simbamzeewamwakidila
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 1,447
- 378
Na anayeupiga mwingi maana hata hasimamiii serikaliGiving a Dog a Bad Name...., Lawama hizi ziwafikie Makamba na Mwenzake Maharage
Na anayeupiga mwingi maana hata hasimamiii serikaliGiving a Dog a Bad Name...., Lawama hizi ziwafikie Makamba na Mwenzake Maharage
Nafikiri kama sikosei wametangaza faida kubwa mwaka huuTanesco wanafeli Sana nadhani wangejitokeza competitors wengine ingekuwa poa
Mbona mwakataa wawekezaji Toka nje.wa TZ wenye pesa wanawaza kuwekeza baa na night club au hotel 🤣🤣🤣🪑Tanesco wanafeli Sana nadhani wangejitokeza competitors wengine ingekuwa poa
Wewe unajua nini cha maana kwani?Umeme utakatwa usiku wa tarehe 26 kuamkia 27(1) na 27 kuuamkia 28(2), sasa hiyo ya tatu ni ipi! JF imekuwa ya hovyo kumejaa wajuaji.
Jibu langu lilihusu sisi kufanywa wajinga kwa madai ya tarehe 26 , 27 na 28 usiku kuwa ni siku tatu wakati uzimaji utafanyika tarehe 26 na 27 usiku tu na uwashaji utafanyika tarehe 27 na 28 asubuhi.Wewe unajua nini cha maana kwani?
Kama nchi yenye viongozi makini na wanaotumia akili kuendesha maswala ya nchi, unadhani kuna uhalali wowote wa karibu ¾ ya nchi kuwa gizani kwa siku mbili mfululizo na siku zote hizo shughuli zote za uzalishaji mali za wananchi zikiwa zinesimama??
Hizo Kodi na tozo ambazo serikali inazitaka kutoka Kwa wananchi itazipataje eti? Na Je, kama nchi Ina maana hatuna alternative power Kila inapotokea dharula kama hii?
Hii ni Moja ya propaganda za kitoto sana, jenereta ni shilingi ngapi kiasi hao mnaowashutumu wazime umeme wa viwanda kwa ajili ya kuuza majenereta kwa siku 3 pekee?Tunajua hizo ni ajenda za wenye fedha kuzima umeme ili wauze mafuta, majenereta kwa wingi...msije sema sikuwaambia ...zoezi hilo litakua ni endelevu kwa miezi isiojulikana.....RIP Magufuli enzi zako tulisahau giza
Imejaa fake news, sijui hata hiyo jamii check inafanya kazi gani!Umeme utakatwa usiku wa tarehe 26 kuamkia 27(1) na 27 kuuamkia 28(2), sasa hiyo ya tatu ni ipi! JF imekuwa ya hovyo kumejaa wajuaji.
Wanaunganisha kituo Cha kupooza umeme huko Ifakara kwenye Gridi ya Taifa. Sasa sijui watu walitaka Gridi ya Taifa iwe ON huku umeme mkubwa hivyo ukihamishwa?Wamesema chanzo cha huo mgao ni nini?
Punguza utoto wako hapa nani kakwambia umeme wa Tanzania unategemea Maji? 75% ya umeme unategemea Gesi so kama hao unaowaita wahujumu umeme wangetaka kuleta mgao unaposema hapa wangeenda pasua mabomba ya gesi utatokea mgao wa miezi hata 6!! Ila eti wasifanye hivyo ila mgao wa siku mbili tu Tena wa kuunga Gridi ya Taifa ndio iwe hujuma?Jiulize mvua zote zilizonyesha mwaka huu .....wanakosa kisingizio sasahivi wanasingizia marekebisho....hakika aliyenacho ataongezewa na asiye nacho atapokonywa alichonacho ndio haya yanatukuta leo maana umeme ukishakua wa mgao yamaanisha sisi masikini tufe na umasikini wetu sababu bila umeme hakuna mzunguko wa fedha
Si kuna control stations? Hivi unajua TANESCO wanaweza kuzima umeme nchi nzima wakauachia ktk wilaya moja tu hapa Tanzania? Grid ya taifa inaweza kuwa on na wakafanya matengenezo au kuhamisha watakavyo.Wanaunganisha kituo Cha kupooza umeme huko Ifakara kwenye Gridi ya Taifa. Sasa sijui watu walitaka Gridi ya Taifa iwe ON huku umeme mkubwa hivyo ukihamishwa?
Naunga mkono hojaWAPEWE DP WORLD TUMEAMBIWA WANA UWEZO MKUBWA
Labda makali yake yatakuwa mara mbili zaidi !!Mgao upo kila siku huku Tbr, sasa hilo tangazo lao la nini?
Embu nitolee muhemko huko.. .bando langu usinipangie chakuandikaPunguza utoto wako hapa nani kakwambia umeme wa Tanzania unategemea Maji? 75% ya umeme unategemea Gesi so kama hao unaowaita wahujumu umeme wangetaka kuleta mgao unaposema hapa wangeenda pasua mabomba ya gesi utatokea mgao wa miezi hata 6!! Ila eti wasifanye hivyo ila mgao wa siku mbili tu Tena wa kuunga Gridi ya Taifa ndio iwe hujuma?
JPM aliwaharibu ubongo nyie sio Bure
Bodi imejaa Wahuni Bankers na Mwenyekiti wa Bodi CEO wa mchongo wa Big Result Now failed project Omar Isa na DG wa mchongo muuuza vifurushi vya Bongo movie pale DStv Ndugu Maharage Chande.Hatari sana!Shirika hilo la Umeme limesema njia ya umeme itakayozimwa ni kutoka Kidatu kwenda Kihansi kwa siku mbili kuanzia Agosti 26 hadi 28 2023
Umeme utakuwa wa mgawo kwa Saa 12 kuanzia Saa 1 Jioni hadi 12 Asubuhi huku Mikoa ya Njombe, Ruvuma na Mbeya ikitarajiwa kuathirika
Mikoa mingine ni Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Shinyanga, Kilimanjaro, Simiyu, Tabora, Mwanza, Geita na Iringa
Vipi Mdau, umejiandaaje kukabiliana na Mgawo huo?