voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,943
Ukiwa cheti fake unaishi ukiwa fake [emoji3447] brain.Hatutaki tena kuona watu wanatupwa baharini wakiwa wamefungwa kwenye mifuko ya sandarusi na kushindiliwa na mawe ili wasitokee juu ya maji/waasiibuke.