This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,903
- 4,979
Kwani hapa ni jukwaa gani.Me nasubiri nyuzi za malalamiko, Jf ikifunguliwa.!
Kwani hapa ni jukwaa gani.Me nasubiri nyuzi za malalamiko, Jf ikifunguliwa.!
Kama una akiba sasa hivi itineraries. Vikwazo vya uchumi vikianza tutauza mpaka mabanda ya kuku.
Wangeongoza wapinzani bc yangekuwa matusi na kejeli hapa ila wanaona wameonewa kwa sababu n CCM ameshinda, watulie hvy hvy mana hakuna jins au waandamane ili madaktari wafanye kazi kama siafuImeshapita iyo.... kwaiyo na sisi tunaofurahia ushindi wa kishindo tuandamane kuwalazimisha wafuasi wa Lissu mkubali matokeo?
-Tamko hilo linatatua kero za umeme,maji,miundombinu.Huu nao ni UPUMBAVU wa hali ya juu kabisa. Mtu ana uhuru wa kutamka lolote lisilovunja sheria, lakini tamko hilo lisiwe na athari zozote zile.
Wapumbavu wakisikia tu eti kuna tamko la Nchi fulani dhidi ya Nchi yetu wanashangilia sana utadhani hilo tamko litawatatulia matatizo yao katika jamii kama vile Maji,umeme, Elimu, Miundombinu na huduma nyingine za kijamii...
Halafu jamaa ni mshamba kishenzi, anashobokea vitu vya kikekike Sana!!Baada ya kukosa ulichokitaka,
umeendelea kuwa mpumbavu hadi wakati huu.
Unatia kinyaa!
Halafu jamaa ni mshamba kishenzi, anashobokea vitu vya kikekike Sana!!
Wewe unakaa dunia gani? Unakumbuka wakati george kichaka (Bush) aliponyakuwa ushindi wa democrats na maandamano yalifofuata na kutulizwa na nguvu za polisi na watu kufa. Hiyo haki ya maandamano inayosemwa na ubalozi iko wapi USA. Mbona kila siku wakioandamana marisasi yanarendema? Tena afadhali Magu/TZ kama kweli tatizo lipo siyo baya kama ilivyo USA ambapo watu weusi huuwawa na polisi kama vibaka.hakujawahi kuwa na mapambano kwenye uchaguzi wa marekani. ficha upumbavu wako.
Maandamano ya kwenye keyboard RUKSA, ile kwenye field waanze walioshindwa Urais na ubunge ndo wawe mstari wa mbele usikilizie mtihani wake. Eti marekani wamesema tuandamane akili za manyumbu hizi, kwani hapa marekani?.Njoo uandamane uvunjwe mguu!
Upuuzi gani huu
Washenzi sana hawaWakapambane na uchaguzi wao
Maana wasijesema urusi wakihack system zao
Mambo ya TZ watuachie wenyewe
Sent from my H3223 using JamiiForums mobile app
Dada jaribu hata kuandamana kesho ndo utajua kuwa Kuna serikali ya JMT na ubalozi wa marekani vitu viwili tofauti.Marekani inasisitiza haki ya maandamano ya amani kueleza maoni yao.
Mungu wabariki Wazungu
Ukiona watu wanawababaikia hao mabeberu ujue kuna asilimia fulani ni vibaraka wao.Beberu hawezi kukutetea bure, kama hatamani kitu kutoka kwako. Ndio maana magu anawatenda kwa akili kubwa.Wanajifanyaga baba wa dunia wakati na wao wanapangiwa urais na URUSI. Lazima tutegemee tamko uchwara kwa kuwa wananchi wamekataa kibaraka wao.
Kwa nini wao wanawapiga virugu wamarekani wenzao wanaoandama juu 'BLACK LIVES MATTERS'! ?Marekani inasisitiza haki ya maandamano ya amani kueleza maoni yao.
Ha ha ha hao wajamaa ukigusa maslahi yao panachimbika mchana kweupe.Hawana lolote maana katika miaka ya karibuni wametoa misaada mikubwa mikubwa.Wale mpaka uguse Maslahi yao