Nimelipia umeme toka mwezi wa toka tarehe 28/8/2018 mpaka sasa hawajaniingizia kila nikimfuata meneja anadai nguzo bado hazijafika,je nitumie mbinu gani wakuu nipate umeme haraka,mwenye maoni na ushauri anisaidie jamani,nimechoshwa na giza.
 
Wilaya gani

Namba ya simu

Jina ulilolipia
 
Nimelipia umeme toka mwezi wa toka tarehe 28/8/2018 mpaka sasa hawajaniingizia kila nikimfuata meneja anadai nguzo bado hazijafika,je nitumie mbinu gani wakuu nipate umeme haraka,mwenye maoni na ushauri anisaidie jamani,nimechoshwa na giza.
Yani kero hiyo ni kama mm huku masasi...nimelipia tangu mwezi wasita hadi leo wanakwambia nguzo hazijafika...kwani tanesco mtabadilika lini mbona huduma haziboreshwi?...mnashindwaje kuagiza nguzo kwa wakati wananchi tukapata huduma?...ni shirika la ajabu cjawah ona yani...imefika wakati sasa kila mkoa ujitegemee ili angalau huduma ziwe bora na kwa wakati tunapata tabu hadi tunachukia nchi jamanii
 
Yaani mpaka unajilaumu kwa nn ulilipa hiyo pesa nibora ningebakinayo nikafanyia biashara laki tatu na ushee nyingi sana kwa kipindi hiki
 
Umelipa tarehe ngapi

Jina

Namba ya simu

Na kiasi tafadhali
 
Yaani mpaka unajilaumu kwa nn ulilipa hiyo pesa nibora ningebakinayo nikafanyia biashara laki tatu na ushee nyingi sana kwa kipindi hiki
Ni kweli kabisa wanaboa sanaaaa...then kuna ubaguzi mkubwa sanaa hususani kwa tuliokuwa pembeni mwa nchi...jamanii wamwambie mkurugenzi wao na sisi huku tunahitaji huduma hiyo kama sehemu zingine...mbona idara ya maji wako vizuri sanaaa hata kama vifaa vimekwisha haichukui muda mrefu vinaagizwa then wateja mnapata huduma kwa wakati lakini sio tanesco...unasubiri umeme miezi nane hadi mwaka c maajabu hayo.....nawachukia sanaaaaa
 
Habar za leo wakuu naomba kujuzwa mimi nmenunua umeme kwa mara ya kwnza ktk miter mpya umeme wa 30,000 elf 30 cha kushangaza nmepewa unit 34.3 kama ambavo mnaona hapo kweny hii picha nikio replay ambazo ni bei yake kwa unit 1 ni 292 sawa na 9990.17 ..unit tulizopewa za kuanzia yaani zile zinazokuja na miter mpya zilikuwa unit 10 tu sasa cha ajabu deni wamekata 17812 je unit 10 zao ni 17812 ninajua mimi hiyo hera wakiyokata ni hera ambayo inatosha kununua unit 50 Sasa sisi hatujapewa unit 50 tulipewa 10 tu inakuwaje wakate hera yote hiyooo 17812 harafu 30,000 tulionunua umeme tumepata unit 34.3 je hera yote nyingine imeeenda wapi au je ni lini watatuongezea hizo unit 40 ili kutimiza zile unit 50 za heta walizokata 17812 ...maana walitupa unit 10 tu

Naombeni mnisaidie ni kwa namna gani ntapata hii haki yangu aisee. Kwa mjibu wa hii karatas yao ya manunuzi ya umeme inamaana wamenidhurumu jumla. Ya tsh 15000 maana nimetoa 30000 nmepewa unit 34.3 na zile 10 zilizokuja na miter mpya jumla zote zitakuwa unit 34 + 10 = 44 ambazo ni sawa kama na tsh15000 tu sasa hiyo elf 15000 au unit 40 zimeenda wapi ndo izo nazitafuta wanipe ni haki yangu ya msingi sana... Asanteni san na karibuni kwa ushauri wenu mnielekeze nazipataje, samahan kama nitakuwa nmekosea kunyoosha maelezo vizur
IMG_20181121_215859_0.jpeg
IMG_20181121_175838_0.jpeg
IMG_20181121_175826_6.jpeg
 
Back
Top Bottom