Taifa halina budi kumuandaa Magufuli Mpya

Taifa halina budi kumuandaa Magufuli Mpya

kwahiyo Magufuli ndio alikuwa anawatupa! wanaotupwa sasa hivi itakuwa ni mzimu wake? nimeamini mpumbavu huwezi kumjua mpaka atoe neno

Kwani wanaposema yeye kajenga madaraja, ina maana ndio yeye huenda site kukoroga zege na kufunga nondo?
 
Chalamila
Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.
Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.

Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.

hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.

Swali?Je ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Mbona hayuko mbali...?
 
Kwa matumizi gani?
 
Ni kweli alikuwa na mabaya ila mema yalizidi. Leo mitandao imefurika kum post Jiwe. Aisee jamaa alikuwa bonge la Rais mwenye IQ kubwa.
Unadhani kwanini Samia amesema anatamani kuacha Taifa lenye watu wanaojielewa?

Watanzania walio wengi hawajielewi kabisa.

Wapo kuishi kwa mkumbo tu na kulalamika kila uchao. Hawana uelewa wa kuyaangalia mambo kwa causal impacts.

Hiyo mitandao iliyofurika ndiyo huyo mwenye IQ kubwa aliipiga vita na kuifunga kila siku.

Sasa kama Samia asingeifungua au kuiacha ifanye shughuli zao kwa kujinafasi, wangepata wapi audience ya kumpost.

Taifa lina watu wajinga wengi sana sana.

Na bahati mbaya kuna hadi PhD holders kwenye kundi hilo la wasiojielewa.

Mitandaoni watu wanalalamika maisha magumu, ajira hakuna vitu kupanda bei.

Wanashindwa kuunganisha dots (causal impacts) kuwa hayo ni matokeo ya jiwe ambaye aliharibu mfumo wa ajira katika sekta binafsi na mfumo wa uzalishaji kutokana na sera zake mbovu za uchumi.

Kampuni ngapi zilikufa na kuwaachisha watu kazi, viwanda vingapi vilishindwa kujiendesha, biashara ngapi zilikufa just kwa sera mbovu na ubabe.

Ni katika awamu ya jpm ndipo kulikuwa na mapambio ya kujenga viwanda kwa mamia na maelfu.

Hivi unadhani kama kungejengwa viwanda 100 kila mkoa tungekuwa na vijana wasio na ajira?

Tungekuwa na Chinga wenye degree za kilimo, uhandisi, biashara nk wakitembeza maji mitaani?

Lakini kwasababu watanzania kujielewa kwao ni shida, ndo hicho unachokiona.

Just abouts, Magufuli's economic policies were going to fail miserably and the country economy would collapse.
 
CCM imerudi kwa wenyewe. Hawawezi tena kufanya huo uzembe kumwachia mtu wa kaliba ya Magufuli atawale
 
Yaani hilo jingalao halijui kutofautisha State machinery na party allies!
Huwezi tenganisha Chama na Serikali Tanzania ...na siku utakapofikia level hiyo ya the so called democracy ndio siku taifa litakapo anguka.

Kwa muktadha wa Tanzania Chama ndio kilizaa Serikali hivyo Serikali haina budi kukilinda Chama

.huu ni ukweli mchungu unaopaswa kuutambua na kuwaelimisha mabwanyenye.
 
... itoshe kumshukuru Mungu wa Mbinguni kwa matendo yake makuu! Taifa lilishaelekezwa kibla kama sio Mungu kuingilia tulikuwa tunaelekea pabaya.
Huu uelekeo wa sasa wa taifa upo pamoja na Mungu au ndio baadaye Mungu ataingilia kati tena?
 
Tanzania hatutaki tena aje atokee kiongozi MFITINI, mbaguzi, mwizi na MWONGO kama Magufuli.

Mungu aliipenda sana Nchi yetu ndiyo maana akampeleka jehanam Magufuli siku chache tu baada ya kuiba kura za uchaguzi wa mwaka 2020.

Kamwe hatatokea HAYAWANI na FEDHULI mwingine kama Magufuli
Nchi hii tatizo letu sugu halijawahi kuwa Magufuli bali ni ccm, tuanzie hapo kupima upendo wa Mungu kwa taifa hili.
 
Tumemuandaa kijana wa iramba.huoni anavyozurura na maza huko duniani?
 
Kifo cha Magu ni dhihirisho la MUNGU wa mbinguni asivyopenda dhihaka na anavyoipenda Tanzania.
 
Hatutaki tena kuona watu wanatupwa baharini wakiwa wamefungwa kwenye mifuko ya sandarusi na kushindiliwa na mawe ili wasitokee juu ya maji/waasiibuke.
Yale yote mabaya yaachwe !

Lakini yale yote mema yafuatwe kwa ustawi wa Nchi !

The past has gone forget it !!
 
Back
Top Bottom