Tamko la wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa

Muosha huoshwa....uyu ofsa Kuna kipindi alikuaga anajifanya mbabe mbabe tu na kutoa kauli zake zakibabe babe tu kulifanya bunge lake kujimwambafai hakuna wa kumfanya chochote....

Sasa hapa kajichanganya kaongea ukweli ila Sasa bosi wako siku zote atakua juu yako unapata wapi ujasiri wa kumpinga unataka nyerere alitunyima elimu na kututengenezea utamaduni wa kuogopa mamlaka hata Kama imefanya makosa huo utaratibu umekua ukirithishwa awamu kwa awamu na ndio maana watanzania wengi wanapenda kudai haki zao nyuma ya key board za simu zao

Najaribu kui magine ivi wale wabunge 19 walioko bungeni ungekua ni nchi Kama marekani yenye demokrasia wangekuepo mpaka leo ishu ya matozo ya kila siku Mara kwenye miamala kwenye umeme sijui t.r.a je wenzetu wangekubali kirahisi rahisi tuu Kama sisi alafu mwisho wa siku tunaenda Lilia kwenye mitandao?

Hii nchi inahitaji mabadiliko makubwa Sana kiutawala muhimbili yote mitatu inatakiwa ifanye majukumu yake kwa mujibu wa utaratibu wake spika amekaa akawaza vizuri tuu kwamba mikopo tukiiendekeza Sana Ina madhara makubwa mbeleni ni haki yako kujitokeza na kutoa maini yako asa unatoa maoni alafu unarudi kuomba radhi unajitekenya alafu unacheka mwenyewe

Spika amebugi Sana amejishushia heshima Sana ameonekana ni walewale wachumia tumbo sifa kubwa ya kiongozi ni kua na msimamo na kusimamia kile anachokiamini
 
CCM mnaenda kufanya kosa mtakalojutia milele.
Mimi nasimama na Ndugai kulinda haki yake;

. 1. Kama raia kutoa mawazo yake hta kama ni pumba, katiba inampa uhuru huo
.
. 2. Kama spika Muhimili unaojitegemea anaweza ku CHECK AND BALANCE of executive order. Na anao huo wajibu na Haki kwa pamoja.

Mkifunga Mhumili moja mjiandae na Mahakama utadhibitiwa.


Logically ita display ya kuwa mama anataka kuwa DICTATOR.! (?)

440CBB7D-77D7-4E12-981F-BF03B0C9AC71.jpeg
 
Poor Ndugai, ulikosea sana kuomba msamaha ona sasa oppornent(s) wako (mama na chawa wake) wanavyoenda kukumaliza

Speaker ni mtu mzito sana, sio wa kuomba msamaha kirahisi rahisi (kizembe zembe), ulipaswa kuendelea kuwa nunda (kuvimba) hata kama ungelikuwa umekosea kweli, kitendo chako cha kuomba msamaha kimempa nguvu Chief Hagaya....hukujifunza hata kwa Marehemu Samuel Sitta!?! aliyekuwa nunda kwa JK
Dunia tunapita. NO SITUATION IS PARMANENT IN THIS COUNTRY. Alipo Sasa anaomba Lisu amsammehe, lakini hasikii sauti yake. Tuwe tayari kupokea katika Hali yeyote itakayomkumba Mara baada ya saa tano.
 
Hawa wagogo ni Watu wa ajabu sana hawajifunzi!! Malecela nae alifanya makosa kama haya haya wakati wa MUSSA ;matokeo yake akaandikiwa kitabu na ndoto zake za URAIS zikazimika!!
😠😠😠 Ungemhukumu Ndugai na sio kabila.
 
Ndugai kakosea mno, yeye ni muhimili tofauti na wa Chief Hagaya, hii ya kuomba msamaha kwa mkuu mwenzie wa muhimili ndio naiona kwa Ndugai....upuuzi huo usingeuona kwa Marehe Samuel Sitta
Ndugai mnamuonea bure kumlaumu kwa kuomba msamaha; msamaha ambao umedharauliwa na kutupiliwa mbali! Hana uwezo huo wa kufikiri - pros and cons za kufanya au kutofanya.
 
Poor Ndugai, ulikosea sana kuomba msamaha ona sasa opponent(s) wako (mama na chawa wake) wanavyoenda kukumaliza

Speaker ni mtu mzito sana, sio wa kuomba msamaha kirahisi rahisi (kizembe zembe), ulipaswa kuendelea kuwa nunda (kuvimba) hata kama ungelikuwa umekosea kweli, kitendo chako cha kuomba msamaha kimempa nguvu Chief Hagaya.... hukujifunza hata kwa Marehemu Samuel Sitta!?! Aliyekuwa nunda kwa JK
Unafiki unamtafuna.
 
Ko alipaswa kuwa kama akina Nancy Pelosi enzi za Trump
Poor Ndugai, ulikosea sana kuomba msamaha ona sasa opponent(s) wako (mama na chawa wake) wanavyoenda kukumaliza

Speaker ni mtu mzito sana, sio wa kuomba msamaha kirahisi rahisi (kizembe zembe), ulipaswa kuendelea kuwa nunda (kuvimba) hata kama ungelikuwa umekosea kweli, kitendo chako cha kuomba msamaha kimempa nguvu Chief Hagaya.... hukujifunza hata kwa Marehemu Samuel Sitta!?! Aliyekuwa nunda kwa JK

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Angenyang'anywa kadi ya uanachama na uspika ungekoma. Baada ya hapo ukumbuke kuna kufilisiwa hasa zile mali alizopata kwa njia zisizo halali. Kuna kesi za uhujumu uchumi zingemfuatia.

Ameona mbali sana kwa kuja kutubu mbele ya hadhara kabla mambo hayajamwaribikia. Baadae mngeanza kumcheka unajua sisi Watanzania ni wanafiki sana
Kuna namna ya kumuondoa sipika sio kwa kumnyang'anya kadi ya chama.
 
Back
Top Bottom