkoa wa Simiyu wapata umeme toka miradi ya electricity V

TANESCO tunayaangaza maisha yako
031717c6ffe36bbe88a0f5eda99d1f2f.jpg
089e7cf143dc64ab9487b44f0fa545fa.jpg

Hapa mafundi wetu wakisherekea kumaliza kazi ya kuwasha mradi huo kwa mafanikio bila changamoto zozote
71008571c106926359b25cf2989da619.jpg

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Naibu Waziri Nishati na Madini amefanya ukaguzi Mradi wa Makambako - Songea

Naibu Waziri Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani akipokelewa na wenyewe Kampuni ya JV Shandong Taikai Power LTD ambaye ni Mkandarasi anayejenga kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Makambako Agosti 15, 2017

Na Henry Kilasila

Naibu Waziri Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani akiwa katika ziara za uzinduzi Miradi ya Umeme Vijijini Awamu ya Tatu, amefanya ukaguzi katika Mradi wa Umeme Msongo wa Kilovolti 220 kutoka Makambako hadi Songea ili kujionea utekelezaji wa Mradi huo.

Dkt. Kalemani alisema Mradi huo umegawanyika sehemu tatu ambazo ni ujenzi wa Vituo vya kupoza na kusambaza umeme, ujenzi wa njia ya umeme Msongo wa Kilovolti 220 na usambazaji wa umeme katika Vijijji 120.

"Kinachofanyika tuna upgrade ili kuongeza nguvu ya umeme kutoka Kilovolti 132 hadi 220". Alisema Dkt. Kalemani.

Aidha, Mheshimiwa Waziri alitoa maelekezo yakimtaka Mkandarasi Kampuni ya JV Shandong Taikai Power LTD anayefanya upanuzi wa Kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Makambako asitoke nje ya Mkoa wa Njombe hadi atakapokamilisha ujenzi.

Maelekezo mengine ni kuanza kazi mara moja na wasilipwe chochote mpaka kazi hiyo itakapofika kiwango cha kuridhisha

Kwa upande wa TANESCO aliutaka Uongozi kuhakikisha kufikia mwishoni mwa Mwezi Agosti Wateja wote walioomba umeme wawe wameunganishiwa.

Ujenzi wa Mradi wa Makambako Songea Kilometa 250 ulianza kujengwa Mwezi Desemba 2014 na unatarajiwa kukamilika Mwezi Septemba 2018.

Lengo la Mradi huu ni kusambaza umeme Vijijini ili kuchangia maendeleo ya Wananchi katika Vijiji na Miji iliyopo katika Mikoa ya Njombe na Ruvuma.

Aidha, unafadhiliwa na Serikali ya Sweden kupitia Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA), Serikali ya Tanzania na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)

Ujenzi wa Mfumo wa usafirishaji umeme Makambako - Songea Msongo wa Kilovolti 220 unafanywa na Mkandarasi Kampuni ya Kalpataru Power Transmission LTD,

Mkandarasi JV Shandong Taikai Power Eng. LTD akijenga Vituo viwili vipya vya kupoza na kusambaza umeme Kilovolti 220/33kV vya Madaba na Songea pamoja na upanuzi wa Kituo cha Makambako 220/132/33kV.

Mkandarasi Isolux Ingenieria S. A akijenga mfumo wa usambazaji umeme wa Msongo wa Kilovolti 33 wenye jumla ya Kilometa 900, uwekaji wa Transfoma 250.

Aidha, Mkandarasi huyo anajenga mfumo wa Volti 400 katika Vijiji 120 na kuunganisha Wateja 22,700.

Naibu Waziri Nishati na Madini Mhe. Dkt. Medard Kalemani anaandamana na Wataalamu kutoka TANESCO, REA na Wizara ya Nishati na Madini katika Ziara hii ya uzinduzi wa Miradi ya REA Awamu ya Tatu ambapo ataendelea katika Mikoa ya Ruvuma, Lindi, Arusha na Kilimanjaro.

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Pole mteja zinapatikana muda wote, pia tupo katika mitandao ya kijamii
Mkoa- kigoma
Wilaya - kigoma
Kijiji - bitale/Bweru
Tatizo - umeme upita tu.kama vile pale hakuna wakazi wanaoishi wakt kuna wakt na watu wamejenga nyumba zao za garama kubwa na kisasa.

Umeme umewashwa kijiji cha nyuma (kiganza) na kijiji cha mbele (bitale juu)
Kitu chaajabu - umeme umepelekwa sehemu yenye wakazi wa chache tena walioko mbali na main road kwa kusema eti umefuata wafanya kazi wa shirika husika.syani tanesco sehem izo ni (kijtongoji cha mlege juu na bolelo) umeme umekwenda kisa umefuata fundi tanesco.

Nb.sisi wakazi wa Bweru kariakoo hatustairi kupata huduma ya umeme huo.maana tupo main road na nguvu za Ht zimepita pembeni mwa nyumba zetu.

(Jock.mmepitisha ili tuanikie nguo au)@

Tunaomba namba yako ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO walipeni ma supplier wenu wa nguzo on time makampuni ya ku supply nguzo yanayumba coz hamlipi kwa muda muafaka na mjue makampuni hayo yameajili Watanzania na kuna famila nyingi zinategemea makampuni hayo

hakikisheni mkipokea nguo mnafanya mchakato haraka wa malipo
 
Mkoa- kigoma
Wilaya - kigoma
Kijiji - bitale/Bweru
Tatizo - umeme upita tu.kama vile pale hakuna wakazi wanaoishi wakt kuna wakt na watu wamejenga nyumba zao za garama kubwa na kisasa.
Umeme umewashwa kijiji cha nyuma (kiganza) na kijiji cha mbele (bitale juu)
Kitu chaajabu - umeme umepelekwa sehemu yenye wakazi wa chache tena walioko mbali na main road kwa kusema eti umefuata wafanya kazi wa shirika husika.syani tanesco sehem izo ni (kijtongoji cha mlege juu na bolelo) umeme umekwenda kisa umefuata fundi tanesco.
Nb.sisi wakazi wa Bweru kariakoo hatustairi kupata huduma ya umeme huo.maana tupo main road na nguvu za Ht zimepita pembeni mwa nyumba zetu.
(Jock.mmepitisha ili tuanikie nguo au)@

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasalimie familia ya Mzee Kifisi hapo,nimemiss mise na mawese
 
Mara ya kwanza tulibiwa na watu waliojifanya mawakala.ambao walisema watatuingizia umeme na kutufanyia wire - ring tukalipa na garama. Lkn haikuwa ivo.ikabidi tufanye wenyewe kwa garama zetu uku tukiwa tunahaidiwa umeme next month .Leo hii ni mwaka sasa umeme umepita na tunaenda kuchaji vitochi vyetu kijiji cha jirani.au twende bitale juu.ambapo ni mbali kuliko kwenda kijiji cha jirani. Msaada wenu ni muhimu sana.nimeweh fika tanesco kigoma nilipewa majibu.

Bitale hapo msalimie Hasheem muuza Mafuta
 
Back
Top Bottom