The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Mkuu umeme umerudi leo wenyewe bila kuingiza tokeni tulizonunua, kumbe ulikuwa bado haujaisha.Fanya haya kisha tujulishe
Hakikishe circuit Breaker na Main switch ipo zipo on kama vipo sawa ingiza 5969868637210012797 bonyeza Ok kisha ingiza umeme tena
Ili mafundi wetu wafike eneo lako tafadhali tupatie taarifa kamiliMkuu umeme umerudi leo wenyewe bila kuingiza tokeni tulizonunua, kumbe ulikuwa bado haujaisha.
Kilichofanyika ni mvua ilipodondoka na kuanza kunyesha umeme ukawaka, taa zilikua on, nahisi waya za kutoka kwenye nguzo kuja kwenye bomba ziko luz connection, inawezekana kwenye nguzo au kwenye bomba la kwenye paa la nyumba, kwasababu hata ulicorudi haukua tulivu, ilikua ukiwasha kitu kama Tv unaanza kuwaka unafifia kuwaka unafifia, lakini kwa sasa umetulia.
Sasa basi baada ya kurudi tukachukua remote ili tuangalie Unit lakini hatujafanikiwa remote ilikua inakataa kwa mtindo ule ule, nikajaribu kuingiza Token ikakataa vile vile, lakini nikakumbuka kua niliwasiliana na nyinyi, nikaingia Jamii Forum nikaona ulinitumia namba za kuingiza, nikaingiza ikakubali kuingingiza Token zikakubali, kwa hio sasa tunaweza kuangalia salio yaani Unit bila wasi wasi, TUNASHUKURU SANA KWA HUDUMA YENU NZURI.
Ombi letu sasa tunaomba mje mturekebishie hilo tatizo la waya, maana nasikia hata upepo ukipiga hua zinatokea cheche kwenye huo waya uliiokuja kwetu, ni hapa Ubungo Maziwa jirani na baa ya maziwa baa.
Eneo lako kamili Wilaya, mkoa wako pamoja na eneo lako bila kusaau namba yako ya simu.Mkuu umeme umerudi leo wenyewe bila kuingiza tokeni tulizonunua, kumbe ulikuwa bado haujaisha.
Kilichofanyika ni mvua ilipodondoka na kuanza kunyesha umeme ukawaka, taa zilikua on, nahisi waya za kutoka kwenye nguzo kuja kwenye bomba ziko luz connection, inawezekana kwenye nguzo au kwenye bomba la kwenye paa la nyumba, kwasababu hata ulicorudi haukua tulivu, ilikua ukiwasha kitu kama Tv unaanza kuwaka unafifia kuwaka unafifia, lakini kwa sasa umetulia.
Sasa basi baada ya kurudi tukachukua remote ili tuangalie Unit lakini hatujafanikiwa remote ilikua inakataa kwa mtindo ule ule, nikajaribu kuingiza Token ikakataa vile vile, lakini nikakumbuka kua niliwasiliana na nyinyi, nikaingia Jamii Forum nikaona ulinitumia namba za kuingiza, nikaingiza ikakubali kuingingiza Token zikakubali, kwa hio sasa tunaweza kuangalia salio yaani Unit bila wasi wasi, TUNASHUKURU SANA KWA HUDUMA YENU NZURI.
Ombi letu sasa tunaomba mje mturekebishie hilo tatizo la waya, maana nasikia hata upepo ukipiga hua zinatokea cheche kwenye huo waya uliiokuja kwetu, ni hapa Ubungo Maziwa jirani na baa ya maziwa baa.
Sawa, ni Dar es salaam Wilaya ya Ubungo mtaa ni Ubungo maziwa.Eneo lako kamili Wilaya, mkoa wako pamoja na eneo lako bila kusaau namba yako ya simu.
Sawa mkuu tatizo ni hilo la waya za kwenye nguzo kuja kwenye nyumba, maana saa hizi ulivokatika na remote nayo haionyeshi salio au unit.Tumepokea kwa hatua zaidi
Lakini mafundi ndo wataalamu watakuja walione tatizo wao wenyewe.Sawa mkuu tatizo ni hilo la waya za kwenye nguzo kuja kwenye nyumba, maana saa hizi ulivokatika na remote nayo haionyeshi salio au unit.
