TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Mimi nina nyumba yangu ya kawaida ya makazi yenye vyumba sita (6).

Natumia umeme wa kawaida. Lakini nimewekwa kwenye la watumiaji wakubwa

Nikinunua umeme wa Tshs 10,000 napata Unit 28 tu

Wiring ya nyumba iko vizuri kabisa, haina shida kwa mujibu wa qualified electrical installer fundi

Sina vitu vya kutisha vingi vya kutumia umeme zaidi ya TV moja, friji, taa za kawaida na pasi ya kunyooshea nguo na sometimes blending machine ndogo ya kutengenezea juice ya matunda kwa matumizi ya nyumbani

Sipikii umeme, tunatumia gesi. Sina kiwanda chochote ndani ya nyumba cha kula umeme

Nimekwenda ofisi za TANESCO mara tatu. Walinieleza ili waniweke kwa kundi la watumiaji wa kawaida (tariff 1) ni sharti nidhibiti matumizi yangu ya umeme kwa kiwango kisichozidi 75 units kwa miezi 6 mfululizo

Nilifanya hivyo na kufanikiwa. Niliwarudia na kuwapa taarifa na kuona kweli nimefanikiwa.

Niliandika barua ya kuomba kuhamishwa toka Tariff 2 kurudi Tariff 1, nikapewa na fomu fulani hivi nikajaza na kuambiwa niende watashughulikia

Ni takribani mwaka sasa, hawajafanyia kazi ombi langu pamoja na kuwakumbusha Mara kwa Mara

Naomba kujulishwa tatizo ni nini?

Mita yangu ni No 22132413653
 
Fanya haya kisha tujulishe

Hakikishe circuit Breaker na Main switch ipo zipo on kama vipo sawa ingiza 5969868637210012797 bonyeza Ok kisha ingiza umeme tena
Mkuu umeme umerudi leo wenyewe bila kuingiza tokeni tulizonunua, kumbe ulikuwa bado haujaisha.

Kilichofanyika ni mvua ilipodondoka na kuanza kunyesha umeme ukawaka, taa zilikua on, nahisi waya za kutoka kwenye nguzo kuja kwenye bomba ziko luz connection, inawezekana kwenye nguzo au kwenye bomba la kwenye paa la nyumba, kwasababu hata ulicorudi haukua tulivu, ilikua ukiwasha kitu kama Tv unaanza kuwaka unafifia kuwaka unafifia, lakini kwa sasa umetulia.

Sasa basi baada ya kurudi tukachukua remote ili tuangalie Unit lakini hatujafanikiwa remote ilikua inakataa kwa mtindo ule ule, nikajaribu kuingiza Token ikakataa vile vile, lakini nikakumbuka kua niliwasiliana na nyinyi, nikaingia Jamii Forum nikaona ulinitumia namba za kuingiza, nikaingiza ikakubali kuingingiza Token zikakubali, kwa hio sasa tunaweza kuangalia salio yaani Unit bila wasi wasi, TUNASHUKURU SANA KWA HUDUMA YENU NZURI.

Ombi letu sasa tunaomba mje mturekebishie hilo tatizo la waya, maana nasikia hata upepo ukipiga hua zinatokea cheche kwenye huo waya uliiokuja kwetu, ni hapa Ubungo Maziwa jirani na baa ya maziwa baa.
 
Ili mafundi wetu wafike eneo lako tafadhali tupatie taarifa kamili

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo
 
Eneo lako kamili Wilaya, mkoa wako pamoja na eneo lako bila kusaau namba yako ya simu.
 
Nyie ni mang'ombe tu umeme wenu ni wakichoko siuhitaji umeme wangu toka china haukatiki labda mungu ndo anaweza kuukata
 
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu. Tatizo ni nini? Namba yako ya simu tafadhali tukusikilize na kukuhudumia

TANESCO HUDUMA KWA WATEJA
 
Mimi nina nyumba yangu ya kawaida ya makazi yenye vyumba sita (6).

Natumia umeme wa kawaida. Lakini nimewekwa kwenye la watumiaji wakubwa

Nikinunua umeme wa Tshs 10,000 napata Unit 28 tu

Wiring ya nyumba iko vizuri kabisa, haina shida kwa mujibu wa qualified electrical installer fundi

Sina vitu vya kutisha vingi vya kutumia umeme zaidi ya TV moja, friji, taa za kawaida na pasi ya kunyooshea nguo na sometimes blending machine ndogo ya kutengenezea juice ya matunda kwa matumizi ya nyumbani

Sipikii umeme, tunatumia gesi. Sina kiwanda chochote ndani ya nyumba cha kula umeme

Nimekwenda ofisi za TANESCO mara tatu. Walinieleza ili waniweke kwa kundi la watumiaji wa kawaida (tariff 1) ni sharti nidhibiti matumizi yangu ya umeme kwa kiwango kisichozidi 75 units kwa miezi 6 mfululizo

Nilifanya hivyo na kufanikiwa. Niliwarudia na kuwapa taarifa na kuona kweli nimefanikiwa.

