Tanesco nawapongeza kwa kazi nzuri kwa kweli hari inaridhisha hasa suala la kukatika ovyo umeme sasa hivi halipo labda itokee emergence.
Shida yangu ni kwamba kwa nini gharama ya kuingiza umeme wa mashine ya kusaga na kukoboa mahindi ni kubwa kupita kiasi nauliza naambiwa laki 9 na elfu 12 ndani ya mita 30 maana ake hata iwe ni hatua 1 bei ni hiyo.
Kampeni ya rais nchi ya viwanda sasa kwa gharama hii mbona tunashindwa wengi? REA naambiwa 140,000 tu. Sisi wa Tanesco hapana hata gharama ya material sidhani ka inafika huko.
Bado ukianza kufanya kazi Utalipa kodi zote stahiki sasa kwa nn hiyo bei kubwa sana?????
 
Mimi ningewashauri mukaanza kuiga nchi za Ulaya, yaani mukaanza kutumia smartmeter. Hizi zitaincurage watu kuekeza kwenye Solar Energy. Nyinyi mutafaidika na wateja (wawekezaji kwenye solarenegy) wtafaidika
 
Mimi ningewashauri mukaanza kuiga nchi za Ulaya, yaani mukaanza kutumia smartmeter. Hizi zitaincurage watu kuekeza kwenye Solar Energy. Nyinyi mutafaidika na wateja (wawekezaji kwenye solarenegy) wtafaidika
Tayari technology hii inatumika TANESCO mpendwa mteja wetu
 
Ndugu mpendwa mteja je umeambiwa kwa mdomo? Ulipatiwa gharama baada ya kupimiwa? Wilaya gani na namba yako ya simu tafadhali
 
Tayari technology hii inatumika TANESCO mpendwa mteja wetu
Tayari technology hii inatumika TANESCO mpendwa mteja wetu
Sifikiri kama kweli inatumika kama hivyo ninavyofikira mimi. Kwa wenzetu unapokuwa na smartmeter, ni kwamba meter inaweka priority kwenye nyumba umeme uaotumika ni ule unaozalishwa na Solar katika nyumba yako. Umeme unaozidi kwa mfano mchana unaigizwa kwenye Net ya Serikali. Mfano kama huna Baterii usiku meta inachukuwa umeme kutoka kwenye Net ya taifa. Sasa mwisho wa mwaka Munapiga Mahesabu Kiasi gani ameingiza kwenye Net na kiasi ga ametumia kutoka kwenye Net, Kama ametumia mwengi kuliko alioingiza inabidi alipe extra, na kama amezalisha mwingi na ameingiza kwenye Net yenu inabidi mumlipe mteja.
Jee hiyo ya kwenu inafanyakazi hivyo au ni smart tu?
 
Habari
Naomba kusaidiwa katika mita namba 43002355196 Kuna baadhi ya namba katika mita hazifanyi kazi na hivyo kufanya kazi ya kuingiza umeme wa luku kuwa ngumu kila nikijaribu ninakaa na giza siku ya nne leo
Nipo
Mkoa wa ruvuma
songea mjini
Kata msamala
Mtaa ostabey
Karibu na office ya mtendaji wa mtaa ostabey
Naomba kusaidiwa tafadhari maana nimechoka kukaa na giza.
0767309201
Asante
 
Kwa kweli mkuu kitengo chenu cha customer service ni ziroo kabisa. Nilipiga simu nikitaka maelezo fulani nikajibiwa Kwa dharau kuwa simu yako inanipigia kelele sikioni na simu kukatwa. It was very embarrassing. Wapeni training has wahudumu was take advantage ya monopoly ya shirika moja la umeme nchini.
TUMEPOKEA TAARIFA KWA HATUA ZAIDI MPENDWA MTEJA WETU
 
Habari!
Niko Kata ya Goba Ubungo Dsm. Nimebadilishiwa Mita Jumamosi. Sikupewa wala sikutoa taarifa ya kubadili mita kwenye nyumba yangu.
Naomba ufafanuzi tafadhali juu ya hilo.
 
KILOLELI MWANZA.

Kuna eneo (line) linapata shida ya kukatika umeme mara kwa mara. Tukiripoti wanafika na kurekebisha, lakini tatizo linaendelea! Kuna nini ambacho mafundi wameshindwa kukipatia ufumbuzi wa kudumu? Ilemela Tanesco tafadhali shughulikieni hili, mnatupa shida sana wakazi wa eneo hili.
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu
 
Tunaomba namba yako ya simu mpendwa mteja wetu
 
Habari!
Niko Kata ya Goba Ubungo Dsm. Nimebadilishiwa Mita Jumamosi. Sikupewa wala sikutoa taarifa ya kubadili mita kwenye nyumba yangu.
Naomba ufafanuzi tafadhali juu ya hilo.
Tulitoa taarifa za zoezi la kubadili mita zilizokwisha muda wake hivyo kama ni mafundi wetu walifika basi ni muendele?o wa zoezi hilo
 
Tunaomba namba ya simu uliyopiga? Eneo lako na namba yako ya simu ya mkononi tufatilie swala lako
 
 
Nimegundua tanesco so wafuatiliaji,,niliomba kubadilishiwa tariff huu ni mwezi wa saba au sits sijajibiwa mini tatizo
 
Tanesco Kigoma tunaombeni mtufahamishe kuna tatizo gani, mbona hivi sasa kumekuwepo na tatizo la kukatikatika kwa umeme?
TANESCO Kigoma tunaomba mtupe maelezo ya tatizo hilo na lini litakwisha.
 
Tanesco naomba msaada aisee Nimelipia kuunganishiwa umeme kwa nguzo mbili ila sasa ni mwezi wa tano sasa naona kimya
 
Tanesco Kigoma tunaombeni mtufahamishe kuna tatizo gani, mbona hivi sasa kumekuwepo na tatizo la kukatikatika kwa umeme?
TANESCO Kigoma tunaomba mtupe maelezo ya tatizo hilo na lini litakwisha.
KIGOMA ENEO GANI

SIMU TAFADHALI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…