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu. Tatizo ni nini? Namba yako ya simu tafadhali tukusikilize na kukuhudumiaNyie ni mang'ombe tu umeme wenu ni wakichoko siuhitaji umeme wangu toka china haukatiki labda mungu ndo anaweza kuukata
Kwa uelewa wangu wewe upo tariff 1 na sio tariff 2. Hiyo 10,000/= kwa 28 units ndio t1. T2 ungelipia na charges za KVA.Mimi nina nyumba yangu ya kawaida ya makazi yenye vyumba sita (6).
Natumia umeme wa kawaida. Lakini nimewekwa kwenye la watumiaji wakubwa
Nikinunua umeme wa Tshs 10,000 napata Unit 28 tu
Wiring ya nyumba iko vizuri kabisa, haina shida kwa mujibu wa qualified electrical installer fundi
Sina vitu vya kutisha vingi vya kutumia umeme zaidi ya TV moja, friji, taa za kawaida na pasi ya kunyooshea nguo na sometimes blending machine ndogo ya kutengenezea juice ya matunda kwa matumizi ya nyumbani
Sipikii umeme, tunatumia gesi. Sina kiwanda chochote ndani ya nyumba cha kula umeme
Nimekwenda ofisi za TANESCO mara tatu. Walinieleza ili waniweke kwa kundi la watumiaji wa kawaida (tariff 1) ni sharti nidhibiti matumizi yangu ya umeme kwa kiwango kisichozidi 75 units kwa miezi 6 mfululizo
Nilifanya hivyo na kufanikiwa. Niliwarudia na kuwapa taarifa na kuona kweli nimefanikiwa.
Niliandika barua ya kuomba kuhamishwa toka Tariff 2 kurudi Tariff 1, nikapewa na fomu fulani hivi nikajaza na kuambiwa niende watashughulikia
Ni takribani mwaka sasa, hawajafanyia kazi ombi langu pamoja na kuwakumbusha Mara kwa Mara
Naomba kujulishwa tatizo ni nini?
Mita yangu ni No 22132413653
Sawa lakini tulishapeleka taarifa pale Magomeni tangu tarehe 27, tulimtuma binti alikuja na ile remote ya kujazia luku ili atoe maelezo, walimpatia namba za kuingiza lakini zilikataa, walimwambia kua zikikataa mtupigie simu watakuja mafundi wetu kuchunguza tatizo ni nini, walipigiwa simu wakasema watakuja, tukaendelea kuwapigia simu wanatuahidi hivohivo kua watakuja mpaka jana umeme ulivorudi wenyewe kutokana na mvua kunyesha, na sasa tena umekatika kwasababu mvua hainyeshi, tutaishi hivi mpaka lini?Tumepokea kwa hatua zaidi
Tunaomba namba yakonya simu kwa ufatiliaji na hatua zaidiTanesco naombeni mnipe ufafanuzi, ni kwa nini? Tabata dampo magerage kila siku umeme mnakata asubuhi unarudishwa usiku, tatizo ni nini?
Ina maana huu mgao wa umeme upo tabata magerage pekee yake au kunani?
Eneo la jirani matumbi umeme upo
Eneo la jirani kigogo pale ukivuka tu daraja la kutenganisha tabata na kigogo umeme upo ukija tabata dampo umeme hakuna tangia jana
Wanakata umeme asubuhi unarudishwa usiku
Ebu tupeni ufafanuzi hapa shughuli za kiuchumi na ujasiliamali zimesimana kipindi hiki kigumu watu tunatafuta fedha za sikukuu kipindi cha majeruhi nanyie mnakuja kutuvuruga kabisa kisaikolojia..
0715324980Tunaomba namba yakonya simu kwa ufatiliaji na hatua zaidi
*KAGERA-BUKOBA TUPO*
*HII NI KWA WAKAZI WA BUKOBA MJINI*
*Jiunge na TANESCO huduma kwa wateja kupitia mtandao wa WhatsApp kwa kugonga link ifuatayo*
*Kindly click the WhatsApp link below to join TANESCO online customer service through official WhatsApp
Follow this link to join my WhatsApp group: TANESCO HUDUMA- BUKOBA
Mpatie ndugu, jamaa na rafiki ili kuwa karibu zaidi na TANESCO yetu mtandaoni.
Endelea kufatilia kurasa zetu za facebook (www.facebook.com/tanescoyetu) na twitter (www.twitter.com/tanescoyetu) kujua link ya eneo lako
*"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"*View attachment 1010329
Sent using Jamii Forums mobile app