The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Mimi nina nyumba yangu ya kawaida ya makazi yenye vyumba sita (6).
Natumia umeme wa kawaida. Lakini nimewekwa kwenye la watumiaji wakubwa
Nikinunua umeme wa Tshs 10,000 napata Unit 28 tu
Wiring ya nyumba iko vizuri kabisa, haina shida kwa mujibu wa qualified electrical installer fundi
Sina vitu vya kutisha vingi vya kutumia umeme zaidi ya TV moja, friji, taa za kawaida na pasi ya kunyooshea nguo na sometimes blending machine ndogo ya kutengenezea juice ya matunda kwa matumizi ya nyumbani
Sipikii umeme, tunatumia gesi. Sina kiwanda chochote ndani ya nyumba cha kula umeme
Nimekwenda ofisi za TANESCO mara tatu. Walinieleza ili waniweke kwa kundi la watumiaji wa kawaida (tariff 1) ni sharti nidhibiti matumizi yangu ya umeme kwa kiwango kisichozidi 75 units kwa miezi 6 mfululizo
Nilifanya hivyo na kufanikiwa. Niliwarudia na kuwapa taarifa na kuona kweli nimefanikiwa.
Niliandika barua ya kuomba kuhamishwa toka Tariff 2 kurudi Tariff 1, nikapewa na fomu fulani hivi nikajaza na kuambiwa niende watashughulikia
Ni takribani mwaka sasa, hawajafanyia kazi ombi langu pamoja na kuwakumbusha Mara kwa Mara
Naomba kujulishwa tatizo ni nini?
Mita yangu ni No 22132413653