Acha ujinga kwani nyinyi na huyo bibi yenu ni watakatifu wote ni majizi! Usifikiri Ndugai yuko mwenyewe ana watu nyuma yake! Mtajua hamjui mda si mrefu!Kifo cha kujitakia hiki,huyu Ndungai alijidharaulisha mwenyewe kwa kukubali kutumika kiboya enzi za yule dhalim aliyeko motoni sasa, anavuna alichopanda
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app