Yaani hawa TANESCOWamekata tena hawa washenzi!
hizo week tatu zote unatumia umeme gani?Hivi kuna watu bado mnatumia umeme wa Tanesco? Kiukweli mimi nimezoea nina wiki ya Tatu nimekataa umeme wao na nijipanga nipate umeme wangu wa uhakika
Kwa hiyo Muhongo ndio anakata umeme. Tanesco walitoa taarifa kunahitilafu wanafanyia kazi. Hitalfu ni jambo la kawaida; tunakaa na kulaumu as if sisi ni technicians. Waacheni wenye proffession zao watatue tatizo.Khabarini wadau muda huu naandika uzi huu kama nusu iliyopita mpaka sasa umeme umekatika.Nachojiuliza ni kuwa mgao wa umeme umerudi nchini ama nini ? na kama umerudi si wautangazie umma wa watanzania waelewe kinachoendelea.
Hii wanafanya kama siri kwa manufaa ya nani kwa sababu sisi wananchi ndio tumewaweka madarakani ila kwa nyendo za hapa karibuni hili suala la umeme imekuwa kero kwa wananchi mbalimbali. Hivi hivyo viwanda mnavyohimiza vijengwe vitaendeshwa kwa kutumia nini kama hali ya umeme ndio hii . Wanasiasa kuweni wa kweli kwenye mambo ya maana mnakaa kimya ila kwenye upuuzi ndo mnatoaga matamko yenu ya kipuuzi puuzi.
Kama kazi imewashinda mrudisheni Prof. Muhongo maana kwa kipindi chake tatizo la kukatika ovyo kwa umeme halikuwepo na tulianza kusahau suala la kukatika ovyo kwa umeme.
Nawasilisha
Kama unasikia kuzira ndiko huku najipanga nipate Solar ambayo mimi mwenyewe nitakuwa mkurugenzi na Waziri wa Nishati.hizo week tatu zote unatumia umeme gani?
Utakuwa ni waziri mwenye dhamana, ndo majibu yenu kuficha tumbo la kuhara, mwisho kijiharishia, hapa dar mitaa kibao haina umeme kwa kila siku, sasa hivi hapa nilipo haupo na jana na juzi mida hii haukuwepo! Kwa nini mnaleta siasa katika mambo ya msingi?Old forest mbona umeme bwerere tu
Hii taasisi inayumba siku zote,washaurini wanasiasa waache unafiki muingie kwenye other sources of electric generetion,Solar power could be a vital soution at a moment otherwise mrudiaeni Lugemalila na Singasinga.asante tumelipokea na tutalifanyia kazi
Tuliza munkari mkuu, Old forest haipo gridi ya taifA.Utakuwa ni waziri mwenye dhamana, ndo majibu yenu kuficha tumbo la kuhara, mwisho kijiharishia, hapa dar mitaa kibao haina umeme kwa kila siku, sasa hivi hapa nilipo haupo na jana na juzi mida hii haukuwepo! Kwa nini mnaleta siasa katika mambo ya msingi?
Kabisa aisee prof muhongo alikua mtu sahihi kwenye hii wizara.umeme ulifika mpaka vijijini.ni kweli alikua na mapungufu yake but maadamu tulipata umeme haina shida.wamrudishe tu hamna namnaNi vigumu sana kufuta LEGACY ya Prof. Muhongo kwenye utendaji wa Wizara iliyoitwa ya NISHATI NA MADINI. Katika uongozi wake figisu za mgao wa umeme ziliisha na kasi ya kusambaza huo umeme vijijini ilikuwa SUPER.
weka simu chaji haraka sana mkuu, wana tabia ya kuonjesha umeme ukijisahau tu wanachukua umeme wao.Teh teh...wamerudisha tena pande hizi....
Wassenge sana hawa jamaa.
......Mkuu huwa ni Totoro sio Tororo
dar umeshakwenda muda huu 10:00