Niliandika barua ya kuomba kuhamishwa toka Tariff 2 kurudi Tariff 1, nikapewa na fomu fulani hivi nikajaza na kuambiwa niende watashughulikia

Ni takribani mwaka sasa, hawajafanyia kazi ombi langu pamoja na kuwakumbusha Mara kwa Mara

Naomba kujulishwa tatizo ni nini?

Mita yangu ni No 22132413653
Kwa uelewa wangu wewe upo tariff 1 na sio tariff 2. Hiyo 10,000/= kwa 28 units ndio t1. T2 ungelipia na charges za KVA.
 
Tumepokea kwa hatua zaidi
Sawa lakini tulishapeleka taarifa pale Magomeni tangu tarehe 27, tulimtuma binti alikuja na ile remote ya kujazia luku ili atoe maelezo, walimpatia namba za kuingiza lakini zilikataa, walimwambia kua zikikataa mtupigie simu watakuja mafundi wetu kuchunguza tatizo ni nini, walipigiwa simu wakasema watakuja, tukaendelea kuwapigia simu wanatuahidi hivohivo kua watakuja mpaka jana umeme ulivorudi wenyewe kutokana na mvua kunyesha, na sasa tena umekatika kwasababu mvua hainyeshi, tutaishi hivi mpaka lini?

Halafu hapa mahali walishakuja kutatua matatizo mawili ndani ya miezi miwili hiyo iliyopita, na tatizo la kwanza meter ilikufa ikabadilishwa hata mwezi haujaisha ile iliyobadilishwa ikazima nayo kama inavozima sasa hivi tuliwajulisha wakaja wakarekebisha kidogo ikatulia, lakini imeanza tena.

Wasipofanya haraka kuja kurekebisha vizuri hizi waya yanaweza yakatokea matatizo kama ya kwanza kuharibika meter ambayo inakua ni hasara kwa shirika.

Nasema kua yanaweza kutokea matatizo ya kuharibika meter kwasababu ikinyesha mvua ndo matatizo yanapotokea, kwasababu umeme unarudi na ukirudi unakua hauko vizuri, kwa hiyo wajitahidi angalau leo waje warekebishe, na hapa sasa hivi najua wapangaji wenzangu wanaweza kuwapigia simu hapo Magomeni.

Kiufupi hapa mahali watakua wanapafahamu kwasababu wameshakuja mara mbili ndani ya miezi miwili ni jirani na Maziwa bar.
 
Tanesco naombeni mnipe ufafanuzi, ni kwa nini? Tabata dampo magerage kila siku umeme mnakata asubuhi unarudishwa usiku, tatizo ni nini?
Ina maana huu mgao wa umeme upo tabata magerage pekee yake au kunani?
Eneo la jirani matumbi umeme upo
Eneo la jirani kigogo pale ukivuka tu daraja la kutenganisha tabata na kigogo umeme upo ukija tabata dampo umeme hakuna tangia jana
Wanakata umeme asubuhi unarudishwa usiku
Ebu tupeni ufafanuzi hapa shughuli za kiuchumi na ujasiliamali zimesimana kipindi hiki kigumu watu tunatafuta fedha za sikukuu kipindi cha majeruhi nanyie mnakuja kutuvuruga kabisa kisaikolojia..
 
Tunaomba namba yakonya simu kwa ufatiliaji na hatua zaidi
 
Nimelipia kufungiwa umeme toka january hadi leo nazungushwa tu sijui nini shida kituo cha HIMO MOSHI KILIMANJARO

Ac 991030719141
Received 990115294553
Kupitia EC100299949021

Mbona hamnipi jibu nini shida hapo au hapa wengine hawajibiwi?
 
Kwanza tunashukuru kwamba matatizo yetu mengine yanaishia hapa kwa hili nawasifu.
TANESCO nina swali la nyongeza, kwakuwa barabara ya kutoka Kibada kuelekea Dar Zoom hadi mwasonga kuelekea kichangani shule na kuzunguka hadi mkwajuni kuja kutokea Dege ni makazi mapya na watu wengi wamejenga huko na je mna mpango gani wa kuhakikisha tunapata umeme hasa eneo la Mwasonga na shule ya msingi kichangani ambapo ni makazi mapya na maeneo yamepimwa?
Naombeni majibu tafadhali, nataka kuhamia kwangu nimechoka kupanga, shida ni umeme
 
Hizi link hazifanyi kazi tena Tanesco naomba msaada wa kupata link ambazo ziko active
*KAGERA-BUKOBA TUPO*

*HII NI KWA WAKAZI WA BUKOBA MJINI*

*Jiunge na TANESCO huduma kwa wateja kupitia mtandao wa WhatsApp kwa kugonga link ifuatayo*

*Kindly click the WhatsApp link below to join TANESCO online customer service through official WhatsApp

Follow this link to join my WhatsApp group: TANESCO HUDUMA- BUKOBA

Mpatie ndugu, jamaa na rafiki ili kuwa karibu zaidi na TANESCO yetu mtandaoni.

Endelea kufatilia kurasa zetu za facebook (www.facebook.com/tanescoyetu) na twitter (www.twitter.com/tanescoyetu) kujua link ya eneo lako

*"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"*View attachment 1010329

Sent using Jamii Forums mobile app
 
86 Reactions
Reply
Back
Top Bottom