minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,366
Albadiri za pemba ni nyingi mno miccm itapotea kama vipepeoWaondoe vidonge vya ukimwi tuzike MaCCM wengi maana wanakunywa sana arvs
Albadiri za pemba ni nyingi mno miccm itapotea kama vipepeoWaondoe vidonge vya ukimwi tuzike MaCCM wengi maana wanakunywa sana arvs
Wapotee huko huko walipoHao nao hawana msaada wowote kila siku maneno hayo hayo tu hapa naanza kukubali duniani hakuna mungu au kama yupo hashiguliki na maisha ya duniani jamani Chadema wenzangu tutafute njia nyingine na sisi hii ya masanduku imeshagoma
Hahaha hahaMarekani wanyamaze kabisa la sivyo tutapeleka vikosi maalum kuwashughulikia.
Even in the US there's no democracy
Unataka watume manuali kubwa au nyambizi kubwa tano? Waje usiku kimya kimya kisha drone na Ndege zisizo na rubani ziingie kaziniNyinyi Marekani amueni moja tumechoka matamko ya kila siku
eeee ayo ndio maneno tumechoka rumbelele nyiiingi mikwala kibao bila vitendo Marekani bhana amueni moja tujueUnataka watume manuali kubwa au nyambizi kubwa tano? Waje usiku kimya kimya kisha drone na Ndege zisizo na rubani ziingie kazini
Akiapishwa siasa mpaka 2025 tufanye maendeleo ya vitu.Marekani inasisitiza haki ya maandamano ya amani kueleza maoni yao.
Kwani wana wanachama wa kuandamana kama wa kupiga kura hawakuwepo? Maana hata wakihimiza watu kuandamana hakuna atakayefanya hivyo.Mkaandamane mbona hamjaenda ma keyboard warrior............si rais wenu Lisu alishawaambia mchukue hatua au mnataka wamarekani ndo waje kuandamana kwa ajili yenu
Ndoto hizo.Magufuli atakamatwa kama kuku. We subiria.
Siku USA hana ubavu tena wa kuweka vikwazo, unaweka vikwazo china mrusi na Irani wanakuja kufanya biashara. Burundi tangu 2015 iliwekewa vikwazo inaendelea mbele maana majirani hawatekelezi vikwazo.Kama una akiba sasa hivi itineraries. Vikwazo vya uchumi vikianza tutauza mpaka mabanda ya kuku.
Marekani inasisitiza haki ya maandamano ya amani kueleza maoni yao.
Kwenye hiyo nyumba mnawaibia kura sasa je wakiwa na ghorofa si ndiyo mtawachinja kabsa
Vikwazo kama vya Zimbabwe hadi leo nchi ile haijakaa sawa.Bado tu tegemezi tunadaiwa trions za fedha kwa miradi mbalimbali. Bunge la Chama kimoja halina tija ita kuwa ndio mzee.Si umeona upinzani imepiga kelele kuhusu bima ya afya, ndipo tumehaidiwa kupewa nchi nzima.Hakuta luwa na keleleMatamko haya Yana umuhimu gani?
Hiyo ndiyo ofisi inawakosesha usingizi CCM mpaka kupelekea kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji kuwapiga risasi kuwahujumu kuwadhoofisha chadema, hivi je? Wangekuwa na ghorofa si wangeweza kuwatuma jwtzccm walete mizinga na Ndege za kivita
Hivi unaelewa unachoandika? Sijafananisha Tanzania na US, nimesema hata huko Marekani wao hawana democracy wasiingilie uchaguzi wa nchi nyingine. Bado hujaelewa tu?yeah but tambua US sio bongo.. raisi wao wa awamu ya tano walimchagua kabla hat raisi wako wa awam ya tano haja fikiriwa kuzaliwa so..mi nasemag tusijifananshe na nchi kama hzo kwny u leo.. all in all wote tuta being affected iwe neg or positv way kwakua baba yetu mmoja ambae ni tz.. acha tu focus tuh tutafka
Safi sana, afadhali wewe una upeo wa kuona mbali. HAKUNA nchi ya West inayoitakia Afrika mema kama ipo si kivile.True! Besides, Western countries have no moral authority to lecture anyone on human rights. They have bombed and killed more innocent people than any other country in the world. Moreover, through meddling in other countries’ affairs, they have destabilized so many countries!
Kwakweli yao yanawasumbua , waraweza yetu, na wangeli fund uchaguzi huu tungepata shida , ashukuliwe john tumejiendeshea wenyeweWakapambane na uchaguzi wao
Maana wasijesema urusi wakihack system zao
Mambo ya TZ watuachie wenyewe
Sent from my H3223 using JamiiForums mobile app