Tamko la wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa

Poor Ndugai, ulikosea sana kuomba msamaha ona sasa opponent(s) wako (mama na chawa wake) wanavyoenda kukumaliza

Speaker ni mtu mzito sana, sio wa kuomba msamaha kirahisi rahisi (kizembe zembe), ulipaswa kuendelea kuwa nunda (kuvimba) hata kama ungelikuwa umekosea kweli, kitendo chako cha kuomba msamaha kimempa nguvu Chief Hagaya.... hukujifunza hata kwa Marehemu Samuel Sitta!?! Aliyekuwa nunda kwa JK
CCM kula kula maslahi na chawa walishajifunzaga kwa Magufuli baada ya somo la kina JK na Lowasa na Membe ule mpauko ulivyozoa zoa wengi...hapo walitoka na tuition ya kuwa muda wowote wewe kaa na Mwenyekiti/Rais wa wakati huo vizuri iwe kwa kujipendekeza ama vyovyote ili mradi siku zisonge hadi itakapotokea tuition nyingine huko mbele ya safari

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Nimeona sehemu kumbe Mama ndiye alikuwa mtoa siri za Ikulu enzi za Dkt Magufuli, na ndiyo maana Kigogo na Mange hawana namna maana mnyetishaji wao ndiye kawa rais so hawana mpya
Assumption hizi kigogo kamtukana sana mbona. Mange ni mchumia tumbo na alikuwa anatamani kurudi hapa tz. Sasa alazima apambe sana la sivyo hata kiapp chale kingefungiwa kama alivyofungiwa namba za kupokea mpesa wakati wa magu
 
Poor Ndugai, ulikosea sana kuomba msamaha ona sasa opponent(s) wako (mama na chawa wake) wanavyoenda kukumaliza

Speaker ni mtu mzito sana, sio wa kuomba msamaha kirahisi rahisi (kizembe zembe), ulipaswa kuendelea kuwa nunda (kuvimba) hata kama ungelikuwa umekosea kweli, kitendo chako cha kuomba msamaha kimempa nguvu Chief Hagaya.... hukujifunza hata kwa Marehemu Samuel Sitta!?! Aliyekuwa nunda kwa JK
1641388760387.png

Mungu mbariki Ndungai ajinyonge salama!!! Amina
 
Muosha huoshwa....uyu ofsa Kuna kipindi alikuaga anajifanya mbabe mbabe tu na kutoa kauli zake zakibabe babe tu kulifanya bunge lake kujimwambafai hakuna wa kumfanya chochote....

Sasa hapa kajichanganya kaongea ukweli ila Sasa bosi wako siku zote atakua juu yako unapata wapi ujasiri wa kumpinga unataka nyerere alitunyima elimu na kututengenezea utamaduni wa kuogopa mamlaka hata Kama imefanya makosa huo utaratibu umekua ukirithishwa awamu kwa awamu na ndio maana watanzania wengi wanapenda kudai haki zao nyuma ya key board za simu zao

Najaribu kui magine ivi wale wabunge 19 walioko bungeni ungekua ni nchi Kama marekani yenye demokrasia wangekuepo mpaka leo ishu ya matozo ya kila siku Mara kwenye miamala kwenye umeme sijui t.r.a je wenzetu wangekubali kirahisi rahisi tuu Kama sisi alafu mwisho wa siku tunaenda Lilia kwenye mitandao?

Hii nchi inahitaji mabadiliko makubwa Sana kiutawala muhimbili yote mitatu inatakiwa ifanye majukumu yake kwa mujibu wa utaratibu wake spika amekaa akawaza vizuri tuu kwamba mikopo tukiiendekeza Sana Ina madhara makubwa mbeleni ni haki yako kujitokeza na kutoa maini yako asa unatoa maoni alafu unarudi kuomba radhi unajitekenya alafu unacheka mwenyewe

Spika amebugi Sana amejishushia heshima Sana ameonekana ni walewale wachumia tumbo sifa kubwa ya kiongozi ni kua na msimamo na kusimamia kile anachokiamini
Unafiki ndio tatizo,ila suluhisho la haya yote ni KATIBA MPYA
 
Back
Top Bottom