Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,408
- 2,266
Ben saanane to mention the fewTutajie ndugu yako au mtu yeyote unaemfahamu aliyeuwawa. Acha kulishwa maneno na wasaga kunguni.
Ben saanane to mention the fewTutajie ndugu yako au mtu yeyote unaemfahamu aliyeuwawa. Acha kulishwa maneno na wasaga kunguni.
Una uhakika yeye ndo aliwapoteza? Taja wengine zaidiHivi nani alimpoteza Azory gwanda,Ben Saanane
Wacha kusifia muumiani
Taja wote, to mention a few ndo niniBen saanane to mention the few
Azory gwanda to mention the fewTaja wote, to mention a few ndo nini
Wengine? Swali langu hujanijibu. Una uhakika gani kwamba yeye alihusika?Azory gwanda to mention the few
Muandaeni Polepole au NdugaiMagufuli ni masihi alisema amekuja kuandaa njia yupo anaye kuja.
Hakuwa ready kuruhusu ichunguzi wakati vyombo vyote vya dola alikuwa anavidimamia. Huu ni ushahidi kwamba ni yeyeWengine? Swali langu hujanijibu. Una uhakika gani kwamba yeye alihusika?
Wewe ulijuaje kwamba hakuwa tayari, nipe mifano.Hakuwa ready kuruhusu ichunguzi wakati vyombo vyote vya dola alikuwa anavidimamia. Huu ni ushahidi kwamba ni yeye
kunavijana wapo wamekwisha andaliwa wewe subiri wakati ukifika.Muandaeni Polepole au Ndugai
Raisi alikuwa ni mtu asiyejulikana?Una uhakika yeye ndo aliwapoteza? Taja wengine zaidi
Kwa Nini asiwe Mtume Mohamad aliyejenga himaya inayoutikisa ulimwengu wa dhulma mpaka Leo.Magufuli ni masihi alisema amekuja kuandaa njia yupo anaye kuja.
Mpaka anakufa hakuna uchunguzi wowote. Kukataa si lazima usema Bali ukimya tu unatisha kuelezea haliWewe ulijuaje kwamba hakuwa tayari, nipe mifano.
Pumbavu kabisa!!....Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.
Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.
Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.
Hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.
Je, ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!